Interlacustrine E
JF-Expert Member
- Jun 3, 2020
- 3,397
- 6,015
Hapo pia wamejaa wachakachuaji watupu [emoji119][emoji16]Mkianza kuwalaumu mafundi computer na simu mnishtue
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapo pia wamejaa wachakachuaji watupu [emoji119][emoji16]Mkianza kuwalaumu mafundi computer na simu mnishtue
Mimi huwa nabiringiza somersault toka home hadi Town, ni mwendo waNa nyie mmezidi kuendekeza na kupenda anasa. Tuliumbwa na miguu halafu mnang'ang'ania magari. Acheni mafundi uchwara wawapige tu
Mkuu humu wajuaji ni wengi sana!!Diagnostic mashine inadeal na management systems tu. Sensors, electrical actuators na modules(hii ni sehemu ndogo sana kwenye gari. Kuna vitu vingi sana bado havihitaji Diagnosis.
Mtu anakuja gari inagonga chini, anataka umfanyie diagnosis na mashine. Duh!
Mbadilike sasa. Hii tabia ya kupiga magari ya watu nyundo kama unaua kitimoto siyo fresh hata kidogo.Me nipo tu nimetulia na nyundo yangu paleeee.
unamiliki garigani mkuu?Mbadilike sasa. Hii tabia ya kupiga magari ya watu nyundo kama unaua kitimoto siyo fresh hata kidogo.
Mbona wazungu hawayapigi nyundo magari ya watu wanapoyatengeneza?
kwasababu sahivi huumwi siyo? Ngozi nyeusi iskie tu. Ngoja upatwe na chochote mbio kwa madaktari haohao unaowakebehi sasa hivi.Madaktari wa Tanzania ndiyo makanjanja +++.
Ukijumlisha na vimeo walio huko "mahabara' zao utachoka kabisa.
Majibu ya vipimo vingi ni full kukisia au kuhisi.
Kila ukipima mkojo matokeo ni UTI na daktari fasta anakuandikia azuma, cipro au ceftriazone.
Ni bora serikali iajiri madaktari wa kihindi au wakyuba kuliko hawa wakwetu
Elfu 50.wapi mkuu, tunamkunjia fundi 10 anapiga nyundo mpaka basBosch ni wazungu makao makuu ujerumani,,, ni brand kubwa sana maana ni garage ambazo zipo dunia nzima..
Ila bei zake sio za kitoto...maana wateja wao ni mabalozi, na makampuni makubwa.
Wale tuliozoea Zile service za elfu 50 ama laki moja..
Bosch sio kwa ajili yetu
Natania mkuu.Mbadilike sasa. Hii tabia ya kupiga magari ya watu nyundo kama unaua kitimoto siyo fresh hata kidogo.
Mbona wazungu hawayapigi nyundo magari ya watu wanapoyatengeneza?
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂Mafundi sioni shida yao bali shida ipo kwawamiliki.mtu unaona kabisa sehemu unayo peleka gariyako hata hapajajengewa atlist uziotu.sasa katika halihio unategemea nini? huduma yaaina gani?.kifupi mabosi hela hawana ndio Mana mnapeleka chini yamwembe🤣🤣 Sasa mtu una ki i.s.t unataka kisigongwe nyundo? kwauspacio gani kilionao?😃😃
Mana ukikipeleka kwenye garage zamaana unakiacha ukouko kwasababu umezoea kutoa elfu kumi natano yasevis🤣🤣.garage zamaana nikwaajiri ya range, Ford,landcrz,benz,vw,nanyingine zaulaya.
Hayo mengine nikugonga nyundotu hamna chanisani Wala nini zote gari zakawaidatu msiogope zikila nyundo ndio stahikizao mana huwezi kununua kitendea kazi chagarama halafu mtu anakuja kulialia eti halingumu bosi😂😂 hatakama niwewe hutaipiga nyundo gariyake huyo mtu😃😃nazani mmeelewa?
🤣🤣🤣mkuu mbona unacheka bosi😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Majibu yako ni savage… km kweli wew ni fundi garage ukikutana na IST lazima akauze chuma chakavu 😂😂🤣🤣🤣mkuu mbona unacheka bosi😂😂
Fungua uzi tofauti uelezee hao madokta wako unaosema wana bahatisha kutibu wagonjwa..Siyo mafundi tu; binafsi hapa Tanzania naona Kada zote hufanya kazi zao kwa kubahatisha..
Hata hawa Madaktari wetu, wengi wanabahatisha kwenye kutibu wagonjwa..
Wanasiasa ndiyo usiseme, na Uchawi wanatumia ili kufanikisha siasa zao Uchwara..
Tanzania ni maeneo machache sana wanazingatia Professionalism kwa asilimia 100%..
Nadiriki kusema Ikulu yetu pamoja na Wizara na Ofisi zote za Umma ndiyo Vinara wa kufanya mambo Kikanjanja kanjanja..
nimeshangaa watu hawataki magari yao yagongwe nyundo. wasicho jua nikwamba gari sehemu kubwa nimavyumatu ambayo hayawezi kuharibika ukigonga nyundo Kama wanavyo zani. nyundo nilazima kwenye ufundi.Majibu yako ni savage… km kweli wew ni fundi garage ukikutana na IST lazima akauze chuma chakavu 😂😂
Vifaa ni bei ndogo sana China na Dubai, tatizo ni wakinunua hivyo vifaa wanatoza bei kubwa sana, hivyo wenye magari huamua kupeleka sehemu za kawaida.Kuna fundi pancha aliniharibia rim ya gari ikabd niweke tube tu baadae ninunue ring nyngne. Yan alilipga nyundo sema nlikoma kuanzia siku hiyo nikawa nikitaka badili taili au ina pancha naenda sehemu yenye machine ya kuvua rim tairi
Madaktari wengi bado hawana uzoefu.Umesema kweli hawa watu wa afya wanacheza sana na afya zetu sijui huwa wanashindwa soma vpmo. Ndio maaja watu wanaambiwa magonjwa wasiokuwa nao
navitoyota vyao hivi wapeleketu chini yamwembe ndio levo zao. kwingine huko waatayakimbia magariyao bure.Ni garage kubwa au dealer anaweza wapeleka mafundi wake kujifunza zaidi.
Hayo mafunzo sio hela ndogo na hizo equipments ni hela nyingi mno ambapo wabongo wanaoweza afford ni wachache mno.
Ukitaka service ya levels za dealership wapelekee huko ila bill yake ukipewa usife kwa stress.
Mfumo wa maisha na elimu bongo haumfanyi mtu ajiongeze kielimu.
Mafundi wengi walianzia kwenye kusaidia fundi. Wachache sana walieenda kujifunza formally mambo ya ufundi na mtaala ni ule wa kizamani sana.
Na mafundi wengi wanafanya deals za kupata hela ya kula tu. Zile deals za kupata mamilioni ya kusave zinapelekwa garage kubwa.
Na hata hao wafanyakazi wengine hawana cha kujiendeleza. Alichosoma 1970 ndo hikohiko anakitumia mpaka leo.