Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 9,189
- 16,128
Eneo gani hilo wanazingatia professionalism?Siyo mafundi tu; binafsi hapa Tanzania naona Kada zote hufanya kazi zao kwa kubahatisha..
Hata hawa Madaktari wetu, wengi wanabahatisha kwenye kutibu wagonjwa..
Wanasiasa ndiyo usiseme, na Uchawi wanatumia ili kufanikisha siasa zao Uchwara..
Tanzania ni maeneo machache sana wanazingatia Professionalism kwa asilimia 100%..
Nadiriki kusema Ikulu yetu pamoja na Wizara na Ofisi zote za Umma ndiyo Vinara wa kufanya mambo Kikanjanja kanjanja..
Authorised dealers kwenye workshops zao hawakosi nyundo!!Si mnunue full spanner kits kwa yule mzee wa makanikia KC?
Kikanjanja kanjanja[emoji23][emoji23][emoji23]Siyo mafundi tu; binafsi hapa Tanzania naona Kada zote hufanya kazi zao kwa kubahatisha..
Hata hawa Madaktari wetu, wengi wanabahatisha kwenye kutibu wagonjwa..
Wanasiasa ndiyo usiseme, na Uchawi wanatumia ili kufanikisha siasa zao Uchwara..
Tanzania ni maeneo machache sana wanazingatia Professionalism kwa asilimia 100%..
Nadiriki kusema Ikulu yetu pamoja na Wizara na Ofisi zote za Umma ndiyo Vinara wa kufanya mambo Kikanjanja kanjanja..
Sim ukajitengenezee gari lako km unajua. Ujuaji wa kindezi usio na msaada.Tatizo la mafundi kukubali ukweli ni mgumu sana. alafu wanapata pesa kwa kukadilia ndio maana wamelizika.
Mifumo ya magari sasa imebadilika ndio maana Nissan zinawashinda na kundandia kusema kimeo kumbe nyie ni vimeo.
Swala la vifaa ndio kabisa yani na mkuta fundi anatumia nyundo kuondoa kitu kwenye matairi mpaka unachoka.
Magari yanayo toka yanatumia electronic na umeme mwingi sana kuliko mlivozoea gari zenu 90.
Kila siku mnaunguza magari ya watu.
[emoji23][emoji23][emoji23] halafu wanakuwa wakali sanaFundi akishabeba nyundo napoteza imani nae namfwatilia kwa ukaribu!!
Gari laini fundi anabeba nyundo kilo za kupasulia mawe
Hamia Burundi unasubiri nini ktk nchi ambayo huamini watu wake. wewe mwenyewe unachojua ni nini ktkt hii dunia, au profession yako ni kulalamika. Ondoka katafute nchi yako. Shenz type!Siyo mafundi tu; binafsi hapa Tanzania naona Kada zote hufanya kazi zao kwa kubahatisha..
Hata hawa Madaktari wetu, wengi wanabahatisha kwenye kutibu wagonjwa..
Wanasiasa ndiyo usiseme, na Uchawi wanatumia ili kufanikisha siasa zao Uchwara..
Tanzania ni maeneo machache sana wanazingatia Professionalism kwa asilimia 100%..
Nadiriki kusema Ikulu yetu pamoja na Wizara na Ofisi zote za Umma ndiyo Vinara wa kufanya mambo Kikanjanja kanjanja..
Kujifunza awataki- utawasikia hii gari ina Umeme mwingi sana! ( yaani ni ina too Computerized systems)Tatizo jingine Veta bado wanatumia syllabus ya 1947 Land-rover na Peugeot.Tatizo la mafundi kukubali ukweli ni mgumu sana. alafu wanapata pesa kwa kukadilia ndio maana wamelizika.
Mifumo ya magari sasa imebadilika ndio maana Nissan zinawashinda na kundandia kusema kimeo kumbe nyie ni vimeo.
Swala la vifaa ndio kabisa yani na mkuta fundi anatumia nyundo kuondoa kitu kwenye matairi mpaka unachoka.
Magari yanayo toka yanatumia electronic na umeme mwingi sana kuliko mlivozoea gari zenu 90.
Kila siku mnaunguza magari ya watu.
Mnajitangaza km mna magari? Hiyo mikweche yenu hiyo ndiyo mtupotezee muda na kujaa server za JF?Kuna fundi pancha aliniharibia rim ya gari ikabd niweke tube tu baadae ninunue ring nyngne. Yan alilipga nyundo sema nlikoma kuanzia siku hiyo nikawa nikitaka badili taili au ina pancha naenda sehemu yenye machine ya kuvua rim tairi
[emoji6][emoji23] ukiona wanalewa means wanapata hela ya kunyweaTatizo kuu walilo nalo Hawa viumbe ni walevi wa kutupwa.
Sio engineers wote bhanaUmemaliza kila kitu, watanzania kwa ujumla wetu ni hakuna kitu, ufanisi ni mdogo sana. Walimu, madaktari, mainjinia nk.
kumbe na wewe ni poyoyo tu, hapo kuna uchambuzi gani. Km watu wenyewe ndiyo km nyie unategemea nini. Hamuwezi kuelewa profession yoyote, mna udumavu wa akili kutokana na lishe mlizotumia utotoniNimependa analysis yako, umesema vyema.
Nitajie kwa hapa Dar mkuu!Mbona garage classic zipo ni pesa yako tu
Bosch ipo wapi kwa hapa Dar?Watu wananunua magari ya gharama ila wanakuwa wabahili kwenda garage za maana kama BOSCH
Gari inatakiwa kuoshwa kwa vitu vipi?Ndo shida ya wabongo wananunua gari za gharama then service kwa fundi maiko unategemea, gari inaenda kuoshwa kwa makopo ya chooni maji ya chumvi vijiweni kwa tambala na dodoki unategemea nini hapo
HakikaGarage za maana zipo, na mafundi wapo, tatizo ni watanzania wenyewe.
Ha ha ha ha haaaaa.a... Dah.Na nyie mmezidi kuendekeza na kupenda anasa. Tuliumbwa na miguu halafu mnang'ang'ania magari. Acheni mafundi uchwara wawapige tu
Bosch ipo wapi kwa hapa Dar?
Umesoma nit? Unamfahamu mpaka Michael Kyando duuh?Hahaha!!
Akina kyando pale NIT hawakosi nyundo mkuu sembuse hawa wa mitaani?
Kabisa, hasa zile za suspension systemNyundo unyama sana,,Kuna ball joint hupigwa nyundo hadi zinajieleza zenyewe tu
[emoji23][emoji23][emoji23]Uko sahihi kabisa mafundi wengi ni kubahatisha tu kwa gari nyingi za sasa ni kutumia diagnostic computer mtu ana force afumue ata engine wakati haviusiani ndo hivyo hakuna namna.