Narudia tena, Mafundi gereji msipojiongeza mtaishia kutengeneza gari za mwaka 90

"ooh foreigners wanatajirika kwa ndagu na kuiba na kujuana na wakubwa"[emoji118] wahindi ni waaminifu sana acha tu watoboe. Hawaangalii muonekano na kukuzidishia bei kama wabongo wengi wanavyofanya
Mbongo akikutumia mzigo lazima uwe umepungua
Na kama ni lorry la mizigo utakuta mizigo yako imefungiwa maboksi yaliyotumika na kuchanwa chanwa
Wanapofunga mzigo umeona box gani lina Miraba minane badala ya minne [emoji1] [emoji1787]
Halibebeki na kuli akilibeba bidhaa zako zinachanganyika na pumba za mwingine

Sasa ukilalamika kwa mwenye mali compensation hupati unasikia tu anatukana hao washenzi nawafukuza kazi mbwa hao wananiharibia kazi

Kumbe yeye ndio disorganized
 
Acha Wahindi watoboe tu. Uaminifu unalipa. Wabongo wengi mi much know mno. Mteja akivaa kawaida wanaongeza bei, na wanakuwa serious balaa. Ila ukienda maduka ya Wahindi hata uvae kishamba utathaminiwa na utauziwa kwa bei halali.
 
Safi kabisa
 
Unabii na Uganga wa kienyeji ndio wapo professional
 
Na yanakuja magari ya umeme kazi tunayo hawa mafundi wetu hawana idea na haya magari ya umeme kabisa hili ni janga lingine

Tatizo la watanzania sio watu wa kujiongeza
acha uswahili wewe mafundi wapokibao.namfumo wagari niuleule mabadiriko nikidogo sana acha uzwazwa
 
Unamkuta mtu kwenye ofisi yake anayofanya kazi 2-5yrs unaona kabisa hata abcd za ofisi hajui. Unajiuliza sasa huyu hapa anafanya nini humu? Achilia mbali kuhusu profession yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…