Kila kitu kilikuwa kinaenda ovyo kana kwamba tunaongozwa na darasa la saba au nursery kabisa.
Hebu fikiria yafuatayo:
1. Uhuru wa habari ulikuwa umezimwa kama mshumaa ikabaki ni kumsifia tu mpaka kikaanziaha kipindi Cha kishindo Cha awamu ya tano.
2. CAG alivyoibua madudu tu akatumbuliwa fasta.
3. Wawekezaji wanakimbia daily wa nje na ndani nchi ikabaki biashara ni ngumu na ukumbuke watu walikuwa wanapoteza ajira daily ndo ikazalisha mass unemployment tunayoiona Leo.
4. Ukiamka tu asubuhi hujui kama utarudi nyumbani salama mana wasiojulikana walikuwa wametanda kila Kona na tunaogopana hasa.
5. Madudu ya yule bwana ni mengi mno natumia kuandika kitabu ili iwe fundisho kwa wengine