Narudia tena, tusije kurudia kufanya kosa kama la 2015. Nchi ilikuwa inaenda kufa

We tutukane tu sisi watoto wa maskini tuliteswa mno na kwa Sasa angalu. Ajira zipo, mishara inaongezwa kila mwaka, uhuru wa kuongea nk
Watoto wa matajiri na mafisadi ndio waliteswa pamoja na baba zao.
 
Kila kitu kilikuwa kinaenda ovyo kana kwamba tunaongozwa na darasa la sabau au nursery kabisa.

Hebu fikiria yafuatayo:

1. Uhuru wa habari ulikuwa umezimwa kama mshumaa ikabaki ni kumsifia tu mpaka kikaanziaha kipindi Cha kishindo Cha awamu ya tano.

2. CAG alivyoibua madudu tu akatumbuliwa fasta.

3. Wawekezaji wanakimbia daily wa nje na ndani nchi ikabaki biashara ni ngumu na ukumbuke watu walikuwa wanapoteza ajira daily ndo ikazalisha mass unemployment tunayoiona Leo.

4. Ukiamka tu asubuhi hujui kama utarudi nyumbani salama mana wasiojulikana walikuwa wametanda kila Kona na tunaogopana hasa.

5. Madudu ya yule bwana ni mengi mno natumia kuandika kitabu ili iwe fundisho kwa wengine
Kabisa tusirudie kosa mazee!
 
Umetumwa tumekugundua
 
Huu uzi nahisi umeandikwa na mhanga wa vyeti feki aliyetumbuliwa au timu nyumbu au chawa wa walamba asali
 
Hakujawahi kuwa na vyeti feki zile zilikuwa mbinu za kupunguza wafanyakazi tu na ndo mana vyombo vya habari havikuruhusiwa kuhoji chochote
 
Kila kitu kilikuwa kinaenda ovyo kana kwamba tunaongozwa na darasa la sabau au nursery kabisa.

Hebu fikiria yafuatayo:

1. Uhuru wa habari ulikuwa umezimwa kama mshumaa ikabaki ni kumsifia tu mpaka kikaanziaha kipindi Cha kishindo Cha awamu ya tano.

2. CAG alivyoibua madudu tu akatumbuliwa fasta.

3. Wawekezaji wanakimbia daily wa nje na ndani nchi ikabaki biashara ni ngumu na ukumbuke watu walikuwa wanapoteza ajira daily ndo ikazalisha mass unemployment tunayoiona Leo.

4. Ukiamka tu asubuhi hujui kama utarudi nyumbani salama mana wasiojulikana walikuwa wametanda kila Kona na tunaogopana hasa.

5. Madudu ya yule bwana ni mengi mno natumia kuandika kitabu ili iwe fundisho kwa wengine
Uhuru wa wakujieleza kwa wafanyabiashara wa siasa na wahuni waliokuwa wanatafuta uhuru wa kumtukana rais ulikandamizwa
 
Kila kitu kilikuwa kinaenda ovyo kana kwamba tunaongozwa na darasa la sabau au nursery kabisa.

Hebu fikiria yafuatayo:

1. Uhuru wa habari ulikuwa umezimwa kama mshumaa ikabaki ni kumsifia tu mpaka kikaanziaha kipindi Cha kishindo Cha awamu ya tano.

2. CAG alivyoibua madudu tu akatumbuliwa fasta.

3. Wawekezaji wanakimbia daily wa nje na ndani nchi ikabaki biashara ni ngumu na ukumbuke watu walikuwa wanapoteza ajira daily ndo ikazalisha mass unemployment tunayoiona Leo.

4. Ukiamka tu asubuhi hujui kama utarudi nyumbani salama mana wasiojulikana walikuwa wametanda kila Kona na tunaogopana hasa.

5. Madudu ya yule bwana ni mengi mno natumia kuandika kitabu ili iwe fundisho kwa wengine
Antony Dialo alisema haitakaa ijirudie tena.

Hata akina Makamba na Kinana hawawezi ruhusu.

Kuna kipindi nilikuwa nakaa kwenye vijiwe nakuta FFU wanasikiliza Hotuba za Lissu Youtube.

Nikajifanya kumponda Lissu ili niwasikie.

Aisee jamaa wanamkubali sana.
 
Tulikwa na jamaa anajiita " I am the State"
A short lived frenzy and hysteria...Some Say
A Good riddance...Some say Too

But I say this, with all his pitfalls, President Magufuli successfully put to light a grotesque and diabolical nefarious cabal that has stealthily sucked our nation's resources like leeches. The people whom we never knew that existed. Most of traitors are now known by their names and monikers. For this, he earned my deepest respect.
C&p
 
A short lived frenzy and hysteria...Some Say
A Good riddance...Some say Too

But I say this, with all his pitfalls, President Magufuli successfully put to light a grotesque and diabolical nefarious cabal that has stealthily sucked our nation's resources like leeches. The people whom we never knew that existed. Most of traitors are now known by their names and monikers. For this, he earned my deepest respect.
C&p
 
Kila kitu kilikuwa kinaenda ovyo kana kwamba tunaongozwa na darasa la sabau au nursery kabisa.

Hebu fikiria yafuatayo:

1. Uhuru wa habari ulikuwa umezimwa kama mshumaa ikabaki ni kumsifia tu mpaka kikaanziaha kipindi Cha kishindo Cha awamu ya tano.

2. CAG alivyoibua madudu tu akatumbuliwa fasta.

3. Wawekezaji wanakimbia daily wa nje na ndani nchi ikabaki biashara ni ngumu na ukumbuke watu walikuwa wanapoteza ajira daily ndo ikazalisha mass unemployment tunayoiona Leo.

4. Ukiamka tu asubuhi hujui kama utarudi nyumbani salama mana wasiojulikana walikuwa wametanda kila Kona na tunaogopana hasa.

5. Madudu ya yule bwana ni mengi mno natumia kuandika kitabu ili iwe fundisho kwa wengine
Una proof au umetoka kunywa kahaw?
 
Back
Top Bottom