Narudia tena, tusije kurudia kufanya kosa kama la 2015. Nchi ilikuwa inaenda kufa

Magufuli was a professional thief and a homicidal dictator, all praise to God who shortened his Arrogance lifestyle.
 
Alichokianza JPM 2015 ni lazima kikamilishwe. Majizi na wafanyabishara wa siasa ndio mlioumia.
Tulioumizwa ni sisi Wala hoi tulitekekezwa kwa kutopata ajira na zaidi sana hata fursa za ajira zinazidi kupotea kwa kuwapoteza potential investors. Sasa sisi graduates tena fresh graduate ni majizi wa wapi na tulimuibia nani
 
Machoko bhana !!
 
Umepata ajira tayari??
 
Mimi nadhani tukubaliane tu hapa ndani kuwa wewe mleta mada hauna akili sawa sawa. Na kuna uwezekano mkubwa utakuwa umetumwa.
Unataka akiri Gani wakati unafahamu prof Asad kuibua ufisadi tu alitumuliwa yaani jiwe wenu hakutaka kuguswa kabisa alitaka akiiba no one to question ndo mana hata vyombo vya habari vilizimwa yaani nchi iliongozwa gizani. Nchi zozote zinazopambana na ufisadi zinaongozwa kwenye mwanga na vyombo vya habari vinakuwa huru kuripoti chochote
 
Ni kweli nchi ilikuwa inakwenda siko, yaani tungejikuta watu wa sampuli kama zile za Mwanahabari huru ati zinashika nyazfa za uwaziri Mkuu.
 
Kama tu wametokea wa kupinga hoja yako, basi ufahamu kuwa, itarudiwa tena! Wapumbavu endeleeni kujipanga namna ya kununa tena!
 
Jamaa wa 2015 alikuwa na kasoro zake but I would've preferred him kuliko hivi vituko vya sasa [emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849]
 
Jamaa wa 2015 alikuwa na kasoro zake but I would've preferred him kuliko hivi vituko vya sasa [emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849]
Kuna vituko Gani kwa Sasa.
 
Matapeli, mafisadi, na wengineo washenzi washenzi waliwezwa haswa.
😁😁😁😁
 
Matapeli, mafisadi, na wengineo washenzi washenzi waliwezwa haswa.
😁😁😁😁
We tutukane tu sisi watoto wa maskini tuliteswa mno na kwa Sasa angalu. Ajira zipo, mishara inaongezwa kila mwaka, uhuru wa kuongea nk
 
He was a catastrophe to Tanzania and the neighboring countries, we thank that nature did its best and now we’re a free nation once again.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…