Narudia tena, tusije kurudia kufanya kosa kama la 2015. Nchi ilikuwa inaenda kufa

Wewe ni tahira unajua chanzo cha kuondoka manji au unaongea tu kama zwawa
Achakunishobokea kijana!.Kama uwezo wako ni mdogo wa kuelewa maana ya majibu mfano na yenye kutafakarisha mtu,usiwe unakurupukia wanaume.
 
Alichokianza JPM 2015 ni lazima kikamilishwe. Majizi na wafanyabishara wa siasa ndio mlioumia.

Kwani Tanzania huru ilianza wakati wa dhalimu? Tanganyika ilianza 1961, hivyo utekelezaji wake ulianza enzi hizo, japo waumini wa dhalimu alifanikiwa kuwabrainwash kwa kuwaonyesha kuwa Tanzania ilianza kipindi yeye akiwa rais.
 

Si ndio hapo sasa, eti mtu anapambana na wezi lakini hataki uwazi! Dhalimu alifanikiwa kutishia watu na kutulazimisha tumuone ni mtu sahihi kwa nchi hii, na yoyote aliyekuwa anahoji uadilifu wake alikuwa anamtoa uhai, kumbambikia kesi, ama kuhujumu njia zake za kumuingizia kipato.
 
Ujinga ni kipaji
 
These sound stupid! wewe ni nani hata usiwe na uhakika wa kurudi nyumbani? ulikuwa unafanya nini ktk nchi hii? Kma ni wizi, hiyo ilikuwa haki yako!

Ninachokiona Tanzania tuko tayari kunyamaza kwa kiongozi pumbafu kwa kuwa tu anaturuhusu kuiba na kulawiti nchi. Lakini hatuko tayari kuwa na mtu anayetushika mikono kwa wizi wetu.

Naangalia hali ya sasa ya serikali. Tuna mawaziri ambao hawajui lolote, lakini hutasikia watu kama huyu wakipiga kelele. Eti Riziwani naye ni waziri! Mijitu iko kimya tu, kazi kukumbuka vyeti feki, kutumbuliwa kwa uzembe, nk. Acheni kusambaza upuuzi.
 
Kwa Mimi ninayeamini katika utawala wa Sheria uchambuzi wako haunisaidii kukubaliana na zuri lolote alilofanya Magufuli katika kuisaida Tanzania.

Kama Magufuli alikuwa na nia ya kuisaida Tanzania, kwa nini asijenge mfumo thaniti wa kisheria ambao ungefuatwa na kusimamiwa na Utawala wake? Lakini badala yake akajenga mfumo wa genge lake la kihalifu kuwaumiza Wananchi?
Kisiasa kwa nini wakati wa utawala wake Sheria nyingi sana zilitungwa kukandamiza Upinzani? Kwani wapinza ndo walikuwa wahujumu Uchumi? Kwa nini pesa ya Umma itumike kununua wapinzani na kuwapa vyeo? Kwa nini sifa kuu ya mtu kuteuliwa na Magufuli ilikuwa ni uwezo wa kuwatukana viongozi wa Chama kikuu cha upinzani?

Kuhusu Vyombo vya habari, kwa nini vilizuliwa kutoa habari za Ufisadi wowote hapa Tanzania badala yake vililazimishwa kutangaza na kumsifia yeye tu Magufuli anagundua Ufisadi?

Kuhusu Mahakama, kwa nini mahakama za juu za Tanzania wakati wa utawala wake ziliamua kwa maelekezo yake? Mahakama za mikoa ziliamua kwa maelekezo ya Wakuu wa Mikoa? Mahakama za Wilaya ziliamua kwa maelekezo ya Wakuu wa Wilaya? Na Mahakama za Mwanzo ziliamua kwa maelekezo ya ma-CCM?
Kuhusu mauji ya watu waliokutwa kwenye viroba wakielea kwenye maji, kutekwa kwa watu, na kupotezwa kwa watu. Haya yalifanyika wakati wa utawala wake sijajua yalileta faida gani kwa Taifa zaidi ya kuleta laana kwenye Taifa letu?

Lakini pia ni Kweli kuna mambo mazuri sana ambayo Magufuli alifanya lakini kwa kuzingatia Utawala wa Sheria, kwa maovu aliyoyatenda kwa wakosoaji wake, raia wema na hao munaowaita mafisadi, Magufuli angechunguzwa na kupelekwa Mahakamani angepatikana na hatia na kupewa Adhabu kali sana.

Lakini Mungu ni mwema, ametutetea na kuamua
 
Kwanza CAG kutaja tu na kuachwa huru ni credit kubwa sana kwamba kila kitu kipo huru sasa
Kwani Toka 2016, CAG alikuwa nani na alikuwa haibui matatizo ktk matumizi ya fedha za Serikali?
Kama Bunge limekataa kufanya Kazi na CAG hata alibaki atafanyane kaI yake?
 
Kwani Tanzania huru ilianza wakati wa dhalimu? Tanganyika ilianza 1961, hivyo utekelezaji wake ulianza enzi hizo, japo waumini wa dhalimu alifanikiwa kuwabrainwash kwa kuwaonyesha kuwa Tanzania ilianza kipindi yeye akiwa rais.
Ilipoteza uelekeo kuanzia 2005
 
Tatizo la kuwapa Walimu nchi!
 
Umeongea vyema lakini umekosea hapo kuponda madarasa ya watu. Futa haponuweke mfano mwengine.

Uongozi siyo shule, ingekuwa yongozi ni shuke, kuna wenye ma phd wangapi hawana hata ujumbe wa nyumba kumi? Fikiri nje ya boks.
 
Ilipoteza uelekeo kuanzia 2005
Labda ulikuwa hujazaliwa, enzi za Nyerere wetu walivaa viraka, na kufulia hadi majani ya mpapai. Dhalimu naye alikuwa anataka kuturudisha zama zile za giza za kumuona rais ni kama Mungu, na ndio mwenye mawazo sahihi, hivyo hapaswi kupingwa.
 

2025 kutakuwa na nini boss cha kutishia watu? Kwa taarifa yako mbegu ya upuuzi aliyopandikiza dhalimu ya kupora chaguzi za nchi, hakuna kiongozi yoyote wa CCM ataacha kuitumia. Usishangae huyo mama akaamua kutangazwa kwa kura nyingi kuliko idadi ya watanzania wote ikiwemo na watoto. Dhalimu amefanya uchaguzi kugeuka kuwa upuuzi kama upuuzi mwingine. Hivyo ukitishia majizi ya kura hiyo 2025 wanakuchora tu.
 

2025 kutakuwa na nini boss cha kutishia watu? Kwa taarifa yako mbegu ya upuuzi aliyopandikiza dhalimu ya kupora chaguzi za nchi, hakuna kiongozi yoyote wa CCM ataacha kuitumia. Usishangae huyo mama akaamua kutangazwa kwa kura nyingi kuliko idadi ya watanzania wote ikiwemo na watoto. Dhalimu amefanya uchaguzi kugeuka kuwa upuuzi kama upuuzi mwingine. Hivyo ukitishia majizi ya kura hiyo 2025 wanakuchora

Boss una story za mikwara ya hatari, au huwa unasoma na kuangalia movies za action ndio unaleta habari hizo nini? Kwamba kuna watanzania wamezaliwa Iringa na wana ukwasi wa hatari, hadi kufadhili vyama na makundi mbalimbali, cha ajabu hata kuwataja tu umeshindwa wakati unatumia fake I'd!

Hakuna anayesema Magufuli hajafanya mambo kadhaa kwa usahihi, hakuna lolote alilofanya kama jema, bali amefanya kama wajibu wa nafasi yake ya urais, kwani hakuna hata moja alilofanya kama hisani, labda kwa aliowapa vyao vya upendeleo, na ubunge katika uchaguzi wa kishenzi Kupata kutokea hapa Tanzania.
 
Endelea kulishwa matango pori ya mafisadi karumekenge wewe
 
Watu wenye akili ndogo ni wepesi sana wa kutukana kuliko kujenga hoja. Kutukana hakuhitaji akili. Kujenga ni lazima uwe na akili.
Akili yako haina akili,bwege tu wewe
 
Hilo povu sasa duuh.
Mkuu umepaniki utadhani Baba yako ndio atakuwa rais😅😅
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…