Narudia tena, tusije kurudia kufanya kosa kama la 2015. Nchi ilikuwa inaenda kufa

Wala hakuna cha kushangaza 2025 hata wakichuku majimbo yoote tena je kutakuwa na jipya?
 
Tazama Amani Nchi nzima


Nani kama Mama?
 


Definitely, You was one of the honey lickers during those bad days of tyrannical regime of the Python of Chato.
 

Achakunishobokea kijana!.Kama uwezo wako ni mdogo wa kuelewa maana ya majibu mfano na yenye kutafakarisha mtu,usiwe unakurupukia wanaume.
Wewe fala sana Hao kina Manji ndio walikuwa wanafaidi hii nchi tena bila kulipa kodi alipoingia Magufuli akaambiwa lazima alipe kodi
Ndio mambo yakawa mengi.

Mara anaitaka fukwe ya coco beach fukwe za bahari yote zmechukuliwa na wenye pesa ukitaka kwenda kuogelea unatakiwa kulipia imebaki coco beach nayo anataka aichukue Manji magufuli alimkatalia eti ndio akatishia kuamisha biashara zake kisa kuambiwa alipe kodi selikarini na kunyimwa coco beach.

Nyie mazwazwa kama wewe msiojielewa ndio mnaoteteaga ujinga yaani hii nchi inamijitu mijinga ndio maana wageni kama hao waarabu na wahindi wakija Tanzania ni rahisi kutajirika kwa haraka alafu sisi wazawa ndio tunabanwa kweli tena kwa tubiashara tudogo tu kodi mzigo kwao hao ngozi nyeupe tuna papalika nao na ni rahisi wao kukwepa kulipa kodi sababu kuna mijitu mijinga mingi kama wewe Tahira
 
Hilo povu sasa duuh.
Mkuu umepaniki utadhani Baba yako ndio atakuwa rais😅😅
Nakuelimisha wewe mjinga usiojielewa.
Ila hii nchi ina mijitu mingi mijinga jamani
 
Waitihausi ilichafuka damu,utekaji,ukandamizaji,wizi,vinyongo,uvamizi wa majeshi,vitisho,ubaguzi Kwa kisingizio cha vita vya kiuchumi!!!
Sasa waitihausi inametameta maridhiano,haki,upendo,usawa nk. Uchumi wananchi tutaunyanyua kwa kusikilizana,kupanga,kuamua na kutekeleza Kwa pamoja na serikali tuloichagua bila vitisho!!
Shetani apigwe mawe daima!!! ni muongo na muivi!!!
 
Huyo magufuli alikuwa mwanCcm na manji aliikuwa mwanaccm. Wote wezi tu walikuwa wanagombania maslahi tu hamna lolote.
 
Walidhani maendeleo tunaletewa na serikali.

Uchumi unakuzwa na wananchi wenyewe kikubwa amani na utulivu
 
Huyo magufuli alikuwa mwanCcm na manji aliikuwa mwanaccm. Wote wezi tu walikuwa wanagombania maslahi tu hamna lolote.
Kuwa Ccm sio tija unaweza ukawa ccm na ukachukiwa na wanaccm wapigaji
Sababu wengine wapo kwenye chama tawala ili kukwepa mambo yao yasibainishwe

Kwa mfano huyo Manji unayemtetea na pesa zake zote zile yaani anaenda kugombea Udiwani ili iweje wewe Tahira uwezi kuelewa kaa kimya.
 

Acha tu ,alikuwa anaenda kutudumbukiza shimo la tewa.

"Bahari imetulia ,Mungu ameamua" - Nape Nnauye ,Rondo Lindi Mtama May 2022.
 
Definitely, You was one of the honey lickers during those bad days of tyrannical regime of the Python of Chato.
What happened today afternoon, would never have happened during those bad days of tyrannical regime of the Python of Chato. This day shall go down in history as a day of infamy, where Tanganyika was officially auctioned off to the Arabs by a woman who is not a Tanganyikan.

I say this, Better the devil you know........
 
Magufuli alikuwa na madhaifu mengi, lakini wahenge husema "zimwi likujualo halikuli ukakwisha"

Natumai watanganyika wote tumeona kilichotokea leo bungeni. Niwapeni tu taarifa, kwambu huu ni mwanzo tu. Kuna mengi yanakuja ambayo hamtaamini kama yanatokea hapa Tanganyika. Mtakuja kuamka mmechelewa sana. Kama huu ndiyo utawala wa kisheria basi niwatakieni kila la kheri wakuu.

But I say this, Better the devil you know...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…