Narudia tena, tusije kurudia kufanya kosa kama la 2015. Nchi ilikuwa inaenda kufa

Jiwe was a satan
 
Alaas!!, Who then achitectured the existing parliament which blessed the auction?!!--- The Speaker was sorely prepared to take the seat by the Python, in no way Will the man of Chato duck the on going and any coming menaces in our country, essentially it is one who built the foundation.
 
Kwamba unataka kusema bunge letu lingekuwa na watu tofauti huu mkataba usingepita, si ndiyo ???
Kwamba awamu za huko nyuma mambo yalikuwa ni tofauti, wabunge walikuwa na nguvu.
 
Kwamba unataka kusema bunge letu lingekuwa na watu tofauti huu mkataba usingepita, si ndiyo ???
Kwamba awamu za huko nyuma mambo yalikuwa ni tofuati, wabunge walikuwa na nguvu.

Kama Uchaguzi mkuu uliopita ungalikuwa ni wa haki leo CCM isingalikuwepo madarakani kabisa, kinachiendelea leo nchini mwetu ni laana ya uchaguzi haramu iliyofanywa na Magufuli, Yeye Mwenyewe na Makamu wake na Wabunge wote walipita katika njia za haramu na HARAMU siku zote HUZAA HARAMU na ndio maana leo tunashuhudia nchi yetu ikipigwa mnada mbele ya macho yetu.
 
Ni lini uchaguzi umekuwa siyo haramu hapa Tanganyika ???
 
Ni lini uchaguzi umekuwa siyo haramu hapa Tanganyika ???

Chaguzi zote angalau huwa nusu-haramu lakini ule uliopita ulikuwa haramu kamili, angalia; hao wabunge 19 (the covid 19) wanawakilisha chama kipi??--- hapo ndipo itaona uharamu kamili wa uchaguzi uliopita na matokeo yake ndio haya tunayoyaona leo.
 
Nusu haramu ndiyo nini ?
 
Hili bunge ni matokeo yake pia, Magufuli angeweza kuijenga vizuri mno Tanganyika sema ndio hivyo yashapita...
 
Kingeresa chako kibaya ila nimekielewa
 
Nusu haramu ndiyo nini ?

Nusu maana yake ukiwa na kitu kizima na ukakikata vipande viwili vilivyokuwa sawa, kila kipande ndio huitwa nusu.

Katika Chaguzi nyingi zilizopita, (ukiondoa huu wa mwishoni), za vyama vingi angalau haki ilikuwa ikitendendeka sambamba na dhuluma ndio maana nasema chaguzi zilizopita kabla ya huu wa mwishoni (2020) zilikuwa nusu-haramu kwa maana kwamba pia nusu-halali nayo ilikuwepo na ndio maana hata Wabunge wa upinzani walikuwemo bungeni.
 
Hao wabunge wa upinzani walizuia mkataba gani huko bungeni ?
 
Chuki zako zitakuua.
 
Kwamba unataka kusema bunge letu lingekuwa na watu tofauti huu mkataba usingepita, si ndiyo ???
Kwamba awamu za huko nyuma mambo yalikuwa ni tofuati, wabunge walikuwa na nguvu.
Atutajie ni Bunge lipi hapo kabla liliwahi kupinga suala lililoletwa na Serikali kujadiliwa bungeni ! Kuanzia bunge la kwanza la vyama vingi 1995 !
 
Raisi Samia siyo Mtanganyika = A Fact
Raisi Samia kauza mali za Tanganyika = A Fact
Raisi Samia kauza mali za Tanganyika kwa Waarabu = Also a Fact
Hakuna dact hapo rudi darasani.
Fact ni kwamba kama hamuwataki Wazanzibar vunjwni Muungano mbona watafurahi? Samia
 
Ukiwa na maana ya kwamba chaguzi za kabla ya 2020 zilikuwa za haki?
 
Wewe ndio unatupangia wa wakumchagua hatumchagui mtu kwa kuangalia chuki zenu na visasi baada ya Magufuli kuwanyoosha vyeti feki, wakwepa kodi, mafisadi, walamba asali, majizi, wauza ngada mnaomba asirudi tena
 
Hawakuwa na nguvu ya kuzuia masuala ambayo serikali ya ccm imetaka kuyapitisha, kunahitajika wabunge wengi zaidi wa upinzani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…