Narudia tena, tusije kurudia kufanya kosa kama la 2015. Nchi ilikuwa inaenda kufa

😁😁😁
downloadfile-7.jpg
Q0f.jpg
 
Now, this is what I call a hive mindset and over-sensationalism of Tanzanian intelligentsia.

Kama unadhani ufisadi wa CCM ni EPA, BAE-Radar, Tegeta ESCROW, RICHMOND, MEREMETA na DOWANS basi itabidi tukufunge kurunzi la NASA. Tanzania hii kuna watu ambao ni hatari kwa nchi na hata nchi jirani. The Panama Papers zilivyovuja kuna mambo yalikuwaya hatari mno mle na watanzania walikuwepo, lakini nashangaa wewe hujayagusia hapa kabisa. Wewe umekomaa na ufisadi wa vigogo wa CCM tu ambao uko kwenye magazeti hujagusa yale ya gizani.

The Panama Papers zinasema kuna watanzania wamezaliwa na kukulia mkoa wa Iringa lakini wana ukwasi wa kutisha kiasi cha kumwaga mabilioni ya pesa kwenye vyama vya siasa na makundi ya wahalifu kule nchi za Afrika ya kati na Afrika Magharibi. The trademarks of these people are just appalling, and makes scandals like EPA na ESCROW look like peanuts. If you carefully read the Panama Papers you'll discover that the Richmond CCM thugs are nothing but kindergarten babies compared to these international mafia.

Saying some people are "still untouchable" is a misnomer for phrases "blatant denial", and "sensationalism", which are major drawbacks for acumen and intellectual objectivity.

Hili la CCM kuguswa nadhani wandani wa chama kama Mzee wetu Jakaya Kikwete, Raisi Samia, Mzee Kinana, Mzee Lowassa, Mzee Makamba, Mzee Mangula, Mzee Membe, Mzee Rostam, na Marehemu Mzee Mkapa (May his soul rest in peace), ndiyo wanaweza kutoa majibu sahihi kwamba CCM iliguswa au haikuguswa.

Now, was Magufuli a saint ? No, he wasn't, and I never said he was.
He was a dark figure. Not, only dark, but pitch-black dark.. Nevertheless, he was Darkness in God's servitude.

As a historian and political realist, I have come to understand that Darkness is an integral part of human development.
See! similar cases were evident in America, England, China, Scandinavia, Russia, Singapore, so Tanzania is no different.

Ukweli mchungu ambao wengi wenu humu mliojaa hisia mnashindwa kuukubali hadi kushindwa kuangalia mambo kwa mapana yake ni kwamba vita ya Raisi Magufuli imewanufaisha CCM, CHADEMA, TISS, JWTZ, Raisi Samia na watanzania wote kwa ujumla. Kuna baadhi ya watu hapa nchini kama wasingeondolewa na Raisi Magufuli, hata upinzani wangechukua nchi sidhani kama hata wao wangeweza kuwagusa.

Huu ndiyo ukweli mchungu ambao hata watu kwenye vyombo vya usalama wanaufahamu lakini kwasababu ya chuki na hisia hawawezi kuukubali hadharani. This is understandable on their side, President Magufuli was an excessive lose canon. Moja kati ya majasusi waandamizi nchini, Mzee Mizengo Pinda akiwa waziri mkuu aliwahi kutamka hadharani bungeni kwamba tukiwagusa mafisadi uchumi wa nchi utayumba. Huu ndiyo utamaduni ambao ulijengeka hadi pale alipokuja Raisi Magufuli.

Raisi Samia angemkuta Yusuph Manji yule wa kipindi cha Jakaya Kikwete, sidhani hata kama angediriki kuwatuma vijana wake wa TISS kwenda kumkamata pale uwanja wa ndege wa Nyerere na kumshughulikia. Mtu ambaye kawaweka majaji na wanasheria wa serikali mfukoni, anakopesha makada wa CCM, ameshika tenda kubwa za jeshi, anawahongwa mashehe na kuna vijana wa TISS ni wafanyakazi wake unadhani hata CHADEMA wangechukua nchi wangemfanya kitu ?

Hivi watu kama Patel, Harbinder, Rugemalila unadhani unaweza kuwashinda kwa kwenda nao mahakamani ? Hata huko Marekani mnakopenda kukusifia walishughulika na mafisadi katika njia hizihizi ambazo TISS na Magufuli walizitumia. Ukifuatilia mambo ambayo EDGAR J HOOVER aliyafanya miaka ya 1920's dhidi ya Wakomunisti wa Marekani waliokuwa wanataka kusababisha vurugu, miaka ya 1930's dhidi ya magenge ya wahalifu kama kina John Dilinger, unaweza kubaki mdomo wazi tu. Sema shida yenu kubwa ni kwamba hamuwezi kuungalia ukweli usoni.

Hoja ya mleta mada ni nzito mno, na hakuna muungwana anayeweza kuipinga hata kidogo. Hata binafsi siwezi kuipinga kwasababu nafahamu kilichokuwa kinaendelea hapa nchini kwa kukiona siyo kusimuliwa au kulishwa maneno na mitandao. Hivyo nafahamu ukweli ni upi na wongo ni upi.

Ukweli ni kwamba mtu wa hulka ya Raisi Magufuli alitakiwa aishie nafasi ya utendaji kama uwaziri mkuu na siyo kuachiwa uraisi wa nchi kama Tanzania. Ila akapewa madaraka kwasababu mifumo ya nchi haikuwakubali Lowassa na Membe. So he was a compromise candidate na kulikuwa hakuna mbadala zaidi yake. Lakini pia historia yake ya utendaji ilimbeba sana. Japo wengi tunaomfahamu tokea yuko ujenzi na tabia zake za kibabe tulikuwa tunacheki tu tunasema hawa hawajui.

Ukweli mwingine ni kwamba Tanzania inabidi ijifunze, hasa watawala wa CCM kwamba Raisi Magufuli alikuwa ni zao la mfumo mbovu wa kushindwa kuandaa viongozi na makundi mabaya ya kukomoana na ulaji yaliyojengwa na Raisi Kikwete na genge lake tokea miaka ya 90's. Hivyo watanzania mnaolalamika mngekuwa waungwana sana kama lawama zingeenda pia kwa watu waliomuweka Raisi Magufuli ilhali wakijua tabia zake ngumu tangu akiwa waziri.

Ukweli mwingine mgumu kuumeza ni kwamba, Raisi Magufuli anapendwa sana na watanzania wa kawaida ambao wewe na mimi tunawaita "Uneducated" and "unsophisticated". Sisi tuliotembea sehemu kubwa ya Tanzania, mjini na vijijini tumekuja kuukubali huu ukweli hata kama hapo mwanzo tulipingana sana na sera za Magufuli. Mpaka sasa naendelea kujifunza vitu vipya na nazidi kubadilika mawazo kuhusu Magufuli, japo baadhi ya sera zake mbovu ntaendelea kuzichukia na kuzilaani.

A Champion of the common folk, is an accolade I cannot deny him. I choose to give the devil his dues.

Uwongo kuhusu Rasi Magufuli ni huu: Kwamba kila aliyeguswa na Raisi Magufuli alikuwa ni mtakatifu na alionewa wivu kwasababu Raisi Magufuli alikuwa ni mtu wa visasi na mwenye kukurupuka. Kwamba Raisi Magufuli alikuwa anawonea wivu wakina Shubash Patel, Sumaiyah, Dewji, Rostam Aziz, Gulam brothers, Manji, Harbinder, Rugemalira na kwamba hawa walikuwa ni malaika ambao hawana dhambi dhidi ya hili taifa. Huu ni upuuzi mkubwa mno, kwasababu mafaili kuhusu hawa watu TISS walianza kuyapeleka ikulu tokea awamu ya tatu lakini yakapigwa kapuni.

Tena kama ulikuwa hujui mafaili haya yalipelekwa kwenye uchaguzi wa CCM mwaka 2005 ili kumfanya Jakaya asiwe Raisi kwasababu alikuwa na mtandao mbaya. Lakini hata Mzee Mkapa na ubabe wake alishindwa kufanya lolote lile kwasababu alikuwa anaogopa kugusu baadhi ya mambo nchi isichafuke.

Uwongo mwingine wa mwisho ambao wengi mnaoupenda ni huu: Utawala wa Raisi Magufuli was a one man's show. Kitu ambacho wengi hamkifahamu ni kwamba Tanzania mbali na madhaifu yake mengi ina mifumo ya kiusalama yenye nguvu kubwa mno. Kama Raisi Magufuli angekuwa peke yake basi hata mwaka mmoja asingemaliza salama. Nyuma ya pazia Raisi Magufuli alikuwa anaungwa mkono na genge la MIZEE YA COLD-WAR, ile mijasusi ya tokea kipindi cha Nyerere ambayo haitaki kukubali kwamba vita baridi imeisha na dunia imebadilika.

Kuna wazee walikuwa wazito ndiyo walikuwa wanampa Magufuli taarifa hadi akaweza kufahamu apige wapi na kufanikiwa kuwakata baadhi ya watu mikia. Hivi unadhani kwa akili ya kawaida tu, Raisi Magufuli anageweza kuwashinda wakina Mkapa na Kikwete kirahisi-rahisi tu ? Kuna wazee nawafahamu wa kichagga, Kihehe, kibena, Kinyakyusa ndani ya mfumo ambao walikuwa wanafurahishwa mno na Raisi Magufuli hadi kumuunga mkono kwenye kumkomesha Jakaya ambaye wengi huamini kwamba hakutakiwa kuwa Raisi mwaka 2005 na ndiye kansa ya nchi.

Mwisho kabisa: Nakubali watanzania waliumizwa, lakini tatizo siyo Magufuli peke yake. Kumwangushia jumba lote la lawama na kushindwa kufahamu kwamba kuna maelfu nyuma ya pazia waliouwezesha utawala wake ni ujinga wa kupindukia. Ndiyo maana hata Hitler alipoondoka kulikuwa na The Denazification Project kuwaondoa wafuasi wake watiifu ndani ya Ujerumani. Ila pia kusema kwamba miaka yote mitano hakuna jema ambalo Raisi Magufuli amefanya ni ubazazi ambao mimi binafsi niliyefanikiwa kwenda shule na kuifahamu hii nchi vizuri siwezi kukubali kulishwa na mtu yoyote, nimeona kwa macho yangu na kusikia kwa masikio yangu.
Comments Bora kabisa

Sent from my TECNO KE5 using JamiiForums mobile app
 
A short lived frenzy and hysteria...Some Say
A Good riddance...Some say Too
A homicidal maniac....His common nomenclature

But I say this, with all his pitfalls, President Magufuli successfully put to light a grotesque and diabolical nefarious cabal that has stealthily sucked our nation's resources like leeches. The people whom we never knew existed. Most of traitors are now known by their names and monikers. For this, he earned my deepest respect.
MANY "traitors are now known by their names". Well said! We can name them herein; Bashiru, Polepole, Sabaya and the likes.
 
Kila kitu kilikuwa kinaenda ovyo kana kwamba tunaongozwa na darasa la saba au nursery kabisa.

Hebu fikiria yafuatayo:

1. Uhuru wa habari ulikuwa umezimwa kama mshumaa ikabaki ni kumsifia tu mpaka kikaanziaha kipindi Cha kishindo Cha awamu ya tano.

2. CAG alivyoibua madudu tu akatumbuliwa fasta.

3. Wawekezaji wanakimbia daily wa nje na ndani nchi ikabaki biashara ni ngumu na ukumbuke watu walikuwa wanapoteza ajira daily ndo ikazalisha mass unemployment tunayoiona Leo.

4. Ukiamka tu asubuhi hujui kama utarudi nyumbani salama mana wasiojulikana walikuwa wametanda kila Kona na tunaogopana hasa.

5. Madudu ya yule bwana ni mengi mno natumia kuandika kitabu ili iwe fundisho kwa wengine
Ila Tanzania kuna matahira jamani
 
Antony Dialo alisema haitakaa ijirudie tena.

Hata akina Makamba na Kinana hawawezi ruhusu.

Kuna kipindi nilikuwa nakaa kwenye vijiwe nakuta FFU wanasikiliza Hotuba za Lissu Youtube.

Nikajifanya kumponda Lissu ili niwasikie.

Aisee jamaa wanamkubali sana.
🤣🤣🤣 acha uongo yaani FFU wakae kwenye kijiwe wanamskiliza lisu???

Alafu huyo mropokaji nani anamkubali zaidi ya nyie wajinga.

Alafu suala la Makamba na kinana kupitisha jina la mgombea urais haliwezekani CCM sio kama chadema chama cha familia ya kina mbowe . Yaani hadi mbowe akae na Baba mkwe wake mzee mtei ndio waamue nani awe mgombea urais.

Ccm ni taasisi hakuna alie juu ya Ccm ndio maana hakuna mwenyekiti wa moja kwa moja hadi milele kama chadema mna mwenyekiti wa milele hadi atakapokufa na akifa analisi mwana familia ili ukoo usipotee.

Kinana na Makamba hawana mamlaka ya kuchagua jina la Mgombea urais moja kwa moja acha uoambafu wako
 
Now, this is what I call a hive mindset and over-sensationalism of Tanzanian intelligentsia.

Kama unadhani ufisadi wa CCM ni EPA, BAE-Radar, Tegeta ESCROW, RICHMOND, MEREMETA na DOWANS basi itabidi tukufunge kurunzi la NASA. Tanzania hii kuna watu ambao ni hatari kwa nchi na hata nchi jirani. The Panama Papers zilivyovuja kuna mambo yalikuwaya hatari mno mle na watanzania walikuwepo, lakini nashangaa wewe hujayagusia hapa kabisa. Wewe umekomaa na ufisadi wa vigogo wa CCM tu ambao uko kwenye magazeti hujagusa yale ya gizani.

The Panama Papers zinasema kuna watanzania wamezaliwa na kukulia mkoa wa Iringa lakini wana ukwasi wa kutisha kiasi cha kumwaga mabilioni ya pesa kwenye vyama vya siasa na makundi ya wahalifu kule nchi za Afrika ya kati na Afrika Magharibi. The trademarks of these people are just appalling, and makes scandals like EPA na ESCROW look like peanuts. If you carefully read the Panama Papers you'll discover that the Richmond CCM thugs are nothing but kindergarten babies compared to these international mafia.

Saying some people are "still untouchable" is a misnomer for phrases "blatant denial", and "sensationalism", which are major drawbacks for acumen and intellectual objectivity.

Hili la CCM kuguswa nadhani wandani wa chama kama Mzee wetu Jakaya Kikwete, Raisi Samia, Mzee Kinana, Mzee Lowassa, Mzee Makamba, Mzee Mangula, Mzee Membe, Mzee Rostam, na Marehemu Mzee Mkapa (May his soul rest in peace), ndiyo wanaweza kutoa majibu sahihi kwamba CCM iliguswa au haikuguswa.

Now, was Magufuli a saint ? No, he wasn't, and I never said he was.
He was a dark figure. Not, only dark, but pitch-black dark.. Nevertheless, he was Darkness in God's servitude.

As a historian and political realist, I have come to understand that Darkness is an integral part of human development.
See! similar cases were evident in America, England, China, Scandinavia, Russia, Singapore, so Tanzania is no different.

Ukweli mchungu ambao wengi wenu humu mliojaa hisia mnashindwa kuukubali hadi kushindwa kuangalia mambo kwa mapana yake ni kwamba vita ya Raisi Magufuli imewanufaisha CCM, CHADEMA, TISS, JWTZ, Raisi Samia na watanzania wote kwa ujumla. Kuna baadhi ya watu hapa nchini kama wasingeondolewa na Raisi Magufuli, hata upinzani wangechukua nchi sidhani kama hata wao wangeweza kuwagusa.

Huu ndiyo ukweli mchungu ambao hata watu kwenye vyombo vya usalama wanaufahamu lakini kwasababu ya chuki na hisia hawawezi kuukubali hadharani. This is understandable on their side, President Magufuli was an excessive lose canon. Moja kati ya majasusi waandamizi nchini, Mzee Mizengo Pinda akiwa waziri mkuu aliwahi kutamka hadharani bungeni kwamba tukiwagusa mafisadi uchumi wa nchi utayumba. Huu ndiyo utamaduni ambao ulijengeka hadi pale alipokuja Raisi Magufuli.

Raisi Samia angemkuta Yusuph Manji yule wa kipindi cha Jakaya Kikwete, sidhani hata kama angediriki kuwatuma vijana wake wa TISS kwenda kumkamata pale uwanja wa ndege wa Nyerere na kumshughulikia. Mtu ambaye kawaweka majaji na wanasheria wa serikali mfukoni, anakopesha makada wa CCM, ameshika tenda kubwa za jeshi, anawahongwa mashehe na kuna vijana wa TISS ni wafanyakazi wake unadhani hata CHADEMA wangechukua nchi wangemfanya kitu ?

Hivi watu kama Patel, Harbinder, Rugemalila unadhani unaweza kuwashinda kwa kwenda nao mahakamani ? Hata huko Marekani mnakopenda kukusifia walishughulika na mafisadi katika njia hizihizi ambazo TISS na Magufuli walizitumia. Ukifuatilia mambo ambayo EDGAR J HOOVER aliyafanya miaka ya 1920's dhidi ya Wakomunisti wa Marekani waliokuwa wanataka kusababisha vurugu, miaka ya 1930's dhidi ya magenge ya wahalifu kama kina John Dilinger, unaweza kubaki mdomo wazi tu. Sema shida yenu kubwa ni kwamba hamuwezi kuungalia ukweli usoni.

Hoja ya mleta mada ni nzito mno, na hakuna muungwana anayeweza kuipinga hata kidogo. Hata binafsi siwezi kuipinga kwasababu nafahamu kilichokuwa kinaendelea hapa nchini kwa kukiona siyo kusimuliwa au kulishwa maneno na mitandao. Hivyo nafahamu ukweli ni upi na wongo ni upi.

Ukweli ni kwamba mtu wa hulka ya Raisi Magufuli alitakiwa aishie nafasi ya utendaji kama uwaziri mkuu na siyo kuachiwa uraisi wa nchi kama Tanzania. Ila akapewa madaraka kwasababu mifumo ya nchi haikuwakubali Lowassa na Membe. So he was a compromise candidate na kulikuwa hakuna mbadala zaidi yake. Lakini pia historia yake ya utendaji ilimbeba sana. Japo wengi tunaomfahamu tokea yuko ujenzi na tabia zake za kibabe tulikuwa tunacheki tu tunasema hawa hawajui.

Ukweli mwingine ni kwamba Tanzania inabidi ijifunze, hasa watawala wa CCM kwamba Raisi Magufuli alikuwa ni zao la mfumo mbovu wa kushindwa kuandaa viongozi na makundi mabaya ya kukomoana na ulaji yaliyojengwa na Raisi Kikwete na genge lake tokea miaka ya 90's. Hivyo watanzania mnaolalamika mngekuwa waungwana sana kama lawama zingeenda pia kwa watu waliomuweka Raisi Magufuli ilhali wakijua tabia zake ngumu tangu akiwa waziri.

Ukweli mwingine mgumu kuumeza ni kwamba, Raisi Magufuli anapendwa sana na watanzania wa kawaida ambao wewe na mimi tunawaita "Uneducated" and "unsophisticated". Sisi tuliotembea sehemu kubwa ya Tanzania, mjini na vijijini tumekuja kuukubali huu ukweli hata kama hapo mwanzo tulipingana sana na sera za Magufuli. Mpaka sasa naendelea kujifunza vitu vipya na nazidi kubadilika mawazo kuhusu Magufuli, japo baadhi ya sera zake mbovu ntaendelea kuzichukia na kuzilaani.

A Champion of the common folk, is an accolade I cannot deny him. I choose to give the devil his dues.

Uwongo kuhusu Rasi Magufuli ni huu: Kwamba kila aliyeguswa na Raisi Magufuli alikuwa ni mtakatifu na alionewa wivu kwasababu Raisi Magufuli alikuwa ni mtu wa visasi na mwenye kukurupuka. Kwamba Raisi Magufuli alikuwa anawonea wivu wakina Shubash Patel, Sumaiyah, Dewji, Rostam Aziz, Gulam brothers, Manji, Harbinder, Rugemalira na kwamba hawa walikuwa ni malaika ambao hawana dhambi dhidi ya hili taifa. Huu ni upuuzi mkubwa mno, kwasababu mafaili kuhusu hawa watu TISS walianza kuyapeleka ikulu tokea awamu ya tatu lakini yakapigwa kapuni.

Tena kama ulikuwa hujui mafaili haya yalipelekwa kwenye uchaguzi wa CCM mwaka 2005 ili kumfanya Jakaya asiwe Raisi kwasababu alikuwa na mtandao mbaya. Lakini hata Mzee Mkapa na ubabe wake alishindwa kufanya lolote lile kwasababu alikuwa anaogopa kugusu baadhi ya mambo nchi isichafuke.

Uwongo mwingine wa mwisho ambao wengi mnaoupenda ni huu: Utawala wa Raisi Magufuli was a one man's show. Kitu ambacho wengi hamkifahamu ni kwamba Tanzania mbali na madhaifu yake mengi ina mifumo ya kiusalama yenye nguvu kubwa mno. Kama Raisi Magufuli angekuwa peke yake basi hata mwaka mmoja asingemaliza salama. Nyuma ya pazia Raisi Magufuli alikuwa anaungwa mkono na genge la MIZEE YA COLD-WAR, ile mijasusi ya tokea kipindi cha Nyerere ambayo haitaki kukubali kwamba vita baridi imeisha na dunia imebadilika.

Kuna wazee walikuwa wazito ndiyo walikuwa wanampa Magufuli taarifa hadi akaweza kufahamu apige wapi na kufanikiwa kuwakata baadhi ya watu mikia. Hivi unadhani kwa akili ya kawaida tu, Raisi Magufuli anageweza kuwashinda wakina Mkapa na Kikwete kirahisi-rahisi tu ? Kuna wazee nawafahamu wa kichagga, Kihehe, kibena, Kinyakyusa ndani ya mfumo ambao walikuwa wanafurahishwa mno na Raisi Magufuli hadi kumuunga mkono kwenye kumkomesha Jakaya ambaye wengi huamini kwamba hakutakiwa kuwa Raisi mwaka 2005 na ndiye kansa ya nchi.

Mwisho kabisa: Nakubali watanzania waliumizwa, lakini tatizo siyo Magufuli peke yake. Kumwangushia jumba lote la lawama na kushindwa kufahamu kwamba kuna maelfu nyuma ya pazia waliouwezesha utawala wake ni ujinga wa kupindukia. Ndiyo maana hata Hitler alipoondoka kulikuwa na The Denazification Project kuwaondoa wafuasi wake watiifu ndani ya Ujerumani. Ila pia kusema kwamba miaka yote mitano hakuna jema ambalo Raisi Magufuli amefanya ni ubazazi ambao mimi binafsi niliyefanikiwa kwenda shule na kuifahamu hii nchi vizuri siwezi kukubali kulishwa na mtu yoyote, nimeona kwa macho yangu na kusikia kwa masikio yangu.
Wewe ndiye unayelalamika na kuhangaika kuhusu Magufuli. Sisi tunaoujua ukweli wa nchi hii hatuna muda wa kupoteza kuchambua uozo aliouunda JKN na gullibly akawarithisha “vijana wake” aliofikiri wanaaminika akijidanganya kuwa wataendeleza legacy yake yenye mikanganyiko kibao.

Hili ni Frankenstein’s Monster litakaloendelea kuisulubu nchi hii hadi hapo kizazi chenye uelewa, nia, utashi na ujasiri wa kulifyekelea mbali kitakapoibuka. Uko sahihi kuwa Magufuli alikuwa matokeo ya uozo huo. Nasisitiza hakika Magufuli hakuwa jibu bali kielelezo dhahiri cha hatari za mfumo huo wa ovyo. Alikuwa kichocheo (catalyst) cha kuendeleza maafa ya taifa hili na zaidi ya yote alidhamiria kulipitisha taifa na watu wake ndani ya bonde la kivuli cha mauti kabisa. His was a sinister era indeed.
 
Hivi mfano Yusuf Manji unaweza sema aliteseka na wakati alihamishia biashara zake South Africa?Vipi wewe mtoto wa mkulima ambaye baba yako alikuwa analima Mbaazi na kumuuzia huyo Manji kwa tsh 2000 kwa kilo,na baada ya kuondoka Manji,Mbaazi zikashuka bei mpaka tsh 150 kwa kilo?.Hapa bado hujatambua aliyeteswa ni yupi?.
Wewe ni tahira unajua chanzo cha kuondoka manji au unaongea tu kama zwawa
 
Wewe ndiye unayelalamika na kuhangaika kuhusu Magufuli. Sisi tunaoujua ukweli wa nchi hii hatuna muda wa kupoteza kuchambua uozo aliouunda JKN na gullibly akawarithisha “vijana wake” aliofikiri wanaaminika akijidanganya kuwa wataendeleza legacy yake yenye mikanganyiko kibao.

Hili ni Frankenstein’s Monster litakaloendelea kuisulubu nchi hii hadi hapo kizazi chenye uelewa, nia, utashi na ujasiri wa kulifyekelea mbali kitakapoibuka. Uko sahihi kuwa Magufuli alikuwa matokeo ya uozo huo. Nasisitiza hakika Magufuli hakuwa jibu bali kielelezo dhahiri cha hatari za mfumo huo wa ovyo. Alikuwa kichocheo (catalyst) cha kuendeleza maafa ya taifa hili na zaidi ya yote alidhamiria kulipitisha taifa na watu wake ndani ya bonde la kivuli cha mauti kabisa. His was a sinister era indeed.
SIWEZI KUJIHANGAISHA NA MFU.

I am not a zealot of political necromancy. But facts of what my eyes and ears beheld, those I will testify to the likes of you. Off course, after having detached myself from the hive mindset and unwanted sensationalism.

Nasema tena, kuna watu kama Raisi Magufuli asingewagusa sidhani kama hata upinzani wangedirikia kuwagusa kirahisi hata kama wangechukua nchi.

Sasa tunaweza kuendelea kubishana kuhusu "motive" ya Raisi Magufuli kwenye vita yake dhidi ya hawa watu, lakini jambo ambalo nadhani hatuwezi kulipinga ni kwamba matokeo ya hii vita yameturahisishia watanzania mambo mengi mno.

See you around cupid...
 
Kila kitu kilikuwa kinaenda ovyo kana kwamba tunaongozwa na darasa la saba au nursery kabisa.

Hebu fikiria yafuatayo:

1. Uhuru wa habari ulikuwa umezimwa kama mshumaa ikabaki ni kumsifia tu mpaka kikaanziaha kipindi Cha kishindo Cha awamu ya tano.

2. CAG alivyoibua madudu tu akatumbuliwa fasta.

3. Wawekezaji wanakimbia daily wa nje na ndani nchi ikabaki biashara ni ngumu na ukumbuke watu walikuwa wanapoteza ajira daily ndo ikazalisha mass unemployment tunayoiona Leo.

4. Ukiamka tu asubuhi hujui kama utarudi nyumbani salama mana wasiojulikana walikuwa wametanda kila Kona na tunaogopana hasa.

5. Madudu ya yule bwana ni mengi mno natumia kuandika kitabu ili iwe fundisho kwa wengine
Wewe usiwe na wasiwasi sisi binadamu tukikosea tukaanza kutaabika huwa tunamuomba Mungu kisha huwa inampendeza na kisha huwa anaingilia kati.
Kujisemea mzee Hashim Rungwe mzee wa ubwabwa..... Kama si Mungu kuingilia kati..................
 
Now, this is what I call a hive mindset and over-sensationalism of Tanzanian intelligentsia.

Kama unadhani ufisadi wa CCM ni EPA, BAE-Radar, Tegeta ESCROW, RICHMOND, MEREMETA na DOWANS basi itabidi tukufunge kurunzi la NASA. Tanzania hii kuna watu ambao ni hatari kwa nchi na hata nchi jirani. The Panama Papers zilivyovuja kuna mambo yalikuwaya hatari mno mle na watanzania walikuwepo, lakini nashangaa wewe hujayagusia hapa kabisa. Wewe umekomaa na ufisadi wa vigogo wa CCM tu ambao uko kwenye magazeti hujagusa yale ya gizani.

The Panama Papers zinasema kuna watanzania wamezaliwa na kukulia mkoa wa Iringa lakini wana ukwasi wa kutisha kiasi cha kumwaga mabilioni ya pesa kwenye vyama vya siasa na makundi ya wahalifu kule nchi za Afrika ya kati na Afrika Magharibi. The trademarks of these people are just appalling, and makes scandals like EPA na ESCROW look like peanuts. If you carefully read the Panama Papers you'll discover that the Richmond CCM thugs are nothing but kindergarten babies compared to these international mafia.

Saying some people are "still untouchable" is a misnomer for phrases "blatant denial", and "sensationalism", which are major drawbacks for acumen and intellectual objectivity.

Hili la CCM kuguswa nadhani wandani wa chama kama Mzee wetu Jakaya Kikwete, Raisi Samia, Mzee Kinana, Mzee Lowassa, Mzee Makamba, Mzee Mangula, Mzee Membe, Mzee Rostam, na Marehemu Mzee Mkapa (May his soul rest in peace), ndiyo wanaweza kutoa majibu sahihi kwamba CCM iliguswa au haikuguswa.

Now, was Magufuli a saint ? No, he wasn't, and I never said he was.
He was a dark figure. Not, only dark, but pitch-black dark.. Nevertheless, he was Darkness in God's servitude.

As a historian and political realist, I have come to understand that Darkness is an integral part of human development.
See! similar cases were evident in America, England, China, Scandinavia, Russia, Singapore, so Tanzania is no different.

Ukweli mchungu ambao wengi wenu humu mliojaa hisia mnashindwa kuukubali hadi kushindwa kuangalia mambo kwa mapana yake ni kwamba vita ya Raisi Magufuli imewanufaisha CCM, CHADEMA, TISS, JWTZ, Raisi Samia na watanzania wote kwa ujumla. Kuna baadhi ya watu hapa nchini kama wasingeondolewa na Raisi Magufuli, hata upinzani wangechukua nchi sidhani kama hata wao wangeweza kuwagusa.

Huu ndiyo ukweli mchungu ambao hata watu kwenye vyombo vya usalama wanaufahamu lakini kwasababu ya chuki na hisia hawawezi kuukubali hadharani. This is understandable on their side, President Magufuli was an excessive lose canon. Moja kati ya majasusi waandamizi nchini, Mzee Mizengo Pinda akiwa waziri mkuu aliwahi kutamka hadharani bungeni kwamba tukiwagusa mafisadi uchumi wa nchi utayumba. Huu ndiyo utamaduni ambao ulijengeka hadi pale alipokuja Raisi Magufuli.

Raisi Samia angemkuta Yusuph Manji yule wa kipindi cha Jakaya Kikwete, sidhani hata kama angediriki kuwatuma vijana wake wa TISS kwenda kumkamata pale uwanja wa ndege wa Nyerere na kumshughulikia. Mtu ambaye kawaweka majaji na wanasheria wa serikali mfukoni, anakopesha makada wa CCM, ameshika tenda kubwa za jeshi, anawahongwa mashehe na kuna vijana wa TISS ni wafanyakazi wake unadhani hata CHADEMA wangechukua nchi wangemfanya kitu ?

Hivi watu kama Patel, Harbinder, Rugemalila unadhani unaweza kuwashinda kwa kwenda nao mahakamani ? Hata huko Marekani mnakopenda kukusifia walishughulika na mafisadi katika njia hizihizi ambazo TISS na Magufuli walizitumia. Ukifuatilia mambo ambayo EDGAR J HOOVER aliyafanya miaka ya 1920's dhidi ya Wakomunisti wa Marekani waliokuwa wanataka kusababisha vurugu, miaka ya 1930's dhidi ya magenge ya wahalifu kama kina John Dilinger, unaweza kubaki mdomo wazi tu. Sema shida yenu kubwa ni kwamba hamuwezi kuungalia ukweli usoni.

Hoja ya mleta mada ni nzito mno, na hakuna muungwana anayeweza kuipinga hata kidogo. Hata binafsi siwezi kuipinga kwasababu nafahamu kilichokuwa kinaendelea hapa nchini kwa kukiona siyo kusimuliwa au kulishwa maneno na mitandao. Hivyo nafahamu ukweli ni upi na wongo ni upi.

Ukweli ni kwamba mtu wa hulka ya Raisi Magufuli alitakiwa aishie nafasi ya utendaji kama uwaziri mkuu na siyo kuachiwa uraisi wa nchi kama Tanzania. Ila akapewa madaraka kwasababu mifumo ya nchi haikuwakubali Lowassa na Membe. So he was a compromise candidate na kulikuwa hakuna mbadala zaidi yake. Lakini pia historia yake ya utendaji ilimbeba sana. Japo wengi tunaomfahamu tokea yuko ujenzi na tabia zake za kibabe tulikuwa tunacheki tu tunasema hawa hawajui.

Ukweli mwingine ni kwamba Tanzania inabidi ijifunze, hasa watawala wa CCM kwamba Raisi Magufuli alikuwa ni zao la mfumo mbovu wa kushindwa kuandaa viongozi na makundi mabaya ya kukomoana na ulaji yaliyojengwa na Raisi Kikwete na genge lake tokea miaka ya 90's. Hivyo watanzania mnaolalamika mngekuwa waungwana sana kama lawama zingeenda pia kwa watu waliomuweka Raisi Magufuli ilhali wakijua tabia zake ngumu tangu akiwa waziri.

Ukweli mwingine mgumu kuumeza ni kwamba, Raisi Magufuli anapendwa sana na watanzania wa kawaida ambao wewe na mimi tunawaita "Uneducated" and "unsophisticated". Sisi tuliotembea sehemu kubwa ya Tanzania, mjini na vijijini tumekuja kuukubali huu ukweli hata kama hapo mwanzo tulipingana sana na sera za Magufuli. Mpaka sasa naendelea kujifunza vitu vipya na nazidi kubadilika mawazo kuhusu Magufuli, japo baadhi ya sera zake mbovu ntaendelea kuzichukia na kuzilaani.

A Champion of the common folk, is an accolade I cannot deny him. I choose to give the devil his dues.

Uwongo kuhusu Rasi Magufuli ni huu: Kwamba kila aliyeguswa na Raisi Magufuli alikuwa ni mtakatifu na alionewa wivu kwasababu Raisi Magufuli alikuwa ni mtu wa visasi na mwenye kukurupuka. Kwamba Raisi Magufuli alikuwa anawonea wivu wakina Shubash Patel, Sumaiyah, Dewji, Rostam Aziz, Gulam brothers, Manji, Harbinder, Rugemalira na kwamba hawa walikuwa ni malaika ambao hawana dhambi dhidi ya hili taifa. Huu ni upuuzi mkubwa mno, kwasababu mafaili kuhusu hawa watu TISS walianza kuyapeleka ikulu tokea awamu ya tatu lakini yakapigwa kapuni.

Tena kama ulikuwa hujui mafaili haya yalipelekwa kwenye uchaguzi wa CCM mwaka 2005 ili kumfanya Jakaya asiwe Raisi kwasababu alikuwa na mtandao mbaya. Lakini hata Mzee Mkapa na ubabe wake alishindwa kufanya lolote lile kwasababu alikuwa anaogopa kugusu baadhi ya mambo nchi isichafuke.

Uwongo mwingine wa mwisho ambao wengi mnaoupenda ni huu: Utawala wa Raisi Magufuli was a one man's show. Kitu ambacho wengi hamkifahamu ni kwamba Tanzania mbali na madhaifu yake mengi ina mifumo ya kiusalama yenye nguvu kubwa mno. Kama Raisi Magufuli angekuwa peke yake basi hata mwaka mmoja asingemaliza salama. Nyuma ya pazia Raisi Magufuli alikuwa anaungwa mkono na genge la MIZEE YA COLD-WAR, ile mijasusi ya tokea kipindi cha Nyerere ambayo haitaki kukubali kwamba vita baridi imeisha na dunia imebadilika.

Kuna wazee walikuwa wazito ndiyo walikuwa wanampa Magufuli taarifa hadi akaweza kufahamu apige wapi na kufanikiwa kuwakata baadhi ya watu mikia. Hivi unadhani kwa akili ya kawaida tu, Raisi Magufuli anageweza kuwashinda wakina Mkapa na Kikwete kirahisi-rahisi tu ? Kuna wazee nawafahamu wa kichagga, Kihehe, kibena, Kinyakyusa ndani ya mfumo ambao walikuwa wanafurahishwa mno na Raisi Magufuli hadi kumuunga mkono kwenye kumkomesha Jakaya ambaye wengi huamini kwamba hakutakiwa kuwa Raisi mwaka 2005 na ndiye kansa ya nchi.

Mwisho kabisa: Nakubali watanzania waliumizwa, lakini tatizo siyo Magufuli peke yake. Kumwangushia jumba lote la lawama na kushindwa kufahamu kwamba kuna maelfu nyuma ya pazia waliouwezesha utawala wake ni ujinga wa kupindukia. Ndiyo maana hata Hitler alipoondoka kulikuwa na The Denazification Project kuwaondoa wafuasi wake watiifu ndani ya Ujerumani. Ila pia kusema kwamba miaka yote mitano hakuna jema ambalo Raisi Magufuli amefanya ni ubazazi ambao mimi binafsi niliyefanikiwa kwenda shule na kuifahamu hii nchi vizuri siwezi kukubali kulishwa na mtu yoyote, nimeona kwa macho yangu na kusikia kwa masikio yangu.
Nikipata muda andiko lako nitalipandisha kama Uzi
 
Sasa yanayofanyika sasa unaona yako sawa ,vipi uhuru wa kujieleza na kifungo cha mwanamuziki kwa kuimba ushungi,vipi waliotajwa na CAG wa sasa wamefungwa jela gani ?

USSR
Huyo amefikisha mahakamani, amehukumiwa. Wakati ule wa kipindi cha giza watu wasiojylikana wangempotezwa moja kwa moja au maiti yake ingekutwa mtaroni.
 
A short lived frenzy and hysteria...Some Say
A Good riddance...Some say Too
A homicidal maniac....His common nomenclature

But I say this, with all his pitfalls, President Magufuli successfully put to light a grotesque and diabolical nefarious cabal that has stealthily sucked our nation's resources like leeches. The people whom we never knew existed. Most of traitors are now known by their names and monikers. For this, he earned my deepest respect.
Crap from a low mind.
 
Sasa yanayofanyika sasa unaona yako sawa ,vipi uhuru wa kujieleza na kifungo cha mwanamuziki kwa kuimba ushungi,vipi waliotajwa na CAG wa sasa wamefungwa jela gani ?

USSR

Kwani waliotajwa na CAG kipindi cha dhalimu walifungwa wapi?
 
SIWEZI KUJIHANGAISHA NA MFU.

I am not a zealot of political necromancy. But facts of what my eyes and ears beheld, those I will testify to the likes of you. Off course, after having detached myself from the hive mindset and unwanted sensationalism.

Nasema tena, kuna watu kama Raisi Magufuli asingewagusa sidhani kama hata upinzani wangedirikia kuwagusa kirahisi hata kama wangechukua nchi.

Sasa tunaweza kuendelea kubishana kuhusu "motive" ya Raisi Magufuli kwenye vita yake dhidi ya hawa watu, lakini jambo ambalo nadhani hatuwezi kulipinga ni kwamba matokeo ya hii vita yameturahisishia watanzania mambo mengi mno.

See you around cupid...
Interesting construct. Who is that “upinzani”? Someone special or specific distinguished entities or individuals in the citizenry that you recognize? Rivals of Magufuli? CCM? I might be dead to you but not stupid, certainly. I have a long background.

Btw, I have to admit I have no clue about that damn war Magufuli was waging against whoever for “our benefit”. Such that he had to grossly abuse the constitution, laws, and institutions, disrespect us, humiliate us, etc. For sure whatever he did we the people ain’t nowhere near better. And the CCM mafiosi are still roaming the streets and calling the shots.
 
Back
Top Bottom