Robert Heriel Mtibeli
Platinum Member
- Mar 24, 2018
- 40,153
- 93,069
NARUDIA, VITA SIO MAONYESHO KAMA WORLD CUP. VITA HAVINAGA MACHO WALA SHERIA.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli.
Sijui kwa nini watu wanapumbazwa na artificial laws, editing, makeup.
Vita ni jambo la asili. Inapotokea sheria za kutengenezwa hazifanyi kazi. Na ukiona zinatumika ujue ni ulaghai, kupumbaza, ni techniques za adui.
Vita haina macho kiasili. Vita hainaga sheria kwamba ukitaka kumpiga adui yako sijui usimfanyie hivi au vile. Nope! Vita haipo hivyo. Vita ni Vita.
Lengo la Vita la kwanza ni kuangamiza, kuua, na kisha kutawala.
Ukitaka ujue lengo la Vita nenda mafunzo ya kijeshi. Angalia wanafundishwa nini huko. Kisha utagundua wanafundishwa kuua, kuangamiza, na kudhibiti.
Siku hizi kuna Fake War(Vita Bandia) ndio hizi unasikia watu wasilipue sijui wapi, sijui wasichome, sijui wasiue watu fulani. Hiyo ni Fake War.
Vita halisi hainaga hizo kanuni. Watu wanakuja kwako, wanachapana wakufa wanakufa, wakubakwa wanabakwa, wakufanywa watumwa wanafanywa watumwa, hiyo ndio vita.
Dunia ya leo inaulaghai mwingi sana. Mojawapo ya ulaghai ni mpaka kwenye medani za Kavita, propaganda za uongo kuhusu vita, dhana ya vita, na matokeo ya vita.
Kwenye vita hakunaga UTU kwa sababu wenye UTU hawapiganagi.
Vita inawahusu binadamu ambaye ni mnyama kama walivyo wanyama wengine.
Unapoingia kwenye vita yoyote weka kichwani hiyo. Vita hainaga haki za binadamu, sijui UTU hakunaga kitu kama hicho. Usilaghaiwe. Usidanganywe. Utapigika, utauawa, utaangamizwa ufe au ubaki na Kilema.
Katika siasa vita inachukuliwa hivyo. Ingawaje watu wa kawaida hudanganywa kwamba kutakuwa na haki au utu wa binadamu utazingatiwa. My friend wanasiasa wote duniani unapoenda kukabiliana nao ujue wanamtazamo huu kwamba vita inalenga kuua na kuangamiza.
Hiyo kusema majeshi ndio wanastahili kufa ni geresha tuu. Kwa sababu wanajeshi ni binadamu kama mimi na wewe, wana wazazi, wanawatoto, wana familia zao.
Kumuua mwanajeshi haina tofauti yoyote na kumuua mfanyabiashara, daktari, mwalimu, au yeyote yule.
Zamani wakati dunia ipo kwenye uasili wake. Vita ikizuka hakuna cha mwanajeshi wala asiye mwanajeshi wote mnakula kichapo. Majumba, mashamba, na kila kitu kinachomwa. Hiyo ndio vita.
Sasa hivi pametokea ulaghai. Kwamba wanajeshi sijui miundombinu ya kijeshi ndio iangamizwe. Huo ni uongo wa watu wajanja ambao wanajua kabisa mifumo waliyoiweka huwezi ifikie miundombinu ya kijeshi.
Hata yale mambo ya MO29 ni vitu ambavyo watu wangetakiwa wavitegemeee. Huwezi enda vita ukiwa na sheria kwamba adui yako atafuata haki za binadamu. Huko ni kujitoa mhanga.
Hakunaga haki kwenye vita.
TaikonMaster
Kwa sasa Dar es salaam