Narudia, Vita sio maonyesho kama World Cup. Vita havinaga Macho wala sheria

Samahani

Lakini ukijibu kwa ukweli Kuna kitu utaongeza

Ulilelewa na Singo maza kwa bahati mbaya.? Honestly.!
 
Dini inahusika vipi hapa?
Kujitangaza kwa Mwaipopo na wanaofananana naye ni matokeo ya ujinga tu wa baadhi ya watendaji na viongozi. Wakielemika au wakiondoka kwenye nafasi zao hayo yatakwisha. Ni kama mhuni akitukana wapita njia, wakimpuuza safari huendelea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…