Kwanini mnahusisha vitabu vya dini na sayansi. Mbona hilo ni jambo dogo sana. Sayansi ya anga ni nyepesi sana. Mbona wanadamu waneweka international space centerAllah kasema hapo juu kuna fansi uwezi kwenda nje ya hii dunia. Hao akina China, Urusi na NASA ni waongo wakubwal.
Shauri yenu mnao muamini Allah badala yake mnaamini binadamu waongo waongo especially wanasayansi.
Da kaka, kama sayansi ulitoka ziro unauliza. Mbona jambo dogo sanaHivi unavyolikaribia jua joto linazidi au linapungua? Huko mwezini si ndio uko karibu na jua? Hizi safari sio fix kweli? Inabidi nihoji kwani siamini.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hiyo kati Allah na Wanasayansi ni yupi mkweli kwa mujibu wako?.Kwanini mnahusisha vitabu vya dini na sayansi. Mbona hilo ni jambo dogo sana. Sayansi ya anga ni nyepesi sana. Mbona wanadamu waneweka international space center
Sasa Qur'an ilishukaje kutoka kwa Mungu?Hakuna aliyewai kwenda mwezini, China na marekani kwenda mwezi ni uwongo wenye dhumni fulani.
Allah katika Qur'an tukufu anasema hapo juu kabla ya Atmosphere Kaweka uzio mkubwa ambao hauruhusu kitu chochote kuingia dunia wala kutoka Duniani. So ikiwa utaamini NASA na CHINA kwenda mwezini basi utakuwa unamaanisha kuwa Allah na Qur'an ni uwongo.
Hao wanasayansi wanatunga uwongo uwongo ili kuwa poteza waja wa Allah.
Cc:&zurri
Correct, lakini nilikuwa naongelea atmosphere as a whole mass of air that surrounds the earth.Inategemea ukifika thermosphere joto linazd kuongezeka kadri unavyozid kuascend..
Acha kuchanganya sayansi na vitabu vya dini. Kuna uwezekano hata hiyo quoran huielewiKwa hiyo kati Allah na Wanasayansi ni yupi mkweli kwa mujibu wako?.
Allah ni nani mbele ya sayansi???Hakuna aliyewai kwenda mwezini, China na marekani kwenda mwezi ni uwongo wenye dhumni fulani.
Allah katika Qur'an tukufu anasema hapo juu kabla ya Atmosphere Kaweka uzio mkubwa ambao hauruhusu kitu chochote kuingia dunia wala kutoka Duniani.
So ikiwa utaamini NASA na CHINA kwenda mwezini basi utakuwa unamaanisha kuwa Allah na Qur'an ni uwongo.
Hao wanasayansi wanatunga uwongo uwongo ili kuwa poteza waja wa Allah.
Cc:&zurri
Ndio inadanganya, tupatie ufafanuziHakuna aliyewai kwenda mwezini, China na marekani kwenda mwezi ni uwongo wenye dhumni fulani.
Allah katika Qur'an tukufu anasema hapo juu kabla ya Atmosphere Kaweka uzio mkubwa ambao hauruhusu kitu chochote kuingia dunia wala kutoka Duniani.
So ikiwa utaamini NASA na CHINA kwenda mwezini basi utakuwa unamaanisha kuwa Allah na Qur'an ni uwongo.
Hao wanasayansi wanatunga uwongo uwongo ili kuwa poteza waja wa Allah.
Cc:&zurri
Yani kuna hoja mtu anatoa hadi inakatisha tamaa kama ndo taifa limefika hapo. Anadai kuna fence daah😳🙏Nan kakuambia hatuamin Mungu. Na sayansi unayoiponda hapa ndo unaitumia kuchat huku jamii forum. Unafikiri bila sayansi ungekuja kutoa mawazo yako mfu humu
Ni hatari sana yani daah 😁Dah kwamba uzio!!!!....This is Africa baby
Dini ni imani na science ni facts.Sasa hapo kosa langu ni lipi?.
Kusema imani yangu ama ile inasema hivi kuhusu jambo fulani inakuwa ni udini?. Sawa.
Kuna jirani yangu ni mrangi walikuja watoto wake aged 20 - 25 sas kuna uyo mmoja kwanza nilikuwa najua ni anaumri wa miaka 30 mpk 35 kumbe mdogo mana ameanza kuzeeka na ukimuangalia kw wasiwasi unaweza dhania mgonjwa wa akili, walipokuja akanambia kwa tambo vijana wake wapo chuo ila nilishtuka kidogo walikaa wiki 2 hakuna hata halotoka kwenda chuo hata siku moja mda wote ndani wao mda wote wanatembea wanasoma kuruani tu halafu hakikuwa kipindi cha likizo na semester ndiyo imenoga, ajab zaid uyo ambae nilikuwa najua anacheza umri wa 30 mpk 35 nilikuja gundua hajui kusoma wala kuandika kuja kufatilia chuo wanachosoma ni madrasa nilichoka ni watu fulani wabishi kukubaliana na sayansi though wakiumwa anakimbilia panadol which ts impact of science.Sio wote waliofanikiwa kufika hata form two
Kwan Quran ni kweli mkuuHakuna aliyewai kwenda mwezini, China na marekani kwenda mwezi ni uwongo wenye dhumni fulani.
Allah katika Qur'an tukufu anasema hapo juu kabla ya Atmosphere Kaweka uzio mkubwa ambao hauruhusu kitu chochote kuingia dunia wala kutoka Duniani.
So ikiwa utaamini NASA na CHINA kwenda mwezini basi utakuwa unamaanisha kuwa Allah na Qur'an ni uwongo.
Hao wanasayansi wanatunga uwongo uwongo ili kuwa poteza waja wa Allah.
Cc:&zurri
Sasa hiki unachokiandika au kukitetea ni facts ? Unaweza kutuonyesha hiyo facts au unajiaminisha ya kuwa nadharia za kisayansi ndiyo facts ?Dini ni imani na science ni facts.
Ishu ya ndege ni tofauti sana na ishu ya safari ya kwenda mwezini, sababu ukiangalia mchakato wake una makorokoro mengi sana.Huo ni uongo kitabu kime kuposha ndege zisingekuwa Zina Rushwa huko Wala satellite
Thibitisha uwepo wa uzio angani nduguSasa hiki unachokiandika au kukitetea ni facts ? Unaweza kutuonyesha hiyo facts au unajiaminisha ya kuwa nadharia za kisayansi ndiyo facts ?
Kuna uongo mwingine kuujua uhitaji akili kubwa au kufikiria kiundani ? Mfano mdogo tu leo hii wewe unaamini ya kabisa ya kuwa mtu alikwenda mwezini tukikwambia uthibitishe nina uhakika hutaweza iwe kwa Sayansi au kwa hoja za kiakili. Ifikie hatua hizi akili mlizo pewa mzitumie vizuri.
Unaweza kututhibitishia uwepo wa iyo fence ndugu?Ishu ya ndege ni tofauti sana na ishu ya safari ya kwenda mwezini, sababu ukiangalia mchakato wake una makorokoro mengi sana.
Ishu ya Satellite inatakiwa itazamwe upya kuhusu ukweli wake kama ilivyo ishu ya Big Bang theory, humu wengi ni mashabiki wa Sayansi na huenda hamna misingi mizuri juu ya elimu hii au hamfatilii.
Kitabu hakiongopi ndiyo maana ishu ya kwenda mwezini imekuja na mgongano mwingi kuanzia kwa wenyewe sababu wanajua ya kuwa hiyo ni sanaa, mfano alichokieleza leo hii mtoa mada na huyo kiongozi kinathibitisha ya kuwa hakuna mtu aliye kwenda mwezini, sasa vipi udai Qur'aan imesema uongo ?
Shida siyo kutokulala cha msingi je haya wanayo yaandika ni ya kweli na yanafata kanuni za Kisayansi ? Jibu ni nadharia tu za kufikirika na kuwadanganya watu, mfano wewe leo hii ukidanganywa utawafanya nini na umeshashughulishwa na muda huna.Ndugu yangu Baki tu na Iman yako kwenye hili. Make Dunia ilipo katika swala la technology ni mbali sana. Bora unyamaze tu.. yaan kama wewe umelala Kuna watu hawalali wanaangaisha vichwa sana katika tafiti mbalimbali. Yaan kama wewe unakesha kusoma corohani na unashinda madrasa. Kuna watu wako nje kuumiza kichwa sana
Alla ameshasema na kushindikana kupasua anga ni uthibitisho tosha.Thibitisha uwepo wa uzio angani ndugu