Naseeb Abdul maarufu kama 'Diamond' ashikiliwa na Polisi kwa muda

Dogo mikosi inamuandama sana mwaka huu!! Mara kazomewa jukwaani hajakaa sawa mara limezuka la sare za jeshi, ni sheedah
 
Mbona mibuti yao imejaa ubungo na inauzwa km njugu? halafu mbona wenyewe wanazitumia kufanya uhalifu? tena mpaka silaha!
 
wanatumia nguvu nyingi sana!! ili kumuangusha,,! lakn naamini kwa nguvu za mwenyezi mungu hatamudhuru!! lolote.
 
ni heri angeshikiliwa na wana JWTZ wenyewe ndo haki ingetendeka kuliko huko polic . itaishia juu kwa juu tu.
 

Ok, nashukuru kwa ufafanuzi. That puts the two cases on square level. Let's wait and see.
 
Achezi uzombi,diamond alipewa ruhusa kuvaa hzo nguo za jeshi,tatzo la wabongo ni wanafike wakubwa
 
purposive approach itatumika kutafsiri hapo hawez chomoka, tutaangalia lengo la kuitunga sheria ilikua n nn na hapo lengo n kuzuia kuvaa hzo nguo kwa m2 asokua asikar, lazima atiwe nguvun kama wakiamua

Tunaita `intention of the statute`
 
MSANII Naseeb Abdul (Diamond) leo anashikiliwa na polisi, siku moja tu baada Meneja wake Babu Tale kuhojiwa na kulala mahabusu kuhusiana na matumizi ya mavazi ya kijeshi katika onyesho la Fiesta mwishoni wiki.

Habari zaidi zitafuata.


Wanamshikilia au wanampigisha mbizi kwenye dimbwi pale kariakoo?
 

Kumbe sheria inaruhusu kuvaa ila usivae kwa kujaribu kufanya uharifu au kuficha identity yako, mbona yule mkuda alimpigisha mbizi yule dogo pale kariakoo bila kosa lolote, dogo alifungulie jeshi mashitaka hii sio sawa.
 
Dj fetty wa Clouds fm anasema alipewa kibali na uongozi wa Jeshi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…