Nasema tusiwapishe viti wazee kwenye daladala, walichezea ujana

Ndivyo unavyohalalisha umaskini wa miongo kadhaa uliosimikwa na chama chako?
 
Halafu vibabu vikikaa na pisi kalii, vinatoa simu vinampa demu, vinamwambia jihamishie hela kutoka benki kiasi utakacho, password ni mwaka wangu wa kuzaliwa 1947
🤣🤣🤣 Hii comment niliiona kule kwenye uzi wa vituo ililetwa na mshana nikajiuliza bujibuji ameijibu wapi?

Kumbe ni huku🤣🤣🤣
 
HAKUNA LAANA
 
Wazee wengi wamekula ujana sana asikudanganye mtu .fainali uzeeni
Unajengewa chuki na mama yako dhidi ya baba yako na wewe unaingia mkenke pasipo kujua.

Hata wewe utachukiwa na wanao kama unavyomchukia baba yako.
 
Kumpisha mzee kiti sio kwasababu ya uzee wake. Ni heshima. Nakumbuka kuna mwaka mmoja hivi nilikuwa natoka dsm kwenda iringa. Tulipofika pale Kibaha akapanda dada mmoja alikuwa mnene sana.

Ila umri naweza sema nilikuwa nimemzidi au tumelingana. Gari ilikuwa imejaa. Suka akaanza kugonga gear. Kila nimwangalia naona kabisa hawezi kufika morogoro. Jasho lilikuwa linamtoka. Kila mara akitaka vioo vifunguliwe apate upepo kidogo.

Nikampigia hesabu. Tulipofika bwawani nikamwambia njoo upumzike hapa. Wallah baada ya muda mchache sana akalala kama kalishwa dawa za kulevya. Ile siti nikamwachia mwanzo mwisho.

Alipofika safari yake akanipa 10k.
 


Umechanganyikiwa Mkuu!

Sina uhusiano na mto Mada.

Hata hivyo mtoa mada ametoa maoni yake hivyo yupo Sawa Kwa Uelewa wake.

Mtoa mada pia anajaribu kuwaambia Vijana wajiandae vyema na siku za uzee wao.

Mengine uliyoyasema kuhusu Mimi ni mtazamo na jinsi Uelewa wako ulivyo. Hivyo upo Sawa Kwa akili Yako
 
Umechanganyikiwa Mkuu!

Sina uhusiano na mto Mada.

Hata hivyo mtoa mada ametoa maoni yake hivyo yupo Sawa Kwa Uelewa wake.

Mtoa mada pia anajaribu kuwaambia Vijana wajiandae vyema na siku za uzee wao.
Unajiunga mkono mwenyewe kwenye mada yako mwenyewe uliyoanzisha kwa ID nyingine
 
Sema hawa wazee mnawaonea tu, enzi zao ata wangepiga kazi vipi wasingeendelea, maisha ya enzi zao kumiliki gari ilikuwa kama ni kama adithi za kusikia
 
Unajiunga mkono mwenyewe kwenye mada yako mwenyewe uliyoanzisha kwa ID nyingine

Huwaga sipinganagi na mawazo au maoni ya mtu, huwa najadiliana Kwa hoja.

Sijaona hoja yoyote uliyoitoa hivyo sioni sababu ya kukupinga kwani ni mawazo na hisia zako tuu.

Humu JF Nina ID moja tuu, sina sababu ya kuwa na ID mbili.
 
Hapa mjini vijana wana zeeka haraka sana mtu ana miaka 40 lakini ukimtazama kama 60 au 70 wengine wana miaka 60 bado wana panga maisha ya mjini Dar hayana kanuni

Sent from my Nokia 2 using JamiiForums mobile app
Kati ya mtu alie mkoan na dar n yupi anazeeka haraka? Mfano wote wana hali sawa za kiuchumi

Sent from my TECNO LC6a using JamiiForums mobile app
 
Unajengewa chuki na mama yako dhidi ya baba yako na wewe unaingia mkenke pasipo kujua. Hata wewe utachukiwa na wanao kama unavyomchukia baba yako.
Hilo nalijua mimi watoto wangu watanichukia sana kwa jinsi mama yao anavyowajaza sumu,ila baba yangu atabaki kuwa legend,kapambana sana yule mwamba kwa ajili yetu
 
Hzo ni story za vijiwen hazna ukweli wowote labda kama ilikua ni intavyuu ya saidia fundi

Sent from my TECNO LC6a using JamiiForums mobile app
 
Kwahiyo mzee wa miaka 70 akatize mitaa ya Ilala na pikipiki?
Unataka uone ubongo wa mzee akipigwa na TATA
Kikwete ana 72 hata baiskeli anaweza endesha ninavyomuona,miaka 70 sio mzee usiseme sababu ni Rais mstaafu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…