Nasema ukweli kuhusu uganga

Nasema ukweli kuhusu uganga

Hii nayo ni imani ya kipuuzi ya waafrika.

Tafuta mtu aliyeishi ulaya akueleze kama amewahi kusikia habari za ulozi kule.
Mkuu acha ubishi sio lazima ufike Ulaya unaweza kufanya research mwenyewe nakupa hii.
INGIA PLAYSTORE search BLACK MAGIC or WHITE MAGIC (Ndo uchawi wenyewe huo) then angalia comments nyingi utakuta nyingi za watu weupe hasa ULAYA... Imani hizi zipo kila sehemu
 
hizo hekaya wanazozidharau mpaka wanazitengenezea filamu?
 
Kwani unahisi uchawi ni nini? Uchawi ni taaluma inayohitaji baadhi ya formula ili kuleta matokeo. Hivi unaweza kuelezea ni nguvu gani hutumika kwenye mazingaombe, Kiasi kwamba uone mwana-mazingaombwe atafune wembe na kutoa sindano?!!. Man huwezi jua kila kitu hapa duniani.
 
mazingaumbwe ni sanaa, inafundishika

uchawi haupo, haujawahi kuthibitishwa

ni kweli wazungu waliamini kwenye uchawi, ila ni zamani sana, sasa hivi upo chini chini tu kwa nia ya kutunza utamaduni wala watu hawahangaiki nao
 
Watu wanaosema mganga ni mchawi,

Je, wanaelewa maana ya Neno mganga na maana ya neno Mchawi?

Mganga-mganguzi-kuganga.

Wachawi wamejificha kwenye kivuli Cha uganga wakijiita waganga...
 
njia za kupewa uganga hazifanani usikariri pia kuna uganga wa aina nyingi kwanza kuna uganga wa kutumia mizimu,uganga wa kutumia kitabu na uganga wa kutumia majini pia uganga wa kutumia tunguli kwahiyo usichukulie simple kila uganga una michakato yake usiforce yafanane.!
 
mazingaumbwe ni sanaa, inafundishika

uchawi haupo, haujawahi kuthibitishwa

ni kweli wazungu waliamini kwenye uchawi, ila ni zamani sana, sasa hivi upo chini chini tu kwa nia ya kutunza utamaduni wala watu hawahangaiki nao
Mbona hata uchawi unafundishika zote hizo ni formula. Je, unaweza kuamini hata technology mara nyingi huelekeana na formula hizo hizo za kichawi!!
Chukua hiii NIKOLA TESLA kabla ya kuingia ndani alikuwa akizunguka nyumba mara tatu, Hotelini alikuwa akilala chumba inayogawanyika Kwa namba tatu... Alisema pia ungejua nguvu ya Namba 3,6 na 9 ungejua siri ya ulimwengu Kwahiyo unaona kabisa hiyo formula haitofautiani na uchawi..
Aliongeza pia, Ili ujue siri ya ulimwengu fikiria kuhusu FREQUENCY, VIBRATION and ENERGY. Kwahiyo unaona kabisa TECHNOLOGY Ina DNA za uchawi ndani yake
 
aisee nakuachia wewe

mimi hapana
 
Back
Top Bottom