Jobless_Billionaire
JF-Expert Member
- Aug 9, 2022
- 5,603
- 14,183
Unalombwa nini mkuu?😡😡😡😡 Wewe mbona unayo yake? Halafu kwani kakutafuta wewe? Inaonekana wewe ndio unamfuatilia maana unajishtukiaAliondoka nyumbani hapa na watoto na kila kitu chake tena kwa nyodo,akajiapiza hatokaa anitafute kwa lolote na number yangu ya simu anafuta.
Sasa leo ktk kuperuzi huko whatsapp nakutana na status yake kaweka vifungu vya biblia, nijuavyo mtu kama hana number yako akiweka status wewe huwezi kuona,sasa nimeshindwa kumuelewa huyu raia alisema anafuta number yangu but naona bado anayo.
Je nimuulize kwa nini bado anayo au nifanyeje?