Jobless_Billionaire
JF-Expert Member
- Aug 9, 2022
- 5,603
- 14,183
Unalombwa nini mkuu?😡😡😡😡 Wewe mbona unayo yake? Halafu kwani kakutafuta wewe? Inaonekana wewe ndio unamfuatilia maana unajishtukiaAliondoka nyumbani hapa na watoto na kila kitu chake tena kwa nyodo,akajiapiza hatokaa anitafute kwa lolote na number yangu ya simu anafuta.
Sasa leo ktk kuperuzi huko whatsapp nakutana na status yake kaweka vifungu vya biblia, nijuavyo mtu kama hana number yako akiweka status wewe huwezi kuona,sasa nimeshindwa kumuelewa huyu raia alisema anafuta number yangu but naona bado anayo.
Je nimuulize kwa nini bado anayo au nifanyeje?
Au siyo...
Kumbe bado una feelings namiee unapataje muda wa kunifatilia!!!!!!!!???😊Au siyo...
Nakuzoom nikiwa uwanjani...
Hii ndio ile mijamaa inazalisha tu na kutelekeza watotoUna umri gani?
Si mna watoto lakini?
Hahaha nitakuchana kwa dada yako mliyofana kama mapcha...Kumbe bado una feelings namiee unapataje muda wa kunifatilia!!!!!!!!???😊
Kwahiyo wewe umemwaga mbegu tu watoto huna habari nao hawakuhusu?, una muda gani hujawaona?.Aliondoka nyumbani hapa na watoto na kila kitu chake tena kwa nyodo,akajiapiza hatokaa anitafute kwa lolote na number yangu ya simu anafuta.
Sasa leo ktk kuperuzi huko whatsapp nakutana na status yake kaweka vifungu vya biblia, nijuavyo mtu kama hana number yako akiweka status wewe huwezi kuona,sasa nimeshindwa kumuelewa huyu raia alisema anafuta number yangu but naona bado anayo.
Je nimuulize kwa nini bado anayo au nifanyeje?
watoto wakihitaji kuongea na baba yao atakupataje???Sasa anayo ili aifanyie nini?
Waongee na mimi kuhusu nini tena akati wako na mama yao huko?watoto wakihitaji kuongea na baba yao atakupataje???