saigilomagema
JF-Expert Member
- Jun 5, 2015
- 4,683
- 7,222
Heee! Kwa heri, endelea tu na mambo yako.Ulaya ipi,
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Heee! Kwa heri, endelea tu na mambo yako.Ulaya ipi,
Una tabia za kikoloni na roho chafu.Shule nzuri ni ipi, acha ulimbukeni, nachoona watu wanaliwa kwa kupenda misifa ya kijinga na kujenga social classes zisizo na maana. Nenda Ulaya uone km upuuzi huu wa kwetu upo kwao. Ile ni biashara tu wajinga wanaliwa bure, watoto wanakaririshwa mitihani wakifika vyuo vikuu hakuna kitu wanapasua wale waliotoka shule za serikali. Tuache kufaidisha wajanja wachache tuboreshe shule zetu za umma na tupende vya kwetu tulivyojenga kwa pesa zetu. Tuache kutumikishwa na watu wachache. Nilitegemea mtanzania mzalendo angesikitika kuona shule zetu za umma zikifanya vibaya.
Mfano wako hauendaniNi sawa na kusema nyie mliokula hoteli za gharama msiende maliwatoni, waliokula migahawani na mama ntilie ndo waende.
😂😂😂mwanaisha mtoto wa Kikwete aliwahi kupata div 4 hapohapo feza girls,
Unaendana.Mfano wako hauendani
Shida ni shobo mkuuThis is primitive thinking...! Elimu nzuri ni gharama, watu wanajinyima ili watoto wao wasome shule nzuri wapate uelewa mkubwa. Hakuna anaependa kupeleka mtoto shule za kayumba ni hali ya uchumi tu.
Sent from my SM-G935U using JamiiForums mobile app
Shule nzuri=Hoteli nzuriSoma vzuri uzi alafu linganisha na mfano wako