Nashauri awamu ya sita agombee Rais Mstaafu Ndg. Jakaya Kikwete

Mpe nafasi agombee kwa wazazi wako pengine awe baba yako,
Nafasi yake ilishapita, ukimpenda saana nenda kaishi kwake ujimilikishe awe baba yako.
Akitoka magufuri tunaanza upya na si wa zamani.
 
Si mpaka Magufuli akubali kuachia hiyo nafasi.
 
Uko vizuri kwenye ujinga, Hahaahhaah kuta una familia wanakutegemea
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mmejengewa station ya SGR tena umbo la tanzanite bado hamuna shukrani 😄
 
Hapo kwenye Deni la taifa kulikuwa dogo kuliko la Rais RAIS Nyerere, Mwnyii au RAIS Mkapa?
 
Leo kikwete amekuwa mzuri, akiondoka huyu naye mtasema bora yeye

unafiki ni kitu kibaya sana
 

Tumeshatoka Misri, hatuwezi kurudi huko KAMWE.
 
Tujifunze kuandika vitu kulingana na katiba yetu, habari kama hii inaweza kumpotosha mtu wa F2 kwenye Civics.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…