Nashauri daraja jipya la Wami liwe la kulipisha. Chanzo muafaka cha tozo/Mapato

mkuu,bandiko lako bila picha ya daraja jipya la wami.hujalitendea haki.
 
Mkuu wewe ushahamia Burundi?
 
Hakika "if you can't beat them, join them" naona wengi mnaanza kutembea kwenye huu msemo.

Hapo hatukomoani kama mnavyodhani, wale jamaa wao hawana maumivu ya tozo, kuwaambia waendelee kutukamua ni sawa na kuwaambia uko tayari kutembea uchi kwa kukosa mpaka nguo ya kuvaa, then wao wataanza kukutazama wakucheke wakiwa kwenye v8 zao.
 
Asietaka tozo, atapita kule bondeni kea zamani. Shikamoo tozo.
Hivi kwenye kamusi manake nini,,,aina ya kodi au makato ya lazima?!
 
Kwakua wamekupiga shavu la kushoto unaamua kumgeuzia na shavu la kulia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…