Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 59,045
- 94,974
Kwakuwa tumedhamiria kukamua Kila Senti, kama ilivyo kwa Daraja la Kigamboni na lile la TanZanite, nashauri Mchungaji, Dr Mwigulu Nchemba aanzishe TOZO ya kupita Daraja kubwa, jipya, zuri la WAMI.
MAGARI yanayopita pale ni mengi sana, itakua chanzo kizuri sana Cha Mapato.
Nimemaliza, acha mkamuliwe Hadi Damu
MAGARI yanayopita pale ni mengi sana, itakua chanzo kizuri sana Cha Mapato.
Nimemaliza, acha mkamuliwe Hadi Damu