Nashauri hizi jezi za Taifa Stars zipigwe marufuku kabla ya kesho kuepuka sumu ya udini hapa nchini

Status
Not open for further replies.
hii dini kuna mahari ina shida, dini imejazwa chuki mwanzo mwisho. kama ingetokea imewekwa alama za kiislamu hakuna mkristo angehangaika na huo upuuzi
Kama vile mzee Mtei alivyonyamaza kimya kuhusu uteuzi wa wajumbe wa tume ya marekebisho ya katiba.
Au Warioba alivyolalamika bungeni akiwa waziri mkuu kwamba siku hizo misikiti inaota kama uyoga. Mpaka akafikia kuwasainisha mawaziri waisilamu kiapo cha kutoshirikiana na waislamu wenzao..

Hakuna watu wenye roho mbaya,chuki,husda na unafiki kama wakristo. Tuatilia hata humu uone jinsi wanavyotukana waislamu na hakuna hatua wanazochukuliwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Msalaba ni kitu kilichotumika kumtesa Yesu, nisawa na wewe mtoto au ndugu yako ateswe na panga mpaka kupelekea kufa alafu ulichukue hilo panga au picha yake uwe unalivaa huku ukijua hili walitumia kumuulia mwanangu. Inakuja?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jezi ya taifa lazima iwe na rangi za bendera tu, nyeupe huwa inatoka wapi?
 
hii dini kuna mahari ina shida, dini imejazwa chuki mwanzo mwisho. kama ingetokea imewekwa alama za kiislamu hakuna mkristo angehangaika na huo upuuzi
Acha ujinga wewe!
Mbona mnalalamikaga vitu ambavyo hata haviwahusu mfano mahakama ya kadhi yanawahusu?
Hata suala la watoto kuvaa vazi la hijab mashuleni mlipiga kelele sana utadhani mnavaa ninyi.
Mnachuki sana na Uislamu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Too Much going on..., sometimes less is better....
 
Africa tunasikitisha sana,busy na mapovu wakati dini tume adopt kwa ao wazungu.

Sent using Brain
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…