babu na mjukuu
JF-Expert Member
- Jun 23, 2016
- 3,916
- 6,697
Kama vile mzee Mtei alivyonyamaza kimya kuhusu uteuzi wa wajumbe wa tume ya marekebisho ya katiba.hii dini kuna mahari ina shida, dini imejazwa chuki mwanzo mwisho. kama ingetokea imewekwa alama za kiislamu hakuna mkristo angehangaika na huo upuuzi
Au Warioba alivyolalamika bungeni akiwa waziri mkuu kwamba siku hizo misikiti inaota kama uyoga. Mpaka akafikia kuwasainisha mawaziri waisilamu kiapo cha kutoshirikiana na waislamu wenzao..
Hakuna watu wenye roho mbaya,chuki,husda na unafiki kama wakristo. Tuatilia hata humu uone jinsi wanavyotukana waislamu na hakuna hatua wanazochukuliwa
Sent using Jamii Forums mobile app