Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,197
- 128,160
Fungukeni hapa.Nasikia et jezi ina msalaba....Waislam tunaruhusiwa kutoa maoni yetu na sisi?
Na zile ambulance mzigomee piaHata wachezaji Waislam wasivae hizo jezi.
Huu sasa ni uchokozi wa hali ya juu.
tofautisha msalaba na alama ya kujumlisha mkuu... mimi siyo muislamu ila sidhani kama kulikuwa na sababu za kuingiza maswala ya misalaba kwenye jezi hizo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kiranja wao katika ubora wako wa kuhamasisha upuuziHata wachezaji Waislam wasivae hizo jezi.
Huu sasa ni uchokozi wa hali ya juu.
Hata wachezaji Waislam wasivae hizo jezi.
Huu sasa ni uchokozi wa hali ya juu.
Lini kasema hivyo...Fungukeni hapa.
"Waislam inabidi muongee lugha moja itakayoeleweka maana imetosha sasa" By Edward Lowasa
Sent using Jamii Forums mobile app
Haha ndio Mkuu hata kwenye hesabu tuna mpango wa kutoa ile alama ya jumlisha au chanya kwani ina udini udini ndani yake.Kuna baadhi ya watu wanakosoa jezi hii Mpya ya Taifa Star je kwa mtazamo wako kosa lipo wapi?View attachment 1051907
Sent using Jamii Forums mobile app
Subiri waislamu waje watasema wametengwa kwa sababu wameona alama ya msalaba hapo kwenye jezi?
CC Zero IQ