Nashauri hizi jezi za Taifa Stars zipigwe marufuku kabla ya kesho kuepuka sumu ya udini hapa nchini

Nashauri hizi jezi za Taifa Stars zipigwe marufuku kabla ya kesho kuepuka sumu ya udini hapa nchini

Status
Not open for further replies.
Jezi haina shida yoyote ila nyie wabongo na tafsiri zenu ndio mnazusha mambo kwa taarifa yako hiyo inasimama kama chanya I mean matokeo chanya sio upuuzi mnaowalisha watu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jezi yenye mrengo wa dini haitakiwi kabisa kwenye timu ya taifa
 
Ila kuna jezi zingine.
20190323_134311.png



20190323_134323.png


20190323_134335.png
 
Rangi Nyeupe Ya Nini Wakati Rangi Za Taifa Zipo(brand National Colours). Ingependeza Zaidi Blue Na Njano, Nyeusi Na Kijani Au Njano Na Kijani. Huo Weupe Hauleti Maana Kitaifa
 
Hii itakuwa design ya bashite na kadinal mwanya,bora ule wa blue na kijani,hiyo mistari mingi ndio imeharibu
 
This means Tanzania is 'Non secular state'


Kwamujibu wa somo la "General studies"

5/5
 
Watoe tender hapa nchini au nje watu wadesign vizuri na jezi za Leo kesho zinapwaya

wahuni sio watu ®™
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom