Nashauri hizi jezi za Taifa Stars zipigwe marufuku kabla ya kesho kuepuka sumu ya udini hapa nchini

Nashauri hizi jezi za Taifa Stars zipigwe marufuku kabla ya kesho kuepuka sumu ya udini hapa nchini

Status
Not open for further replies.
Nchi IPO salama na tunapoelekea kuzuri, ni wapuuzi wachache tu wanapost ujinga ujinga tu, Subiri kesho uone kama watanzania hawataishangilia timu yao, nadhani kuna mganda mmoja humu anasambaza huo ujinga.
Tanzania inapoelekea Mungu anajua
 
Hii ni kazi,WtF.........

Zile alama za misalaba mahospitalini mbona hao hao wenye dini zao wanaingia na kutibiwa?kwani kuwa na msalaba lazima iwe na maana ya dini,?nadhani mleta mada na weekend hii pombe alizokunywa zimevuruga oblongata baadhi ya sensor zipo offline.

Sent from my Redmi Note 5 using Tapatalk
 
Nchi IPO salama na tunapoelekea kuzuri, ni wapuuzi wachache tu wanapost ujinga ujinga tu, Subiri kesho uone kama watanzania hawataishangilia timu yao, nadhani kuna mganda mmoja humu anasambaza huo ujinga.
Huna aibu wewe.. mimi ndo Rais wa Tff niliyepitisha huo mjezi wa taifa.?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu unauhakika gani kama ni waislamu wa uswahilini ?

Sent using Jamii Forums mobile app
Ndo tabia zao ku raise hoja za kipumbavu, nakumbuka nikiwa kidato cha nne kuna dogo alikojolea msaafu maeneno ya mbagala jamaa walihamaki wakaenda polisi wakiomba wapewe uyo dogo wamshughulikie, imagine ! Watu wazima kabisa ! Wakat yule dogo hajui hili wala lile, mkuu they are foolish!
 
Hivi uislamu na kukosa elimu ni swa na pete na kidole sio?
 
Write your reply...
bongo kuna waislamu uchwara,yaani mchezaji agome kuvaa jezi yenye alama ya msalaba na huku simba au yanga wanaenda kuvaa sportpesa kampuni la kamari aiseee mudi kaacha msala
 
Wakuu habari inayosambaa kwa kasi katika mitandao ya kijamii ni uzembe wa TFF kuja na aina ya jezi ambayo ina msalaba ndani yake.

Suala hili si la kufanyia mzaha na linaweza kuligawa taifa pamoja na kurejesha nyuma morali na hamasa ya kuishangilia Taifa Stars.

Tanzania haina dini hivyo kuingiza alama ya dini fulani katika Taasisi ya kitaifa sio tu ni kitendo cha kizembe bali ni hatari kwa mustakbali mzima wa amani ya nchi yetu.

View attachment 1052174
MLETA MADA NAOMBA UNIJIBU YAFUATAYO KABLA SIJAKUPINGA AU KUKUUNGA MKONO:-
1.Ni kipi kilichokushwishi kudhani huo ni MSALABA na siyo alama ya kujumlisha?
2.Kwa vile alama ya kujumlisha inafanana kwa muonekano, Je, uliwahi kubimisha Watu wa dini yako wasusie somo la hesabu?
3.Je, una hakika waliodesign jezi hizi waliweka rangi hiyo wakimaanisha MSALABA?
4.Je, hamasa yako hii ina msaada wowote kwa timu ya Taifa? Au imesaidia kuigawa zaidi?
5.Kwa vile JF ni ya mataifa yote, tutaaminije wewe ni Mtanzania na siyo mamluki?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom