Rog chimera
JF-Expert Member
- Apr 28, 2018
- 398
- 706
We jamaa silent lion stupidity yako na ujinga wako ni kiwango cha uwanja wa ndege kabisa, foolosh!Keep your forked tongue behind your teeth you witless worm
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We jamaa silent lion stupidity yako na ujinga wako ni kiwango cha uwanja wa ndege kabisa, foolosh!Keep your forked tongue behind your teeth you witless worm
Tanzania inapoelekea Mungu anajua
Nijibu kwenye hiyo quote ya juu acha porojo.Tumia neno mkanganyiko na sio mgawanyiko wa taifa kupima mgawanyiko wa taifa sio kwa kutumia mtandao ya kijamii
Sent using Jamii Forums mobile app
Usiwe boya wewe Barcelona sio timu ya taifa ni timu ya mtu anafanya atakavyo[emoji16][emoji16] ndo tulipofikia mkuu watu wanahoji mbona barcelona ipo hiyo alama lkn watu hawaongei.
Sent using Jamii Forums mobile app
Duuh balaa hilii...[emoji22][emoji22][emoji22][emoji22][emoji22] Udini utaingiaa hapo lazimaaa...
Tatizo ni CCM na sirikal yake ndo watugawa hiviNadhani tulipofikia kama nchi hakuitaji calculator kujua kua nchi haiko kama awali..
Mtu kuiombea Uganda ishinde unaweza kumuona yupo organized kama taifa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Huna aibu wewe.. mimi ndo Rais wa Tff niliyepitisha huo mjezi wa taifa.?Nchi IPO salama na tunapoelekea kuzuri, ni wapuuzi wachache tu wanapost ujinga ujinga tu, Subiri kesho uone kama watanzania hawataishangilia timu yao, nadhani kuna mganda mmoja humu anasambaza huo ujinga.
Kwani uongo.wasukuma washamba sana
Ndo tabia zao ku raise hoja za kipumbavu, nakumbuka nikiwa kidato cha nne kuna dogo alikojolea msaafu maeneno ya mbagala jamaa walihamaki wakaenda polisi wakiomba wapewe uyo dogo wamshughulikie, imagine ! Watu wazima kabisa ! Wakat yule dogo hajui hili wala lile, mkuu they are foolish!
Nimeeleza kinacho jadiliwa huko..sio mawazo yangu hata aliyesema khs barcelona ni wazo la mtu.Usiwe boya wewe Barcelona sio timu ya taifa ni timu ya mtu anafanya atakavyo
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji16] Maza F◇◇k kama wewe ndo designer wa hiyo jezi pole.Ushenzi wako ni kusambaza ujumbe wa kishenzi na kipumbavu ili washenzi wenzio waendeleee kufahamu zaid
MLETA MADA NAOMBA UNIJIBU YAFUATAYO KABLA SIJAKUPINGA AU KUKUUNGA MKONO:-Wakuu habari inayosambaa kwa kasi katika mitandao ya kijamii ni uzembe wa TFF kuja na aina ya jezi ambayo ina msalaba ndani yake.
Suala hili si la kufanyia mzaha na linaweza kuligawa taifa pamoja na kurejesha nyuma morali na hamasa ya kuishangilia Taifa Stars.
Tanzania haina dini hivyo kuingiza alama ya dini fulani katika Taasisi ya kitaifa sio tu ni kitendo cha kizembe bali ni hatari kwa mustakbali mzima wa amani ya nchi yetu.
View attachment 1052174
Mshenz ni wewe.