Nashauri kuwa na Passport iwe ni sharti la lazima mtu kuanza chuo au kufungua biashara. Hili ni dogo sana kwa Rais wetu

matunduizi

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2018
Posts
7,968
Reaction score
19,368
Passport ni kitu muhimu sana. Lakini ukisikiliza ni malalamiko ya watu wengi kuwa upatikanaji wake ni mgumu.

Kutokuwa na passport ni moja ya sababu watanzania wengi kukoswa grobal mentality. Wengi mambo yakiwa magumu wanafikilia kurudi vijijini badala ya kutafuta fursa nje ya nchi.

Kigezo eti hadi uwe na sababu au muariko nje ya nchi umepelekea wengi kudanganya kwa kutunga miariko. Hii inasababisha taifa kuwa na watu waongowaongo na wajanjawajanja kitu ambacho dunia haikitaki.

Ushauri wangu kwa uhamiaji kama hakuna sababu nyingine basi iwekwe sharti kwa mtu kuanza chuo au kufungua biashara lazima awe na passport. Kuhusu gharama waangalie namna ya kufanya.

Ni hayo tu.
 
NIDA tuu imekuwa shida ndio ije kuwa passport?? Kama mtu haha mpango wa kusafiri passport apewe ya nini? Ni kupoteza resources. Ibaki kutolewa kwa mwenye mahitaji ya safari... labda cha msingi ni kupunguza urasimu. Kila ana haki ya kupewa pale anapohitaji, sio upewe alafu ukaifanyie lamination na kuweka kabatini.
 
Kwani Kuna Mtanzania anazuiliwa kuwa na passport Mkuu?
 
NIDA tuu imekuwa shida ndio ije kuwa passport??
Kama mtu haha mpango wa kusafiri passport apewe ya nini? Ni kupoteza resources. Ibaki kutolewa kwa mwenye mahitaji ya safari... labda cha msingi ni kupunguza urasimu. Kila ana haki ya kupewa pale anapohitaji, sio upewe alafu ukaifanyie lamination na kuweka kabatini.
Passport ni muhimu kuwa nayo kwa kila raia. Kwani mbona tunamiliki kadi za Bima za Afya,kwani tunaumwa kila siku?au mbona tunamiliki kadi ya kupigia kura,kwani tunapiga kura kila siku?
 
Passport ni kitu muhimu sana. Lakini ukisikiliza ni malalamiko ya watu wengi kuwa upatikanaji wake ni mgumu.

Kutokuwa na passport ni moja ya sababu watanzania wengi kukoswa grobal mentality. Wengi mambo yakiwa magumu i iwekwe sharti kwa mtu kuanza chuo au kufungua biashara lazima awe na passport. Kuhusu gharama waangalie namna ya kufanya.

Ni hayo tu.
Tuna idara Moja ya hovyo Sana, kupata passport ni ka Mrsdi ka watu pale uhamiaji, utazungushwa mpaka utoe 10K+,
 
Wakifanya hivyo Maafsa Uhamiaji watatajirika sana dau litafikia hadi 400,000 kwa hati moja ya kusafiria na ukitaka ufanyiwe kwa bei ya HALALI labda uende na SAMIA hadi Ofisi za Uhamiaji.

Serikali ingeruhusu tutumie Vitambulisho vyetu vya Utaifa NIDA kuvukia mipaka ya Nchi za Jumuia ya Afrika ya Mashariki hii itawafanya Watanzania wengi wa kawaida kuvuka mipaka hii ya karibu na kwenda kufanya Biashara na kuingiliana na wenzao wa Afrika ya Mashariki na hapo hapo watu watapata exposure.
 
Passport ni muhimu kuwa nayo kwa kila raia.Kwani mbona tunamiliki kadi za Bima za Afya,kwani tunaumwa kila siku?au mbona tunamiliki kadi ya kupigia kura,kwani tunapiga kura kila siku?

Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app

Chief unafananisha Bima na passport kweli? Duh... probability ya mahitaji ya Bima ni makubwa na more likely kuliko kusafiri nje ya nchi. Na pia ni wajibu wako kupiga kura ila si wajibu wa kila mtu kusafiri nje ya nchi. So utapewa pale utakapohitaji
 
Umuelewe mtoa mada, anatamani kuona hiyo nyaraka inapatika bila kwenda na longolongo sijui za mwaliko ama nini.

Sababu ya pasport inaeleweka, vipi uanze kuhitaji uthibitisho wa safari?

Mtu akiwa nayo mkononi kwa wale watakao penda ( maana hadi leo kuna watu hawana nida na ofisi zipo wala hawajaenda unatumia namba za simu walizisajiliwa na watu) [emoji23][emoji23] pengine itawapa hata motive ya kufanya mchakato kusafiri kwenda kupambana.

Demand pull / supply push
 
Chief unafananisha Bima na passport kweli? Duh... probability ya mahitaji ya Bima ni makubwa na more likely kuliko kusafiri nje ya nchi. Na pia ni wajibu wako kupiga kura ila si wajibu wa kila mtu kusafiri nje ya nchi. So utapewa pale utakapohitaji
Kwa mfano nahitaji kwenda nchi ambayo sina mualiko wowote na sijuani na mtu, ina naenda tu kufatuta fursa au kujifunza culture tofauti, naona moja ya kigezo uwe na uthbitisho wa huko unakokwena kama mwaliko. Zaidi ya kudanganya hapo utatumia mbinu gani kuipata kwa kesi kama hiyo.

Msingi wa hoja ni dunia kuwa kijiji. KAma naweza kwenda legangabilili bila kujuana na mtu nikafika na kuanzisha maisha tuongeze option hiyohiyo ya mtu kwenda popote duniani bila ugumu kama akitaka.
 
Passport ni kitu muhimu sana. Lakini ukisikiliza ni malalamiko ya watu wengi kuwa upatikanaji wake ni mgumu.

Kutokuwa na passport ni moja ya sababu watanzania wengi kukoswa grobal mentality. Wengi mambo yakiwa magumu wanafikilia kurudi vijijini badala ya kutafuta fursa nje ya nchi.

Kigezo eti hadi uwe na sababu au muariko nje ya nchi umepelekea wengi kudanganya kwa kutunga miariko. Hii inasababisha taifa kuwa na watu waongowaongo na wajanjawajanja kitu ambacho dunia haikitaki.

Ushauri wangu kwa uhamiaji kama hakuna sababu nyingine basi iwekwe sharti kwa mtu kuanza chuo au kufungua biashara lazima awe na passport. Kuhusu gharama waangalie namna ya kufanya.

Ni hayo tu.
Mleta post apuuzwe hana hoja
 
kwa mfano nahitaji kwenda nchi ambayo sina mualiko wowote na sijuani na mtu, ina naenda tu kufatuta fursa au kujifunza culture tofauti, naona moja ya kigezo uwe na uthbitisho wa huko unakokwena kama mwaliko. Zaidi ya kudanganya hapo utatumia mbinu gani kuipata kwa kesi kama hiyo.

Msingi wa hoja ni dunia kuwa kijiji. KAma naweza kwenda legangabilili bila kujuana na mtu nikafika na kuanzisha maisha tuongeze option hiyohiyo ya mtu kwenda popote duniani bila ugumu kama akitaka.
Utaratibu wa kwenda kwenye nchi mbalimbali upo na ni specific kwa kila nchi. Huwezi leo kuamka tuu na kuamua kwenda Poland kutafuta maisha. Utafuata utaratibu wao. Kuna watu wanasafiri hata bila mialiko na
wanapata passport na visa bila mialiko... kwa mfano.. utalii

Kwa hapa lazima wajiridhishe hitaji lako la passport ni genuine? Je utamudu safari yako bila kwenda kuwa liability kwenye foreign country?? Maana ukipata challenges mzigo unarudi kwa Govt yako ikusaidie... so lazima kuwe na controls.
 
Passport ni kitu muhimu sana. Lakini ukisikiliza ni malalamiko ya watu wengi kuwa upatikanaji wake ni mgumu.

Kutokuwa na passport ni moja ya sababu watanzania wengi kukoswa grobal mentality. Wengi mambo yakiwa magumu wanafikilia kurudi vijijini badala ya kutafuta fursa nje ya nchi.

Kigezo eti hadi uwe na sababu au muariko nje ya nchi umepelekea wengi kudanganya kwa kutunga miariko. Hii inasababisha taifa kuwa na watu waongowaongo na wajanjawajanja kitu ambacho dunia haikitaki.

Ushauri wangu kwa uhamiaji kama hakuna sababu nyingine basi iwekwe sharti kwa mtu kuanza chuo au kufungua biashara lazima awe na passport. Kuhusu gharama waangalie namna ya kufanya.

Ni hayo tu.
Hoja yako ina mashiko! Sema tu nina mashaka haitasikikizwa ingawa inaeleweka.
 
NIDA tuu imekuwa shida ndio ije kuwa passport?? Kama mtu haha mpango wa kusafiri passport apewe ya nini? Ni kupoteza resources. Ibaki kutolewa kwa mwenye mahitaji ya safari... labda cha msingi ni kupunguza urasimu. Kila ana haki ya kupewa pale anapohitaji, sio upewe alafu ukaifanyie lamination na kuweka kabatini.
Kuna safari za dharura mkuu. Wewe hujawahi kupata safari ya ghafla? Mfano, unapigiwa simu Usiku kuwa unahitajika mkoa fulani "keshokutwa", ulishawahi kupata safari ya aina hiyo?

Kwa safari za mikoani inaweza isiwe shida sana. Lakini ikiwa ni ya kuvuka mipaka ya nchi, si rahisi kuifanikisha ikiwa huna passport.

Kuwa na passport kunakufanya kuwa tayari kwa safari wakati wo wote hitaji hilo lijitokezapo.
 
Ningekuona wa maana kama ungeshauri serikali ipunguze masharti kwenye vyuo vya ufundi(VETA) ili vijana ambao hawakupata nafasi ya kufika form 4 waweze kupata elimu ya VETA bila mahitaji ya cheti cha form 4.

sasa PASSPORT inamsaidia nn mtu ambaye hana mipango ya kusafiri inje ya inchi.
Kuna vijana ambao waliharibikiwa utotoni kwa njia moja au nyingne lakini wanahitaji kujifunza kwa vitendo ili wapate taaluma za kazi mbalimbali za miakono lakini hawana vigezo ktk vyuo vyetu vya kiserikali au binafsi.
Mfano.
--udereva.
--Ubaharia
--Ufundi mbalimbali(VETA)

Wote hawa wanahitajika vyeti vya form 4 ili kupata mafunzo (VETA)
Ni vyema serikali ikatoa katazo la cheti cha form 4 ili vijana waweze kupata mafunzo na kuweza kujiajiri au kuajiriwa..
 
Back
Top Bottom