Nashauri kuwa na Passport iwe ni sharti la lazima mtu kuanza chuo au kufungua biashara. Hili ni dogo sana kwa Rais wetu

Nashauri kuwa na Passport iwe ni sharti la lazima mtu kuanza chuo au kufungua biashara. Hili ni dogo sana kwa Rais wetu

Kama mm naitaji passport je naitajika kuwa na nini na nini ili niweze kupata passport. Kwa sasa hapa nna NIDA na VOTING ID tu basi, Driving lessen
 
NIDA tuu imekuwa shida ndio ije kuwa passport?? Kama mtu haha mpango wa kusafiri passport apewe ya nini? Ni kupoteza resources. Ibaki kutolewa kwa mwenye mahitaji ya safari... labda cha msingi ni kupunguza urasimu. Kila ana haki ya kupewa pale anapohitaji, sio upewe alafu ukaifanyie lamination na kuweka kabatini.
Kupoteza resources? Mkuu, hapo umekosea! Huoni kuwa utoaji passport unaweza kuwa moja ya vyanzo vizuri na vya halali vya mapato ya Serikali?
 
Kwa mfano nahitaji kwenda nchi ambayo sina mualiko wowote na sijuani na mtu, ina naenda tu kufatuta fursa au kujifunza culture tofauti, naona moja ya kigezo uwe na uthbitisho wa huko unakokwena kama mwaliko. Zaidi ya kudanganya hapo utatumia mbinu gani kuipata kwa kesi kama hiyo.

Msingi wa hoja ni dunia kuwa kijiji. KAma naweza kwenda legangabilili bila kujuana na mtu nikafika na kuanzisha maisha tuongeze option hiyohiyo ya mtu kwenda popote duniani bila ugumu kama akitaka.
 
Kenya, Rwanda, Burundi, wanafanya hivyo, lakini huo utaratibu hauwahusu Watanzania, nafikiri, na Warundi.
Nilipokuwa Nairobi nimekutana na Watanzania wakifanya Biashara kwa mazingira magumu na ya kinyemela kwa sababu hawana Pasi wengine walikuwa na vile vihati vya kusafiria vya mwaka mmoja vinaexpire.

Nikawa najiuliza ni kwanini Serikali ya Tanzania inapenda kuwatesa Raia wake?!

Ni kwanini Viongozi wetu wanapenda Watu wao wawe Masikini wa kifikra ?!

Angalia Viongozi wa wenzetu Kenya na Rwanda wameondoa VISA kwa Mataifa yote ya AFRICA.

Angalia hawa wetu bila 300000 taslimu hupati Passport 🛂 na huko juu wanajua kinachoendelea Uhamiaji.
 
Mimi nafikiri sababu mojawapo ni matokea ya sera ya ujamaa. Sera ya ujamaa ilikuwa na kawaida ya kuwafungia raia wake ndani.
 
Sijawahi kuona mtu akiwa na safari genuine akakosa passport. Paspport ni gharama ku print na zina expire miaka 15. Huwezi kumpa mtu ambaye hana hata ndoto achilia mbali mpango wa kusafiri akae nayo kama pambo.
Mkuu achana nao hao. Unaweza kukuta jamaa hajui hata utaratibu wa kupata hiyo passport. Anafkiri unatolewa kama kitambulisho cha NIDA! Ahahahahaha!!!
 
NIDA tuu imekuwa shida ndio ije kuwa passport?? Kama mtu haha mpango wa kusafiri passport apewe ya nini? Ni kupoteza resources. Ibaki kutolewa kwa mwenye mahitaji ya safari... labda cha msingi ni kupunguza urasimu. Kila ana haki ya kupewa pale anapohitaji, sio upewe alafu ukaifanyie lamination na kuweka kabatini.
Sawasawa 👍 👍
 
Ningekuona wa maana kama ungeshauri serikali ipunguze masharti kwenye vyuo vya ufundi(VETA) ili vijana ambao hawakupata nafasi ya kufika form 4 waweze kupata elimu ya VETA bila mahitaji ya cheti cha form 4.

sasa PASSPORT inamsaidia nn mtu ambaye hana mipango ya kusafiri inje ya inchi.
Kuna vijana ambao waliharibikiwa utotoni kwa njia moja au nyingne lakini wanahitaji kujifunza kwa vitendo ili wapate taaluma za kazi mbalimbali za miakono lakini hawana vigezo ktk vyuo vyetu vya kiserikali au binafsi.
Mfano.
--udereva.
--Ubaharia
--Ufundi mbalimbali(VETA)

Wote hawa wanahitajika vyeti vya form 4 ili kupata mafunzo (VETA)
Ni vyema serikali ikatoa katazo la cheti cha form 4 ili vijana waweze kupata mafunzo na kuweza kujiajiri au kuajiriwa..
Haya sasa ndio mawazo/ushauri mzuri..
 
Haya sasa ndio mawazo/ushauri mzuri..
Kabisa mkuu,,

Leo mtu anataka ajifunze
--kuendesha fork lift anaambiwa awe na cheti cha form 4.
--Anataka ajifunze kuendesha crane awe crane operator anaambiwa cheti vha form 4.
--Anataka ajifunze kuendesha skaveta anaambiwa cheti,

--Anataka asome ubaharia kuna sehem mwisho anakwama anaambiwa cheti cha form 4.,,
wakati huko melini wala huulizwi hiko cheti cha shule Zaidi ya kuulizwa vyeti vya meli (STCW.)

Sasa najiuliza hivi cheti kinasaidia nn ktk kujifunza kazi za ufundi stadi?

Kwann huwezi kujiunga VETA bila cheti cha form 4?mbona wazee wetu walihitajika cheti cha darasa la saba pekee kusoma VETA?
Halafu haya mambo yapo hapa Tanzania tu.

Ukienda Sout Africa na kwenginepo ulaya / USA hakuna upuuzi huo.

Serikali ondoeni katazo la cheti ili vijana walioharibikiwa utotoni waweze kusomea fani za ufundi stadi VETA..

Hilo litaondoa ukakasi wa vijana kupata ajira.
 
S

Sawasawa kabisa 👍👍
 
S
Sawasawa kabisa [emoji106][emoji106]
Zamani ilikuwa ukifeli darasa la saba unapelekwa VETA.
ukasome ufundi stadi au udereva au ubaharia..nk.

Lakini sasa hawa wasomi uchawara sekta zote wanataka wao..

Hilo ndy tatizo..
Vijana wanazidi kuharibikiwa mitaani.
Hawajuwi pakuanzia wala pakushika.

Lakini wakitoa katazo la cheti litakuwa mkombozi kwa vijana wengi mitaani..

Cheti kibaki kwa vyuo vingne lakini sio VETA..
 
Cheti kisiwe kikwazo cha kumkataa kijana mwenye ari na moyo wa kujifunza ufundi..
 
Cheti kisiwe kikwazo cha kumkataa kijana mwenye ari na moyo wa kujifunza ufundi..
Kabisa mkuu.

Ndy maana unakuta vijana wanajifunza magari au taaluma mbali mbali mitaani bila kupitia shule ,
.baadae wanaleta changamoto kubwa kwenye kujuwa sheria za kazi husika.

Mfano mtu anayejifunza gari mtaani atajuwaje sheria za barabarani bila kupitia shule?

Ajali nyingi zinasababishwa na madereva bila kupitia shule ya udereva.

Serikali iangalie hilo ili vijana wapite shule za ufundi stadi VETA
Ili kuepusha ajali ambazo zingeweza kuepukika.
 
Back
Top Bottom