Nashauri kuwe na Siku Maalum ya Waafrika wote 'Kujiombea' kwa Mwenyezi Mungu Ili tuwe na Akili

Nashauri kuwe na Siku Maalum ya Waafrika wote 'Kujiombea' kwa Mwenyezi Mungu Ili tuwe na Akili

Mimi nadhani mawaziri, makatibu wakuu, wakurugenzi wote walio serikalini, wakuu wa mikoa wote, wakuu wa wilaya wote wakutane sehemu waombewe waache wizi wa wazi wazi. Sorry nilisahau na wabunge wote.
 
Kuna Taifa Moja (Sio Rwanda) Kuna chuo Kikuu cha Kata Kinaitwa SAUT graduates wake ni Mapopoma.😁😆😄🤪😜🥴😔🥺
 
Back
Top Bottom