H Hoaxer JF-Expert Member Joined Sep 7, 2022 Posts 2,726 Reaction score 6,852 Feb 22, 2023 #41 Mimi nadhani mawaziri, makatibu wakuu, wakurugenzi wote walio serikalini, wakuu wa mikoa wote, wakuu wa wilaya wote wakutane sehemu waombewe waache wizi wa wazi wazi. Sorry nilisahau na wabunge wote.
Mimi nadhani mawaziri, makatibu wakuu, wakurugenzi wote walio serikalini, wakuu wa mikoa wote, wakuu wa wilaya wote wakutane sehemu waombewe waache wizi wa wazi wazi. Sorry nilisahau na wabunge wote.
Kinengunengu JF-Expert Member Joined May 3, 2021 Posts 1,716 Reaction score 4,375 Feb 22, 2023 #42 Kuna Taifa Moja (Sio Rwanda) Kuna chuo Kikuu cha Kata Kinaitwa SAUT graduates wake ni Mapopoma.ππππ€ͺππ₯΄ππ₯Ί
Kuna Taifa Moja (Sio Rwanda) Kuna chuo Kikuu cha Kata Kinaitwa SAUT graduates wake ni Mapopoma.ππππ€ͺππ₯΄ππ₯Ί