adrenaline
JF-Expert Member
- Jun 17, 2015
- 3,152
- 4,843
10%
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Guy Lindsay Scott??No mkuu ameshatangulia mbele ya haki
Bunge hili la kupatikana kwa kupora uchaguzi?Sheria zikifuatwa kila kitu kitaenda sawa
Linatakiwa Bunge liwe na meno na kuwawajibisha wote wanaopindisha sheria hata kama ni Rais
Shida sanaBunge hili la kupatikana kwa kupora uchaguzi?
Sorry,upo right mkuu, 74yrs nowGuy Lindsay Scott??
Kinachotunyima maendeleo na kinachosababisha wizi serikalini katika taifa hili ni UBAGUZI WA RANGI , KIKANDA na HATA UDINI NA UKABILA!Ndugu zangu Watanzania napendekeza Wazungu wagombee nafasi ya Urais ili watuletee maendeleo,tumeona katika shughuli za kimaendeleo tumewapa bandari ndugu zetu DP World,tumefanikiwa, Tanesco napo panasua sua tumwongezee DP World aweze kuleta Umeme wa uhakika wakikataa tuwaite tena Net Solution ili watuendeshee shirika letu la Umeme,bado tuna idara nyingi pia zimedorora kama idara za maji zote za mijini na vijijini nchi nzima kama nyongeza,baada ya hapo wapewe na hospitali/zahanati/vituo vya afya vyote nchi nzima kama bonus ila nimeona tunazunguka bure tufanye kama walivyofanya Zimbabwe,wamewaita tena Wazungu waje walime kwenye mashamba makubwa plantations maana Wazimbabwe hawawezi kulima,Wazungu wameitikia wito wamekuja na wameanza kulima, Zimbabwe imeanza kuwa ya kijani badala ya jangwa,kwa nini sisi Watanzania tusiwaite Wazungu waje wagombee urais na chawa wawapigie kampeni washinde urais na nchi yetu iongozwe tena na mzungu,tuanze kula nyama za kwenye kopo,tufufue kile kiwanda cha Tanganyika Packers, tufufue Ceramic kiwanda cha vyombo vya Udongo pale Morogoro,Tufufue viwanda vya nguo Polyester na Mwatex,Viwanda vya kutengeneza magari aina ya Nyumbu,viwanda vya kutengeneza viatu kama Moro Shoes,Wazungu walete ofisi zao kubwa kubwa za UN na NGO's makubwa tuongee kiingereza kama Kenya,hatutaongea kiswahili tutaongea kiingereza,mnaonaje Watanzania!?
Naona ndugu yangu fisadi wamekukatisha tamaa kabisa. Maana fisadi ni mawakala wa hao wazungu kwa hivyo wewe unaona bora tuwape wazungu hadi urais. Japo tukate gharama ya hawa wakala wazungu wenyewe wapate chao kweupe😂🤣...au sio bhana🤣🤣Una hoja japo umewasilisha bandiko kimzaha sana.
wasNaona ngugu yangu fisadi wamekukatisha tamaa kabisa. Maana fisadi ni mawakala wa hao wazungu kwa hivyo wewe unaona bora tuwape wazungu hadi urais. Japo tukate gharama ya hawa wakala wazungu wenyewe wapate chao kweupe😂🤣...au sio bhana🤣🤣
Kweli, na alete wazungu wenzie wacharaze viboko weusi wavivu wote.Ndugu zangu Watanzania napendekeza Wazungu wagombee nafasi ya Urais ili watuletee maendeleo,tumeona katika shughuli za kimaendeleo tumewapa bandari ndugu zetu DP World,tumefanikiwa, Tanesco napo panasua sua tumwongezee DP World aweze kuleta Umeme wa uhakika wakikataa tuwaite tena Net Solution ili watuendeshee shirika letu la Umeme,bado tuna idara nyingi pia zimedorora kama idara za maji zote za mijini na vijijini nchi nzima kama nyongeza,baada ya hapo wapewe na hospitali/zahanati/vituo vya afya vyote nchi nzima kama bonus ila nimeona tunazunguka bure tufanye kama walivyofanya Zimbabwe,wamewaita tena Wazungu waje walime kwenye mashamba makubwa plantations maana Wazimbabwe hawawezi kulima,Wazungu wameitikia wito wamekuja na wameanza kulima, Zimbabwe imeanza kuwa ya kijani badala ya jangwa,kwa nini sisi Watanzania tusiwaite Wazungu waje wagombee urais na chawa wawapigie kampeni washinde urais na nchi yetu iongozwe tena na mzungu,tuanze kula nyama za kwenye kopo,tufufue kile kiwanda cha Tanganyika Packers, tufufue Ceramic kiwanda cha vyombo vya Udongo pale Morogoro,Tufufue viwanda vya nguo Polyester na Mwatex,Viwanda vya kutengeneza magari aina ya Nyumbu,viwanda vya kutengeneza viatu kama Moro Shoes,Wazungu walete ofisi zao kubwa kubwa za UN na NGO's makubwa tuongee kiingereza kama Kenya,hatutaongea kiswahili tutaongea kiingereza,mnaonaje Watanzania!?
Wenye akili kubwa huangalia mbali zaidi kuliko wenye akili ndogo.Botha alikuwa akili kubwa viongozi wachache kama wakina Mandella waliliona hilo,ndio maana mpaka Leo Makaburu wapo South Africa.Mwanzo tulidhani jamaa alitutukana kumbe alikuwa sahihi