MKWEAMINAZI
JF-Expert Member
- May 28, 2023
- 930
- 1,304
KAMA HAKUUPATA KWA MSUKUMA MWENZAKE MAGUFULI HATAUPATA NG'OOONdugu yetu Pascal Mayalla amesugua benchi sana. Na kama kutumia uwezo wake kuwashawishi viongozi, ametumia wote.
Ni muda mwafaka sasa wa mwana JF mwenzetu kuukwapua ukuu wa wilaya ya mtwara. Bwana Pascal Mayalla anayohaiba ya kuwa mkuu wa wilaya na anaijua miiko ya uongozi.
Napaza sauti yangu kwa nguvu kumuombea ndugu yetu huyu apate ukuu wa wilaya.
Mkuu wa wilaya ya mtwara katumbuliwa juzi. Nafasi ipo wazi.
Hiyo hulka ya Mtaka uliwahi kumuona nayo wapi ?HII NAIUNGA MKONO 100%, HUYU JAMAA ANAFAA NA ANA KITU ILA HAJAPEWA NAFASI TU.
ANA HULKA ZA KIJANA WETU ANTHONI MTAKA
hahaa p ni semaji la maonesho ya nane nane way back. Aishi humo ajiboreshe tu aache kureport kizeeAliwahi kuongoza nini kwa Mafanikio hadi muanze kumpigia debe ?
Kama unampenda Mtu kutokana na Sura yake nenda kanywe naye Chai - JK NYERERE
Kwenye maandiko yakeHiyo hulka ya Mtaka uliwahi kumuona nayo wapi ?