Beatrice Kamugisha
JF-Expert Member
- May 18, 2019
- 762
- 6,984
Utawala wa hovyo kabisaKuzuia sherehe za Pqsaka kwa namna yoyote ile nikuingilia mfumo wa imani za watu, kushangilia na shamrashamra Ni sehemu ya ibada kwa kufufuka kwa Mwokozi wetu Yesu Kristo, tuwaachie wanadamu waomboleze kwa utashi wao na si kuwaingilia tutaleta mpasuko kwenye nchi.
Ipo tofauti ya imani na amri za jeshi la Polisi, kuingilia Uhuru wa kuabudu ni kuingilia imani za watu. Wapo watu wanasherehe zao tusiwalazimishe waache kukaa na kusherekea. Kuomboleza iwe Kati ya mtu na mtu
Lazima wakristo tufurahi, shamla shamla lazima ziwepo kufufuka kwa bwn Yesu Kristo siyo kitu kidogoSie wakristo yetu ni ibada, hizo shangwe zipo kwenye kanisa gani?
Tangu lini wewe umekuwa msemaji wetu sisi wakristo?
Tena mambo ya kishenzi kabisa, imani za watu zinaanza kupangiwa namna ya kusherekea?Bado vichwa vya polisi vimeganda wanaogoapa jamaa atawapigia simu awaulize kwanini hawaja washughulikia watu..
Kumbe jamaa kesha pita hivi.
Ni mambo ya aibu kuingilia imani. Yaani Yesu mkombozi wangu kafufuka mimi nisifurahi??
Ati niomboleze mzee wa kutufokea kafa? Non sense.
Upo vizuri sana mkuu Kamugisha.Kuzuia sherehe za Pqsaka kwa namna yoyote ile nikuingilia mfumo wa imani za watu, kushangilia na shamrashamra Ni sehemu ya ibada kwa kufufuka kwa Mwokozi wetu Yesu Kristo, tuwaachie wanadamu waomboleze kwa utashi wao na si kuwaingilia tutaleta mpasuko kwenye nchi.
Ipo tofauti ya imani na amri za jeshi la Polisi, kuingilia Uhuru wa kuabudu ni kuingilia imani za watu. Wapo watu wanasherehe zao tusiwalazimishe waache kukaa na kusherekea. Kuomboleza iwe Kati ya mtu na mtu