Nashauri Polisi waondoe zuio la sherehe siku ya Pasaka, imani hailinganishwi na chochote

Nashauri Polisi waondoe zuio la sherehe siku ya Pasaka, imani hailinganishwi na chochote

Utawala wa hovyo kabisa, tuache kusherekea sababu ya mtu ambaye tayari hatunaye?
Tena usije kuta yuko pabaya huko anakula vitasa akiulizwa "huyu Ben na Azory na yule kwa nini uliwaleta huku kwani kazi yako?"
Halafu huku mnazuia pasaka watu wasile pilau!
 
Very true
Mkuu tukija kwenye uhalisia tena kwa haki kabisa.pita maeneo mengi tu yaani baada ya kuzika tu kesho yake sehemu za starehe walianza kupiga miziki tena kwa sauti tu.juzi nilitoka bukoba nikapita morogoro samaki samaki usiku wa saa saba hivi na Basi ya frester tukakuta watu wanapiga muziki kwa sauti kubwa Kama kina sherehe. Alafu leo uzuie sherehe za pasaka kweli?
 
Tanzania ina viongozi wajinga sana!Huwezi kuingilia masuala ya imani za watu!!They are very stupidy!Ina maana Magufuli ni mkubwa na ni mkuu kuliko Yesu ambae anatarajia kufufuka siku ya Pasaka?!
Kumbe Yesu unamjua ila basi tu huwa unakaza ubongo
 
Back
Top Bottom