Abrianna
JF-Expert Member
- Mar 30, 2021
- 4,696
- 15,390
Nadhani ni muhimu polisi kufanya kazi kwa kuzingatia sgeria, wasipoondoa zuio italeta misunderstanding ukizingatia kwamba Rais ni Muislamu, wakristo wanaweza kuwa na hisia tofauti juu ya zuio hilo na hata likamchafua Rais kwa namna moja au nyingineKuzuia sherehe za Pqsaka kwa namna yoyote ile nikuingilia mfumo wa imani za watu, kushangilia na shamrashamra Ni sehemu ya ibada kwa kufufuka kwa Mwokozi wetu Yesu Kristo, tuwaachie wanadamu waomboleze kwa utashi wao na si kuwaingilia tutaleta mpasuko kwenye nchi.
Ipo tofauti ya imani na amri za jeshi la Polisi, kuingilia Uhuru wa kuabudu ni kuingilia imani za watu. Wapo watu wanasherehe zao tusiwalazimishe waache kukaa na kusherekea. Kuomboleza iwe Kati ya mtu na mtu