Nashauri Polisi waondoe zuio la sherehe siku ya Pasaka, imani hailinganishwi na chochote

Nashauri Polisi waondoe zuio la sherehe siku ya Pasaka, imani hailinganishwi na chochote

Yani mtu afunge siku 40 leo akatazwe kusherehekea Paska ya Kiyahudi kisa mtu flani kafwa na Corona, duh uhuru nchi hii bado sana , mimi ningekua nchini umbwa yoyote akatize nyumbani kwangu aone kama kutenganisha kichwa na kiwiliwili ni kazi kubwa , nyambaf
 
Kuzuia sherehe za Pqsaka kwa namna yoyote ile nikuingilia mfumo wa imani za watu, kushangilia na shamrashamra Ni sehemu ya ibada kwa kufufuka kwa Mwokozi wetu Yesu Kristo, tuwaachie wanadamu waomboleze kwa utashi wao na si kuwaingilia tutaleta mpasuko kwenye nchi.


Ipo tofauti ya imani na amri za jeshi la Polisi, kuingilia Uhuru wa kuabudu ni kuingilia imani za watu. Wapo watu wanasherehe zao tusiwalazimishe waache kukaa na kusherekea. Kuomboleza iwe Kati ya mtu na mtu

Kwani police wamezuia ibada ya kusherekea ushindi wa Yesu?

Mimi nnchojua maana halisi ya sherehe za pasaka ni ibada makanisani...... Au nakosea ndugu zangu✌👍
 
Bado vichwa vya polisi vimeganda wanaogoapa jamaa atawapigia simu awaulize kwanini hawaja washughulikia watu..
Kumbe jamaa kesha pita hivi.
Ni mambo ya aibu kuingilia imani. Yaani Yesu mkombozi wangu kafufuka mimi nisifurahi??
Ati niomboleze mzee wa kutufokea kafa? Non sense.
Nakumbuka walipo mkamata Manj alafu wapenzi wa yanga wakamsindikiza pale centorooo .

Jiwe aliwaambia maafwande kwamba kamata huyo mtu na gari lake woote weka rookapuu
 
Leo si ndiyo alhamisi kuu?

Kwa hiyo Kwa mujibu wa historia ya vitabu vya Dini muda huu Yuda Iskarioti kuna hela anaisikilizia kutoka Kwa mafarisayo na wakuu wa sheria

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
 
Kwani ukienda Kanisani Kusali na kurejea Kwako kisha ule Bata zote na Mkeo na Familia yako haitoshi hadi Ukazurule na Kupuyanga?

Leo Polisi wamelizuia hili kwa Maslahi mapana ya Usalama wako na hasa kutokana na Janga hili mnawaona wabaya au wanaingilia Haki za Kiimani.

Kwani hizo nchi zingine tena Kubwa tu Kiuchumi na Kijamii ambazo zimepewa Maelekezo haya haya au na zaidi Wao hawana Imani au hawajui Haki zao?

Kwani Polisi imewaambieni kuwa Zuio hili litakuwa ni endelevu kwa Sherehe nyingi tu zijazo za Kiimani hapa nchini?

Wakristo ( nami ni Mkristo vile vile ) tusianze sasa kutaka Kumpandikiza Mbegu ya Udini Rais Mama Samia Suluhu Hassan eti kwakuwa tu Yeye ni Muislamu na aonekane mbaya Kwetu na tumchukie.

Kama kweli Jeshi la Polisi wametoa Tangazo la Katazo hili Mimi All - Rounder nawaunga mkono 100% na tena ikiwezekana wale watakaokaidi Wakamatwe na Wapigwe sana Virungu na Warukishwe Vichurachura hadi Wakome.

Waswahili tuacheni Unafiki na Ubinafsi.
Leo hii ndiyo mnaliona hili janga kuwa lipo na ni hatari?
 
Kwani police wamezuia ibada ya kusherekea ushindi wa Yesu?

Mimi nnchojua maana halisi ya sherehe za pasaka ni ibada makanisani...... Au nakosea ndugu zangu[emoji111][emoji106]
Hivi shamrashamra zilizozuiwa ni zipi?
 
Nini maoni ya wafia corona akina Retired , brazaj

Mtu anayepambana na Corona kuliko hawezi kuwa mkoa corona huyo ni mfia maisha.

Laiti bwana yule angesikia maoni ya watu kama hawa angekuwa hai ikulu. Angalia sasa hata yule mwingine sasa kawa mbunge kama pole pole.

Hiiiiii bagosha!
 
Back
Top Bottom