Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama wewe ni 'mpagani' ni sahihi tu kwako ulichoandika.Umekurupuka Pasaka hakuna mshangilio. Anyway kuna corona si ndo huwa nasema hivyo. Tulieni majumbani kwenu
Think twice, huenda kunakitu wanataka kutuepushaMaombolezo ya kinafiki tu,kutumia mi nguvu hata kwa vitu visivyohitaji kutumia nguvu.
Unaishi wapi kwenye kelele? Mi ninapoishi hata wacheze simba na yanga goal likafungwa huwezI sikia kelele za mtaaniOooh unataka kuleta balaa wengine tumeshukuru angalau kelele zimetulia nyumbani.
Naunga mkono hoja.Kuzuia sherehe za Pqsaka kwa namna yoyote ile nikuingilia mfumo wa imani za watu, kushangilia na shamrashamra ni sehemu ya ibada kwa kufufuka kwa Mwokozi wetu Yesu Kristo, tuwaachie wanadamu waomboleze kwa utashi wao na si kuwaingilia tutaleta mpasuko kwenye nchi.
Ipo tofauti ya imani na amri za jeshi la Polisi, kuingilia Uhuru wa kuabudu ni kuingilia imani za watu. Wapo watu wana sherehe zao tusiwalazimishe waache kukaa na kusherekea. Kuomboleza iwe Kati ya mtu na mtu.
Wewe ni Mkristo wa wapi labda?Kwani ukienda Kanisani Kusali na kurejea Kwako kisha ule Bata zote na Mkeo na Familia yako haitoshi hadi Ukazurule na Kupuyanga?
Leo Polisi wamelizuia hili kwa Maslahi mapana ya Usalama wako na hasa kutokana na Janga hili mnawaona wabaya au wanaingilia Haki za Kiimani.
Kwani hizo nchi zingine tena Kubwa tu Kiuchumi na Kijamii ambazo zimepewa Maelekezo haya haya au na zaidi Wao hawana Imani au hawajui Haki zao?
Kwani Polisi imewaambieni kuwa Zuio hili litakuwa ni endelevu kwa Sherehe nyingi tu zijazo za Kiimani hapa nchini?
Na ndiyo nyie nyie Wanafiki wakubwa Siku likitokea la kutokea mnakimbilia humu Mitandaoni kuilaumu Serikali na Jeshi la Polisi kwa Kutowajibika na Kusababisha Maafa makubwa kutokea.
Tena Mheshimiwa Rais Mama Samia akisema amridhishe kila Mtanzania atashindwa bali atupeleke hivi hivi tu Kikamanda ( Kijeshi ) mpaka tunyooke Kudadadeki.
Wakristo ( nami ni Mkristo vile vile ) tusianze sasa kutaka Kumpandikiza Mbegu ya Udini Rais Mama Samia Suluhu Hassan eti kwakuwa tu Yeye ni Muislamu na aonekane mbaya Kwetu na tumchukie.
Kama kweli Jeshi la Polisi wametoa Tangazo la Katazo hili Mimi All - Rounder nawaunga mkono 100% na tena ikiwezekana wale watakaokaidi Wakamatwe na Wapigwe sana Virungu na Warukishwe Vichurachura hadi Wakome.
Waswahili tuacheni Unafiki na Ubinafsi.

kwahiyo unataka kusema impact yake hilo dude ipo tu wakati wa mikusanyiko ya sikukuu ila haikuwepo wakati wa mikusanyiko ya maombolezo?Kwani ni lini lilitangazwa halipo nchini?
Sisi wakristo pasaka ni ibada ya Shangwe hata kanisani huwa ni kusherehekea kufufuka kwa Bwana Yesu,hii huwa ni ibada ya kushangilia zaidi,kwahio tuache kusherehekea kufufuka kwa Mkombozi wa Ulimwengu tuomboleze kifo cha mtu?Sie wakristo yetu ni ibada, hizo shangwe zipo kwenye kanisa gani?
Tangu lini wewe umekuwa msemaji wetu sisi wakristo?
.Polisi sikilizeni moja wapo ya nyimbo zetu za Pasaka, tunatakiwa tufanye shangwe kwa kufufuka Mwokozi wetu.View attachment 1740438
Sent using Jamii Forums mobile app
Polisi na wanajeshi wote wapo kwaajiri ya kupokea amri tu na hawanaga maamuzi yao binasi, walilieni wakuu wa nchi wenye maamuzi uhwara.Yaani polisi wengi wapo kama mimi darasa tatu
Sifa mama kristo huwa hatetewi, hujitetea mwenywe ikiwa mnataka kusadiki yale maneno aliyosema kuwa yeye ni BWANA wa mabwana basi nyamazeni kimya. Na pili alituasa lieni na wanao lia furahini na wanafurahi inatupasa kufahamu hilo pia. Kifupi kasirika lkn usitende zambi kama sayansi ya biblia inavyoelekeza.Kuzuia sherehe za Pqsaka kwa namna yoyote ile nikuingilia mfumo wa imani za watu, kushangilia na shamrashamra ni sehemu ya ibada kwa kufufuka kwa Mwokozi wetu Yesu Kristo, tuwaachie wanadamu waomboleze kwa utashi wao na si kuwaingilia tutaleta mpasuko kwenye nchi.