Nashauri Polisi waondoe zuio la sherehe siku ya Pasaka, imani hailinganishwi na chochote

Yani mtu afunge siku 40 leo akatazwe kusherehekea Paska ya Kiyahudi kisa mtu flani kafwa na Corona, duh uhuru nchi hii bado sana , mimi ningekua nchini umbwa yoyote akatize nyumbani kwangu aone kama kutenganisha kichwa na kiwiliwili ni kazi kubwa , nyambaf
 

Kwani police wamezuia ibada ya kusherekea ushindi wa Yesu?

Mimi nnchojua maana halisi ya sherehe za pasaka ni ibada makanisani...... Au nakosea ndugu zangu✌👍
 
Nakumbuka walipo mkamata Manj alafu wapenzi wa yanga wakamsindikiza pale centorooo .

Jiwe aliwaambia maafwande kwamba kamata huyo mtu na gari lake woote weka rookapuu
 
Leo si ndiyo alhamisi kuu?

Kwa hiyo Kwa mujibu wa historia ya vitabu vya Dini muda huu Yuda Iskarioti kuna hela anaisikilizia kutoka Kwa mafarisayo na wakuu wa sheria

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
 
Leo hii ndiyo mnaliona hili janga kuwa lipo na ni hatari?
 
Kwani police wamezuia ibada ya kusherekea ushindi wa Yesu?

Mimi nnchojua maana halisi ya sherehe za pasaka ni ibada makanisani...... Au nakosea ndugu zangu[emoji111][emoji106]
Hivi shamrashamra zilizozuiwa ni zipi?
 
Nini maoni ya wafia corona akina Retired , brazaj

Mtu anayepambana na Corona kuliko hawezi kuwa mkoa corona huyo ni mfia maisha.

Laiti bwana yule angesikia maoni ya watu kama hawa angekuwa hai ikulu. Angalia sasa hata yule mwingine sasa kawa mbunge kama pole pole.

Hiiiiii bagosha!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…