Nashauri Polisi waondoe zuio la sherehe siku ya Pasaka, imani hailinganishwi na chochote

Nadhani ni muhimu polisi kufanya kazi kwa kuzingatia sgeria, wasipoondoa zuio italeta misunderstanding ukizingatia kwamba Rais ni Muislamu, wakristo wanaweza kuwa na hisia tofauti juu ya zuio hilo na hata likamchafua Rais kwa namna moja au nyingine
 
Kwani kukiwepo shamrashamra au pasiwepo, inabadilisha nini kwa mwendazake? Mbona mnalazimisha kumfanya aonekane mkuu kuliko hata imani za watu? Acheni hizo Mungu ataendelea kuwaumbua mjue.
 
Polisi wamechemka vibaya
 
Kwani kukiwepo shamrashamra au pasiwepo, inabadilisha nini kwa mwendazake? Mbona mnalazimisha kumfanya aonekane mkuu kuliko hata imani za watu? Acheni hizo Mungu ataendelea kuwaumbua mjue.
Wanamuita shujaa wa Afrika
 
CHADEMA bhana wakati wa CORONA walikataza maombi wakasema corona inatakiwa kuondolewa kwa sayansi na sio imani.

Leo sasa ndio wameokoka wamemjua Yesu kuliko hata wanaoomboleza kumlilia Mungu. Daaaaaaaaaaa
 
Pamoja na mikusanyiko ile tangu kuaga hadi kuzikwa kwa mh.. yaani vifo kupitia ugonjwa wa covid vimeripotiwa ni vingapi? Covid ya bongo ni tofauti na covid za Kenya, Rwanda nk?
 
Sidhani kama wamekataza watu wasiende kanisani kusali wa kuwazuia watu wasile na kunywa..hapana

nafikiri kilichozuiwa ni clubs na miziki yao..madisco vumbi hukoooo..visingeli sijui kanga moko na mengineyo.

Hebu tuwe wakweli unafki tuweke kushoto,,ina maana tangu magufuli afariki watu walikuwa hawaendi baa kulewa??ukweli ni kwamba..walikuwa wanaenda kulewa sana tu huko kwenye mabaa lkni ilikuwa ni kimya kimya hakuna nyimbo ya mista nice wala dudubaya,ni nyimbo za maombolezo na kumbukizi za ziara za The late huku watu wakigonga vyuma.

Ukisema serikali imekataza miziki katika kumbi za starehe hapo sawa lakini haijakataza tusiende kanisani kwetu kusali,kula pilau na vyombo nyumbani.

Hakuna kazi ngumu kama kumridhisha mwanadamu.😏😏
 
Hata tusipoondoa hilo zuio mtatufanya nini ?
 
Kama mnahofia Corona kwanini mliruhusu ule umati kumuaga magufuli ? Kwani hamkufikiria kuhusu janga la Corona?
 
Na ndiyo nyie nyie Wanafiki wakubwa Siku likitokea la kutokea mnakimbilia humu Mitandaoni kuilaumu Serikali na Jeshi la Polisi kwa Kutowajibika na Kusababisha Maafa makubwa kutokea.
Hivi ile iliyotokea pale Mkapa stadium ya kumuaga magufuli si ni shereha ? na akaondoka na familia ya watu kadhaa waliokanyagana na kusababisha vifo sababu ya kumuaga hayati Jiwe.

Polisi hawakuwajibika kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…