Nashauri Polisi waondoe zuio la sherehe siku ya Pasaka, imani hailinganishwi na chochote

Mimi lazima nifanye sherehe kushangilia kumbukumbu ya ufufuko wa mwokozi wangu.
 
Tanzania ina viongozi wajinga sana!Huwezi kuingilia masuala ya imani za watu!!They are very stupidy!Ina maana Magufuli ni mkubwa na ni mkuu kuliko Yesu ambae anatarajia kufufuka siku ya Pasaka?!
 
Kwa hiyo hata mechi ya simba na vital .mugalu akifinga tusishangilie duuuu
 
Naunga mkono hoja.
 
Wewe ni Mkristo wa wapi labda?
Kwahiyo mwaka huu pasaka ikisherekewa italeta maafa...aaaah aisee basi itakua sawa ata Chrimass nk watu wasisherekee maana zitaleta majanga..
Ila wabunge washangilie,wapige vigelegele nk..Mtu mweusi ni mweusi tu
 
Wewe ni Mkristo wa wapi labda?
Kwahiyo mwaka huu pasaka ikisherekewa italeta maafa...aaaah aisee basi itakua sawa ata Chrimass nk watu wasisherekee maana zitaleta majanga..
Ila wabunge washangilie,wapige vigelegele nk..Mtu mweusi ni mweusi tu
 
Kwani ni lini lilitangazwa halipo nchini?
kwahiyo unataka kusema impact yake hilo dude ipo tu wakati wa mikusanyiko ya sikukuu ila haikuwepo wakati wa mikusanyiko ya maombolezo?

we jamaa huwa unajikuta una busara sana kumbe empty headed..Elewa tangazo lililotolewa na polisi halijahusisha ishu hiyo nyingine unayoisema..zuio limetolewa kupisha maombolezo kitu ambacho hakiko sawa kwa namna moja ama nyingine...

Mwendazake kashatangulia, taifa liliomboleza ila mwendazake hajawahi kuwa na hawezi kuwa mkubwa zaidi ya imani za watu..

wewe kuwa mkirisito kama ulivyosema kule juu kwenye comment yako uchwara, hakujustify hili zuio....
 
Sie wakristo yetu ni ibada, hizo shangwe zipo kwenye kanisa gani?

Tangu lini wewe umekuwa msemaji wetu sisi wakristo?
Sisi wakristo pasaka ni ibada ya Shangwe hata kanisani huwa ni kusherehekea kufufuka kwa Bwana Yesu,hii huwa ni ibada ya kushangilia zaidi,kwahio tuache kusherehekea kufufuka kwa Mkombozi wa Ulimwengu tuomboleze kifo cha mtu?
 
Polisi wanataka kumchonganisha Mama na Wakristo,hii ni hujuma kabisa kwa awamu ya sita. Sukuma Gang wameamua kuivuruga nchi
 
Sifa mama kristo huwa hatetewi, hujitetea mwenywe ikiwa mnataka kusadiki yale maneno aliyosema kuwa yeye ni BWANA wa mabwana basi nyamazeni kimya. Na pili alituasa lieni na wanao lia furahini na wanafurahi inatupasa kufahamu hilo pia. Kifupi kasirika lkn usitende zambi kama sayansi ya biblia inavyoelekeza.
 
Jeshi la polisi wanapokea maelezo toka kwa nani yakuwaelekeza wananchi! Huyo anaye toa maelekezo yeye sio mkristo, tunalazimishwa kuhuzunika badala ya furaha
 
Mnataka kufanya mikusanyiko ilhali kuna Corona? Hamuogopi kuambukizana? Tulieni majumbani mwenu mpike pilau mvimbiwe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…