NDABANINGI SITHOLE
JF-Expert Member
- Dec 2, 2020
- 529
- 530
Nakuunga mkono, mama asicheze na jukwaa,akicheza na jukwaa ataharibu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wewe jamaa huna ushauri mzuri kabisa nakumbuka ndio miongoni waliomfelisha Hayati.Kwa mtazamo wangu ili kumuwezesha kufanya maamuzi akiwa na fikra huru wampunguzie access au kumuweka mbali na mitandao ya kijamii...
Tatizo ni mahitaji ya wakati mkuu.Umeshindwa kuelewa point yangu ndogo sana kwamba ,
Pressure ya mitandaoni ni kubwa sana,
Kila mtu anataka jambo lake lifanyike kama anavyotaka yeye Rais bado hajaizoea office, kumpa access ya mitandaoni muda huu ni kumnyima peace of mind wakati wa kutimiza majukumu yake.
Kwa sasa tumpe muda kwanza once atakapokuwa settled anaweza fanya atakalo, na itakua vizuri kwani atakuwa anaangalia reaction ya her own decisions.
Unapotaka mama akaye mbali na Sisi watoto wake, Unafanya makosa makubwa sana! Kosa kubwa, ni kwamba unamwona mama yetu wa taifa hana akili ataendeshwa endeshwa tu! Mama anatakiwa akeshe JM, aangalie madini humu, na hilo haliwezi kumwondolea akili! Wabaguzi wa kijinsia mtakunywa maji kwa karai mwaka huu, kuleeenyai kabisaKwa mtazamo wangu ili kumuwezesha kufanya maamuzi akiwa na fikra huru wampunguzie access au kumuweka mbali na mitandao ya kijamii.
Lisipofanyika hilo utendaji wake utaathirika pakubwa kwani maamuzi yake yanaweza athiriwa na opinions za watu ambazo kwa namna moja au nyingine zinaweza zisiwe sahihi.
Kwa siku hizi chache hilo ni jambo ambalo nimeona ni muhimu kufanyika na wasaizidi wake.
My few cents.
Tatizo la wakosoaji wa mitandaoni wanafikiri wanahaki ya kwanza katika kila jambo tabia ambayo na wewe umeionesha hapa na pia wanataka kila jambo lifanyike kadri watakavyo ni vigumu sana kuwa hivyo.wewe jamaa huna ushauri mzuri kabisa nakumbuka ndio miongoni waliomfelisha Hayati.
Unajua madhara ya huu ushauri wako??
Kwanini unataka kutunyima haki yetu ya msingi??
Unafikiri Rais yuko pale kwa ajili ya wasaidizi wake au raia??
Watu ka ninyi hatuwataki katika utawala huu, kwakua kada wenu katumbuliwa??
NAKUUNGA MKONO KWA ASILIMIA MIA.100%.Kwa mtazamo wangu ili kumuwezesha kufanya maamuzi akiwa na fikra huru wampunguzie access au kumuweka mbali na mitandao ya kijamii.
Lisipofanyika hilo utendaji wake utaathirika pakubwa kwani maamuzi yake yanaweza athiriwa na opinions za watu ambazo kwa namna moja au nyingine zinaweza zisiwe sahihi.
Kwa siku hizi chache hilo ni jambo ambalo nimeona ni muhimu kufanyika na wasaizidi wake.
My few cents.
apumzishwe kwani mgonjwa???😠😠😠Tatizo la wakosoaji wa mitandaoni wanafikiri wanahaki ya kwanza katika kila jambo tabia ambayo na wewe umeionesha hapa na pia wanataka kila jambo lifanyike kadri watakavyo ni vigumu sana kuwa hivyo.
Kwa muda huu ambapo Rais anapanga serikali yake, apumzishwe kukutana na mambo kama haya.
Reaction iliyopo mitandaoni kwa sasa ni kama vile kuna atayetekeleza ilani ya Chadema, hilo sahau kamanda.Inapendeza sana kuona CCM mnanyukana wenyewe kwa wenyewe!
Wapambe wa Jiwe mmeachwa yatima upepo umehama! Sasa pateni mavuno ya October Mwaka jana ila kaeni mkijua vilio vya wengi vina majibu yake na mmeyapata?
Vipi yale Maandamano ya kumuongeza jiwe miaka ya kutawala yapo bado?
Na wajinga wengi pia wako mitandaoni mkuu,
Sio kila kinachoandikwa kinafaa .
Kwa mtazamo wangu ili kumuwezesha kufanya maamuzi akiwa na fikra huru wampunguzie access au kumuweka mbali na mitandao ya kijamii.
Lisipofanyika hilo utendaji wake utaathirika pakubwa kwani maamuzi yake yanaweza athiriwa na opinions za watu ambazo kwa namna moja au nyingine zinaweza zisiwe sahihi.
Kwa siku hizi chache hilo ni jambo ambalo nimeona ni muhimu kufanyika na wasaizidi wake.
My few cents.
nasikitika kukufahamisha ushauri wako hautafanyiwa kazi.Walengwa wamenielewa, hiyo haikua yako mkuu, ndio maana unapata tabu.
Huu ni ushauri tu kamanda, nadhani wahusika watauzingatia.
Unaweza ukaliweka hivyo na ukaeleweka na baadhi ya watu ila lengo langu ni kumpa muda wa kuwa na maamuzi binafsi yasiyotokana na influence nyingine hasa wakati huu anapoanza kufanya kazi.
Huko mbeleni haina shida ila kwa sasa itamfanya asiwe na misimamo yake binafsi na watu watashindwa kuielewa misimamo yake yeye mwenyewe.