Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaani feedback ya bavicha ndio unaona feedback ya raia? Mitandaoni wamejaa bavicha...
Pole sana! Haina haja ya kufanya Spining ya matukio siko upande wa bimkubwa wala MATAGA! Nyie nyukaneni vizuri tuReaction iliyopo mitandaoni kwa sasa ni kama vile kuna atayetekeleza ilani ya Chadema, hilo sahau kamanda.
Kama mmeshindwa kumpiga kwa yule kilaza mliotaka kumpenyeza TPDC hilo halitakaa litokee, rais anatakiwa kufanya informed decision based on majority opinions, kwani kajiweka hapo au watu ndo wamemchagua.....wewe unafikiri kwa nini hatakiwi kusikiliza watu wanaotoa maoni yao kwenye mitandao.....yaani una thinking ya kizamani sana...Kwa mtazamo wangu ili kumuwezesha kufanya maamuzi akiwa na fikra huru wampunguzie access au kumuweka mbali na mitandao ya kijamii.
Lisipofanyika hilo utendaji wake utaathirika pakubwa kwani maamuzi yake yanaweza athiriwa na opinions za watu ambazo kwa namna moja au nyingine zinaweza zisiwe sahihi.
Kwa siku hizi chache hilo ni jambo ambalo nimeona ni muhimu kufanyika na wasaizidi wake.
My few cents.
Mpandosha uzi ni muumini wa utawala wa giza.wa yule ibirisi aliyepita. MwacheWacheni Mama apangue apange timu itakayoendana na Kasi yake ya ukweli
Halafu achukue na ushauri wa Kigogo 14 kuhusu akina Ole Sabaya na wenzake
Kusubstitute bunge kwa mitandao ya kijamii sio sawa.Mpandosha uzi ni muumini wa utawala wa giza.wa yule ibirisi aliyepita. Mwache
Kigogo 14 ni mdudu gani?Wacheni Mama apangue apange timu itakayoendana na Kasi yake ya ukweli
Halafu achukue na ushauri wa Kigogo 14 kuhusu akina Ole Sabaya na wenzake
Mkuu vipi, issue ya kutenguliwa kwa msomi wa Yohana University imewachanganya...Kwa mtazamo wangu ili kumuwezesha kufanya maamuzi akiwa na fikra huru wampunguzie access au kumuweka mbali na mitandao ya kijamii.
Lisipofanyika hilo utendaji wake utaathirika pakubwa kwani maamuzi yake yanaweza athiriwa na opinions za watu ambazo kwa namna moja au nyingine zinaweza zisiwe sahihi.
Kwa siku hizi chache hilo ni jambo ambalo nimeona ni muhimu kufanyika na wasaizidi wake.
My few cents.
MKUU mh SSH ,huku kutamsadia Sana maana, kazungukwa na wanafiki Sana wa ccm japo mungu ananiambia yu kiongonzi mwenye kipaji, ila majizi yamemzunguka, mungu atampigania, na Huyo makam wake ajae nae kwa hakili kiroho mungu bado hajanipa nafasi ya kumfaham zaidi, nje ya kiroho naona hakustahili but mungu anasema nifungu bahada ya jana na bahada ya siku 19 nilifanya wakati wa uchaguzi majibu nimeyaona mpaka mda huu, japo wakati wa mfungo sio kila jibu liwe waziKwa mtazamo wangu ili kumuwezesha kufanya maamuzi akiwa na fikra huru wampunguzie access au kumuweka mbali na mitandao ya kijamii.
Lisipofanyika hilo utendaji wake utaathirika pakubwa kwani maamuzi yake yanaweza athiriwa na opinions za watu ambazo kwa namna moja au nyingine zinaweza zisiwe sahihi.
Kwa siku hizi chache hilo ni jambo ambalo nimeona ni muhimu kufanyika na wasaizidi wake.
My few cents.
Mkuu nikushukuru sana kwa nia yako njema ya kuliombea Taifa letu,MKUU mh SSH ,huku kutamsadia Sana maana, kazungukwa na wanafiki Sana wa ccm japo mungu ananiambia yu kiongonzi mwenye kipaji, ila majizi yamemzunguka, mungu atampigania, na Huyo makam wake ajae nae kwa hakili kiroho mungu bado hajanipa nafasi ya kumfaham zaidi, nje ya kiroho naona hakustahili but mungu anasema nifungu bahada ya jana na bahada ya siku 19 nilifanya wakati wa uchaguzi majibu nimeyaona mpaka mda huu, japo wakati wa mfungo sio kila jibu liwe wazi
So kuanzia jana na bahada siku kumi na tisa nitafunga tena ,KWA Sasa ni mda wa kutafuta ruhusa rasmi kazini ,maana sijawai mbishia yeye anipae pumzi japo sio mchungaji
Mbona ninyi mlikuwa munatuma Watu wasiojulikana kufanya kihalifu dhidi ya Watanzania.Kigogo 14 ni mdudu gani?
Unachukua ushauli kwa mtu asiejulikana?
Mnataka kumuona raisi ana akili kama zenu?
Ushauri wako ni UOGA.Kwa mtazamo wangu ili kumuwezesha kufanya maamuzi akiwa na fikra huru wampunguzie access au kumuweka mbali na mitandao ya kijamii.
Lisipofanyika hilo utendaji wake utaathirika pakubwa kwani maamuzi yake yanaweza athiriwa na opinions za watu ambazo kwa namna moja au nyingine zinaweza zisiwe sahihi.
Kwa siku hizi chache hilo ni jambo ambalo nimeona ni muhimu kufanyika na wasaizidi wake.
My few cents.
Msimamo wa kiongozi anayefaa na aliye makini lazima uzingatie matakwa ya anaowaongoza. Hivyo ji muhimu sana, Rais kutumia njia zote zinazoratikana, na hasa mitandao ya kijamii ili kupata maoni ya anaowaongoza, lakini pia kupata taarifa mbalimbali kutoka kwa watu mbalimbali, na kuzifanyoa kazi.Unaweza ukaliweka hivyo na ukaeleweka na baadhi ya watu ila lengo langu ni kumpa muda wa kuwa na maamuzi binafsi yasiyotokana na influence nyingine hasa wakati huu anapoanza kufanya kazi.
Huko mbeleni haina shida ila kwa sasa itamfanya asiwe na misimamo yake binafsi na watu watashindwa kuielewa misimamo yake yeye mwenyewe.
Ninaamini, hakuna mwenye akili timamu na aliye na dhamira njema atakayezingatia ushauri wako.Opinions nyingi za mitandaoni zinatolewa kwa malengo ya vukundi flani,
Ukifuatilia sana mambo ya mitandaoni itakua ngumu kufanya maamuzi binafsi, tutakua tunaongozwa na opinions za watu badala ya maamuzi ya kitaasisi,
Nimeandika kwa lengo jema tu, ushauri huu unaweza usizingatiwe pia.
Unaweza ukaliweka hivyo na ukaeleweka na baadhi ya watu ila lengo langu ni kumpa muda wa kuwa na maamuzi binafsi yasiyotokana na influence nyingine hasa wakati huu anapoanza kufanya kazi.
Huko mbeleni haina shida ila kwa sasa itamfanya asiwe na misimamo yake binafsi na watu watashindwa kuielewa misimamo yake yeye mwenyewe.
Wangazija hawawezi kushindana na wasukuma wa gamboshi au wafipa wa lyamba lya mfipa! Yeye atangulize mungu tu.Mama pia ajizindike, na ikibidi aagize Wataalamu wa Kingazija waje kushield laa sivyo atarushiwa Uchawi na genge lillilopita la Wachawi