Nashauri Rais Samia ambadilishie kituo cha kazi Paul Makonda. Arusha inatosha, aende mahali pengine

Nashauri Rais Samia ambadilishie kituo cha kazi Paul Makonda. Arusha inatosha, aende mahali pengine

Kabla hata ya kutangaza kugombea Magu alisema, ukiacha cheo chako na kwenda kugombea ubunge ukikosa hurudi kwenye nafasi yako. Na kweli alipokosa nafasi ya kugombea ubunge ndio ikawa basi.

Hilo sio kwakwe tu, hata Kipi Warioba yalimkuta. Hata hivyo baada ya uchaguzi Magu hakufikisha hata miezi 6 akafariki, huenda angemrudisha pia.
Kwa hiyo ukuu wa mkoa atakaa nao milele
 
Wale sio wa kubadilika zile ni tabia ambazo huenda hata ziko kwenye damu,ushamba mwingi na kupenda sifa.Wataalam wa kuigiza hawa,huwezi kuwafahamu kama sio mchunguzi
Kamanda Paul
 
Joto la siasa mkoa wa Arusha hasa Arusha mjini limeanza kuchomoza kwa Kasi lakini kwa hulka ya Paul m
Makonda na Mrisho Gambo mambo yatakuwa mabaya sana

! Inaonekana Makonda amesahau kwamba yeye ni mkuu wa mkoa ,anataka afanye kazi zote na za kibunge pia !

Makonda pia ni kama anadhani Yuko juu ya mbunge na mbunge anaona yeye Yuko juu ya mkuu wa mkoa ! Makonda kateuliwa na rais gambo kateuliwa na wananchi !! Nani anastahili ?

Mafahari Hawa mmoja aondoke tumwache aliyeteuliwa na wananchi afanye kazi zake !Kuna mazingira pia ya kukwamishana na kutaka kuonyesha Mimi ni zaidi ushauri wangu makonda aende mkoa mwingine kama anataka ubunge asubiri muda ukifikaam
Sasa huko anapokwenda kwani napo hakuna hakuna wabunge?
 
Ukute ni m*gambo ndo katoa hoja
 
Sio tu kwamba ana matatizo. Lakini hata anayemteua MAKONDA pia ana matatizo makubwa kichwani mwake.
Makonda ni mkuu wa mkoa asiyejuaa lilote kuhusu UONGOZI na UTAWALA
 
Tatizo la huyu jamaa ni hilo kujijenga mwenyewe na kupuuza wengine na kudharau wengine,kipindi cha Magu aliwadharau mpaka mawaziri.Nafkri kuna kitu hakiko sawa,na atajitambua kwa kuchelewa.
Kama wapo Wazee walidhalilishwa naye akihusika kwa namna moja au nyingine basi Ngoma hiyo sio ya kitoto !
Mauza uza yake yatakuwa mengi 😳 !
KARMA !
Ujue watu wengine ni Chosen people by the GOD !
Watu hao ukiwaonea ujue umetafuta ugomvi na The Universe ! 🙏🙏
 
Back
Top Bottom