Nashauri Rais Samia ambadilishie kituo cha kazi Paul Makonda. Arusha inatosha, aende mahali pengine

Nashauri Rais Samia ambadilishie kituo cha kazi Paul Makonda. Arusha inatosha, aende mahali pengine

Makonda ni ZERO BRAIN.

Aendelee kuwepo kwenye uongozi hii itaisaidia sana kupunguza kura za CCM kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka huu 2025
Ndio kura zitaongezeka kabisa
 
🤔🤔🤔 ivi kwl unamkumbuka gambo akiwa mkuu wa mkoa enz ya magufuli au unaongea tu malipo n hapa hapa usichukulie poa gambo alikuwa anabalaa lake sasa na yy kimempata ubaya ubwela
Yes
 
Aliposhindwa ubunge Jiwe akamuweka kando! Ndio akaanza utapeli wa kuwafuata matajiri na ku waambia eti ametumwa na Magu wamjengee nyumba!! Kama mtakumbuka Makonda alikuwa na kesi ya kiwanja na wamanga fulani alitaka kuwadhulumu kiwanja!
Kabla hata ya kutangaza kugombea Magu alisema, ukiacha cheo chako na kwenda kugombea ubunge ukikosa hurudi kwenye nafasi yako. Na kweli alipokosa nafasi ya kugombea ubunge ndio ikawa basi.

Hilo sio kwakwe tu, hata Kipi Warioba yalimkuta. Hata hivyo baada ya uchaguzi Magu hakufikisha hata miezi 6 akafariki, huenda angemrudisha pia.
 
Huo muda wa kuanza kukusimulia wewe peke yako sina.
Umedanganya mkuu; Makonda hakufukuzwa na Magufuli. Makonda kama mzee, "engineer, soma hiyo" wote walikwenda kugombea ubunge na wakaukosa and automatic (kwa utaratibu/sheria ya wakati ule ) wakajikuta hawana kazi. Nakukumbusha tu
 
Joto la siasa mkoa wa Arusha hasa Arusha mjini limeanza kuchomoza kwa Kasi lakini kwa hulka ya Paul m
Makonda na Mrisho Gambo mambo yatakuwa mabaya sana

! Inaonekana Makonda amesahau kwamba yeye ni mkuu wa mkoa ,anataka afanye kazi zote na za kibunge pia !

Makonda pia ni kama anadhani Yuko juu ya mbunge na mbunge anaona yeye Yuko juu ya mkuu wa mkoa ! Makonda kateuliwa na rais gambo kateuliwa na wananchi !! Nani anastahili ?

Mafahari Hawa mmoja aondoke tumwache aliyeteuliwa na wananchi afanye kazi zake !Kuna mazingira pia ya kukwamishana na kutaka kuonyesha Mimi ni zaidi ushauri wangu makonda aende mkoa mwingine kama anataka ubunge asubiri muda ukifikaam
Wala asiondoke mtu. Gambosh tunamkumbuka naye alipokuwa RC
 
Mwenyekti wa ccm mkoa wanArusha kasema tamko la madiwani ni BATILI.. Ni makosa kisheria ...mbunge anaingiliwa kazi zake aachwe amalizie mda wake
Kumbe kimeumana kweli !
Na Makonda sio mtu wa kutishwa na Mwenyekiti wa Mkoa 😅!
Ngoja tuone ! What is coming next .
 
Hivi kwa nini cheo cha mkuu wa mkoa kisingefutwa kabisa!!!

Ikabaki, ukiwa mbunge ndio unakua mkuu wa mkoa(kwanza itasaidia hata wabunge wawe wanakaa mikoani huko).
Ningesema RC awe ni mtu wa kuchaguliwa na wananchi wa mkoa mzima!
 
Back
Top Bottom