Nashauri Rais Samia ambadilishie kituo cha kazi Paul Makonda. Arusha inatosha, aende mahali pengine

Nashauri Rais Samia ambadilishie kituo cha kazi Paul Makonda. Arusha inatosha, aende mahali pengine

Nakubaliana nawe kuwa Bw. Makonda abadilishiwe kituo cha kazi ila pia nakupa kazi udadisi kiini cha ugomvi wa Makonda na Gambo naamini utapata taswira mpya kichwani mwako.
Abadirishiwe kituo Cha kazi aende wapi? Huyo jamaa afukuzwe kabisa kwenye ofisi za umma.
 
Joto la siasa mkoa wa Arusha hasa Arusha mjini limeanza kuchomoza kwa Kasi lakini kwa hulka ya Paul m
Makonda na Mrisho Gambo mambo yatakuwa mabaya sana

! Inaonekana Makonda amesahau kwamba yeye ni mkuu wa mkoa ,anataka afanye kazi zote na za kibunge pia !

Makonda pia ni kama anadhani Yuko juu ya mbunge na mbunge anaona yeye Yuko juu ya mkuu wa mkoa ! Makonda kateuliwa na rais gambo kateuliwa na wananchi !! Nani anastahili ?

Mafahari Hawa mmoja aondoke tumwache aliyeteuliwa na wananchi afanye kazi zake !Kuna mazingira pia ya kukwamishana na kutaka kuonyesha Mimi ni zaidi ushauri wangu makonda aende mkoa mwingine kama anataka ubunge asubiri muda ukifikaam
Kama washauri wake wana busara J2 hii mwisho Makondakta Arusha....ila kama washauri machawa watamshauri awaache waparurane mwisho watarushiana ulosiii....mudautasema yoote
 
Kwa mala ya kwanza nimeona unafiki wa makonda sio mtetezi wa wanyonge ni mtu wa masirahi binafsi pesa zilipigwa kitambo lakini leo ndo anataka gambo awajibike mwaka wa uchaguzi ni mkuda tu hana maana.
 
Gambo pia alikuwa akifanya hikihiki enzi za ubunge wa Lema.

Kwa nini Makonda hakumfanyia hivi Ndugulile ilhali alilihitaji jimbo la Kigamboni akiwa RC Dar?
Ndugulile alikuwa smart kichwani kiasi cha kumkazia jiwe kipindi cha COVID 19 akipingana kitaalam na utaratibu wa kujifukiza. Jiwe alimtumbua lakini baadaye 2020 pamoja na kuulawiti ule uchaguzi kuanzia ndani ya chama hadi uchaguzi mkuu wenyewe bado alimwacha Ndugulile.

Huko Arusha pwagu kaenda kukutana na pwaguzi, yaani zero brain imeenda kukutana na zero brain, na wote wapo under KARMA kwa uchafu walioufanya huko nyuma walipokuwa malastborn
 
Ninasapoti wazo lako. RC Makonda ataleta sana uhasama pale Arusha. Analeta mgawaqnyiko mkubwa sana pale Arusha. Tatizo lake anataka yeye ndiyo aonekane wa maana kuliko yeyote pale Mkoani. Utawala hauendi hivyo. Utawala unataka timu moja kwa maendeleo, malengo ya pamoja. Mhe. Rais ni vema huyu RC akatafutiwa kituo kingine.
 
Wote ni mabingwa wa siasa za maji taka,na mabingwa wa kujifanya watakatifu na wapenda sifa,ndani wamejaa balaa za udhalilishaji na uonevu
Sawa lakini zama zimebadilika
 
Ninasapoti wazo lako. RC Makonda ataleta sana uhasama pale Arusha. Analeta mgawaqnyiko mkubwa sana pale Arusha. Tatizo lake anataka yeye ndiyo aonekane wa maana kuliko yeyote pale Mkoani. Utawala hauendi hivyo. Utawala unataka timu moja kwa maendeleo, malengo ya pamoja. Mhe. Rais ni vema huyu RC akatafutiwa kituo kingine.
Aende tu songwe huko
 
Kwani Lucas ( chawa ) anasemaje? Hemu muiteni hapa!
 
Joto la siasa mkoa wa Arusha hasa Arusha mjini limeanza kuchomoza kwa Kasi lakini kwa hulka ya Paul m
Makonda na Mrisho Gambo mambo yatakuwa mabaya sana

! Inaonekana Makonda amesahau kwamba yeye ni mkuu wa mkoa ,anataka afanye kazi zote na za kibunge pia !

Makonda pia ni kama anadhani Yuko juu ya mbunge na mbunge anaona yeye Yuko juu ya mkuu wa mkoa ! Makonda kateuliwa na rais gambo kateuliwa na wananchi !! Nani anastahili ?

Mafahari Hawa mmoja aondoke tumwache aliyeteuliwa na wananchi afanye kazi zake !Kuna mazingira pia ya kukwamishana na kutaka kuonyesha Mimi ni zaidi ushauri wangu makonda aende mkoa mwingine kama anataka ubunge asubiri muda ukifikaam
Haondoki Arusha, zipigwe tu, Gambo anajifanya mjuaji
 
Tulipokuwa tukiwaambia huyo jambazi aliyevamia studio anatakiwa kuwa gerezani mlimtetea na baba yake akamwambia achape kazi asisikilize maneno ya mtandaoni sasa mjionee wenyewe.
Mlikuwa mnatuambia nyinyi mkiwa wapi?
 
Back
Top Bottom