ndolelejiUduhe
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,837
- 3,027
Hapo kuna mtu anafuatwa na KARMA kila aendapo !Joto la siasa mkoa wa Arusha hasa Arusha mjini limeanza kuchomoza kwa Kasi lakini kwa hulka ya Paul m
Makonda na Mrisho Gambo mambo yatakuwa mabaya sana
! Inaonekana Makonda amesahau kwamba yeye ni mkuu wa mkoa ,anataka afanye kazi zote na za kibunge pia !
Makonda pia ni kama anadhani Yuko juu ya mbunge na mbunge anaona yeye Yuko juu ya mkuu wa mkoa ! Makonda kateuliwa na rais gambo kateuliwa na wananchi !! Nani anastahili ?
Mafahari Hawa mmoja aondoke tumwache aliyeteuliwa na wananchi afanye kazi zake !Kuna mazingira pia ya kukwamishana na kutaka kuonyesha Mimi ni zaidi ushauri wangu makonda aende mkoa mwingine kama anataka ubunge asubiri muda ukifikaam
Ngoja Tusubiri tuone 😳🙄 !