Nashauri Rais Samia ambadilishie kituo cha kazi Paul Makonda. Arusha inatosha, aende mahali pengine

Joto la siasa mkoa wa Arusha hasa Arusha mjini limeanza kuchomoza kwa Kasi lakini kwa hulka ya Paul m
Makonda na Mrisho Gambo mambo yatakuwa mabaya sana

! Inaonekana Makonda amesahau kwamba yeye ni mkuu wa mkoa ,anataka afanye kazi zote na za kibunge pia !

Makonda pia ni kama anadhani Yuko juu ya mbunge na mbunge anaona yeye Yuko juu ya mkuu wa mkoa ! Makonda kateuliwa na rais gambo kateuliwa na wananchi !! Nani anastahili ?

Mafahari Hawa mmoja aondoke tumwache aliyeteuliwa na wananchi afanye kazi zake !Kuna mazingira pia ya kukwamishana na kutaka kuonyesha Mimi ni zaidi ushauri wangu makonda aende mkoa mwingine kama anataka ubunge asubiri muda ukifikaam
Wapambe wa gambo mshaanza kulia lia
 
Gambo atanyooka msimu huu
Uwongo uwongo,undumilakuwi,Unafiki,umbea umbea,fitina zake zimefika Mwisho
 
Wacha watifuane tu mwenye msuli atasimama asie nao atanyoosha mikono
 
Kwa jicho la 3 ni strategy, anyway Kuna watu wameshapotezwa njia hahaha
 
Joto la siasa mkoa wa Arusha hasa Arusha mjini limeanza kuchomoza kwa Kasi lakini kwa hulka ya Paul m
Makonda na Mrisho Gambo mambo yatakuwa mabaya sana

! Inaonekana Makonda amesahau kwamba yeye ni mkuu wa mkoa ,anataka afanye kazi zote na za kibunge pia !

Makonda pia ni kama anadhani Yuko juu ya mbunge na mbunge anaona yeye Yuko juu ya mkuu wa mkoa ! Makonda kateuliwa na rais gambo kateuliwa na wananchi !! Nani anastahili ?

Mafahari Hawa mmoja aondoke tumwache aliyeteuliwa na wananchi afanye kazi zake !Kuna mazingira pia ya kukwamishana na kutaka kuonyesha Mimi ni zaidi ushauri wangu makonda aende mkoa mwingine kama anataka ubunge asubiri muda ukifikaam
Wewe ni chawa wa Gambo?

Kanuni ya usuluhishi haitaki kuegemea upande.

Chukua clip za nyuma, angalia Gambo alipokuwa Rc namna alivyowadhibiti wawakilishi wa wananchi kwa kueleza wazi kuwa yeye Rc ni boss wa mkoa na hakuna aliye juu yake Arusha nzima.

Imekuwaje yeye leo ajione ni mkubwa kulliko Rc kwa kuwa kawa mbunge utaratibu umebadilika?

Jihadhari sana unapoamulia ugonmvi wowote hata wa nyumbani kwako, usije kuegemea upande, suluhisha kwa haki ndiyo utaaminika.
 
Makonda ni ZERO BRAIN.

Aendelee kuwepo kwenye uongozi hii itaisaidia sana kupunguza kura za CCM kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka huu 2025
unajidanganya makonda ananyota ya kupendwa, arusha huwaambii kitu kwa makonda
 
Joto la siasa mkoa wa Arusha hasa Arusha mjini limeanza kuchomoza kwa Kasi lakini kwa hulka ya Paul m
Makonda na Mrisho Gambo mambo yatakuwa mabaya sana

! Inaonekana Makonda amesahau kwamba yeye ni mkuu wa mkoa ,anataka afanye kazi zote na za kibunge pia !

Makonda pia ni kama anadhani Yuko juu ya mbunge na mbunge anaona yeye Yuko juu ya mkuu wa mkoa ! Makonda kateuliwa na rais gambo kateuliwa na wananchi !! Nani anastahili ?

Mafahari Hawa mmoja aondoke tumwache aliyeteuliwa na wananchi afanye kazi zake !Kuna mazingira pia ya kukwamishana na kutaka kuonyesha Mimi ni zaidi ushauri wangu makonda aende mkoa mwingine kama anataka ubunge asubiri muda ukifikaam
Utashangaa ataendelea kupewa vyeo.
 
Kwanini tuwe na double standard? Gambo alipokuwa RC alikuwa na msuguano mkali na aliyekuwa Mbunge Lema. Kwanini Gambo hakuhamishwa ili amuache Lema aliyekuwa amechaguliwa na wananchi?
 
Joto la siasa mkoa wa Arusha hasa Arusha mjini limeanza kuchomoza kwa Kasi lakini kwa hulka ya Paul m
Makonda na Mrisho Gambo mambo yatakuwa mabaya sana

! Inaonekana Makonda amesahau kwamba yeye ni mkuu wa mkoa ,anataka afanye kazi zote na za kibunge pia !

Makonda pia ni kama anadhani Yuko juu ya mbunge na mbunge anaona yeye Yuko juu ya mkuu wa mkoa ! Makonda kateuliwa na rais gambo kateuliwa na wananchi !! Nani anastahili ?

Mafahari Hawa mmoja aondoke tumwache aliyeteuliwa na wananchi afanye kazi zake !Kuna mazingira pia ya kukwamishana na kutaka kuonyesha Mimi ni zaidi ushauri wangu makonda aende mkoa mwingine kama anataka ubunge asubiri muda ukifikaam
Natamani Sana Sana wauwane Tu, amani haiji Ila kwa ncha ya upanga...
 
Kwa ARUSHA makonda ni mkuu wa Mkoa sahihi.
Kumtoa kwa kipindi hiki haitakua sawa.
Usahihi wake ni upi? Anaishi kama digidigi, hapandi Gari ya RC, anabadilisha Gari akiwa njiani..... yaani gari ya RC ina bendera Kabisa lakini yeye anapanda land cruiser na msafara wenye ving'ora
 
Mafahari Hawa mmoja aondoke....
Mmoja ni Mwenyekiti wa Usalama Mkoani humo mwingine ni mwakilishi wa wananchi wilayani humo.
====
Hivi mnakumbuka mojawapo alipokuwa Likizo yalisemwa maneno gani?
 
Back
Top Bottom