Kwa hiyo ukuu wa mkoa atakaa nao mileleKabla hata ya kutangaza kugombea Magu alisema, ukiacha cheo chako na kwenda kugombea ubunge ukikosa hurudi kwenye nafasi yako. Na kweli alipokosa nafasi ya kugombea ubunge ndio ikawa basi.
Hilo sio kwakwe tu, hata Kipi Warioba yalimkuta. Hata hivyo baada ya uchaguzi Magu hakufikisha hata miezi 6 akafariki, huenda angemrudisha pia.
Sasa huko anapokwenda kwani napo hakuna hakuna wabunge?Joto la siasa mkoa wa Arusha hasa Arusha mjini limeanza kuchomoza kwa Kasi lakini kwa hulka ya Paul m
Makonda na Mrisho Gambo mambo yatakuwa mabaya sana
! Inaonekana Makonda amesahau kwamba yeye ni mkuu wa mkoa ,anataka afanye kazi zote na za kibunge pia !
Makonda pia ni kama anadhani Yuko juu ya mbunge na mbunge anaona yeye Yuko juu ya mkuu wa mkoa ! Makonda kateuliwa na rais gambo kateuliwa na wananchi !! Nani anastahili ?
Mafahari Hawa mmoja aondoke tumwache aliyeteuliwa na wananchi afanye kazi zake !Kuna mazingira pia ya kukwamishana na kutaka kuonyesha Mimi ni zaidi ushauri wangu makonda aende mkoa mwingine kama anataka ubunge asubiri muda ukifikaam
Ukute ni m*gambo ndo katoa hojaJoto la siasa mkoa wa Arusha hasa Arusha mjini limeanza kuchomoza kwa Kasi lakini kwa hulka ya Paul m
Makonda na Mrisho Gambo mambo yatakuwa mabaya sana
! Inaonekana Makonda amesahau kwamba yeye ni mkuu wa mkoa ,anataka afanye kazi zote na za kibunge pia !
Makonda pia ni kama anadhani Yuko juu ya mbunge na mbunge anaona yeye Yuko juu ya mkuu wa mkoa ! Makonda kateuliwa na rais gambo kateuliwa na wananchi !! Nani anastahili ?
Mafahari Hawa mmoja aondoke tumwache aliyeteuliwa na wananchi afanye kazi zake !Kuna mazingira pia ya kukwamishana na kutaka kuonyesha Mimi ni zaidi ushauri wangu makonda aende mkoa mwingine kama anataka ubunge asubiri muda ukifikaam
Kama wapo Wazee walidhalilishwa naye akihusika kwa namna moja au nyingine basi Ngoma hiyo sio ya kitoto !Tatizo la huyu jamaa ni hilo kujijenga mwenyewe na kupuuza wengine na kudharau wengine,kipindi cha Magu aliwadharau mpaka mawaziri.Nafkri kuna kitu hakiko sawa,na atajitambua kwa kuchelewa.
Nothing is permanent !Kwa hiyo ukuu wa mkoa atakaa nao milele